Search results

 1. Last emperor

  TANESCO Arusha tangazeni kama kuna mgao wa umeme

  Karibia miezi 6 sasa Tanesco Arusha wamekuwa wakikata umeme kila siku. Imefikia mahali sasa suala la kukatika umeme limekuwa la kawaida, yan wanaturudisha nyuma kipindi kile cha Lowassa ambapo kila kona ilikuwa giza. Mi ninachoomba kama kuna mgao tangazeni rasmi, kuliko kutukatia umeme kila...
 2. Last emperor

  Azam TV ndo kampuni inayoongoza kwa huduma mbaya kwa mteja

  Azam TV japo wanatoa huduma nzuri za TV, lakini linapokuja suala la customer service kwa mtazamo wangu na uzoefu wa kuhudumiwa, ndo kampuni inayoongoza kuwa na huduma mbovu kuliko wote! Kwanza hawaanzi kupokea simu wala kutatua matatizo ya wateja wao mpaka ifike saa 2 asubuhi katika siku za...
 3. Last emperor

  Serikali ichunguze makampuni ya gas

  Mimi ni mmoja wa watumiaji wa mwanzo kabisa wa gas za majumbani za mitungi mara tu ilivyoanza kusambazwa...Ila katika siku za karibuni Kumekuwa kuna uhuni unafanyika kwa haya makampuni ya gas zinazotumika majumbani. Maana mtungi uleule wa kampuni lileile uliokuwa ukitumia kwa matumizi yaleyale...
 4. Last emperor

  Mfumo wa Lechantre vs Masoud Djuma upi ni bora zaidi?

  Salaam wakurugenzi, Nimekuwa nikifatilia kwa makini ligi ya vpl toka ianze,hususani timu ya simba. Toka ligi ianze timu ya simba ilianza kufundishwa na Omog, chini ya Omog timu ilicheza mpira wa kasi na pasi fupifupi.Tatizo likaonekana kuwa timu haishindi kwa goli nyingi,ushindi unakuwa wa tabu...
 5. Last emperor

  Yupi ni mchezaji bora kwako katika msimu huu wa ligi Tanzania?

  Habari wakuu, napenda kupata maoni ya ni nani ni mchezaji bora wa ligi ya Vodacom Premium League,kutoka katika timu mbalimbali zinazoshiriki ligi hii hapa Tanzania.Naomba unitajie mchezaji mmoja tu.Kwangu mimi naona Kichuya ni mchezaji bora zaidi mwaka huu.
 6. Last emperor

  MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya?

  Habari wakuu, Napenda kuchukua nafasi hii kumuuliza mwekezaji wa Simba ndugu Mohamedi Dewji, aliposhinda nafasi kama mwekezaji wa Simba aliahidi ndani ya mwaka mmoja Simba itakuwa na kiwanja chake na miundombinu yote muhimu.Lakini ni mwezi wa nne sasa tunaelekea wa tano naona kimya!Sijasikia cha...
 7. Last emperor

  Mfahamu Carlos the Jackal: Gaidi tishio zaidi kuwahi kutokea duniani

  Wazito wa JF nawasalimia, Carlos The Jackal, kwa jina la kuzaliwa anaitwa Ilich Ramirez Sanchez,alizaliwa mwaka 1949 huko Venezuela. Carlos alizaliwa katika familia inayojiweza kiuchumi,ambapo baba yake alikuwa ni mwanasheria mahiri mwenye itikadi za kikomunist,hata jina la Ilich alilompatia...
 8. Last emperor

  Nchi 10 zinazoongoza kwa ubaguzi duniani

  Nawasalimia wakuu wangu, Ningependa tuangalie nchi 10 duniani zinazoongoza kwa ubaguzi wa hali ya juu dhidi ya binadamu wenzao kwa misingi ya rangi za ngozi zao,hali ya kiuchumi,dini,jinsia na asili (nationality). 1) MAREKANI Marekani ndio kinara wa nchi inayoongoza kwa ubaguzi katika vigezo...
 9. Last emperor

  Avatar inayokufurahisha zaidi..

  Wakuu wangu nawasalimia, Ni avatar ipi ya mwana JF inakufurahisha zaidi?Aidha unacheka,unatabasamu,unaipenda au inakufanya umtafakari huyu mwenye hiyo avatar?Mimi kuna avatar huwa nikiziangalia huwa ninabaki nacheka au ninawatafakari wenye avatar.. 1) Fisadikuu 2) Chizi maarifa 3) Jingalao 4)...
 10. Last emperor

  Ijue Club 27: Club ya wanamuziki maarufu wanaokufa wakiwa na umri wa miaka 27

  Nawasalimia wakuu wangu, Baada ya kuangalia Documentary ya Kurt Cobain inayoitwa Montage of Heck (2015), nimeshawishika kuandika kuhusu Club 27, ambayo inawakilisha namba ya wasanii maarufu 34 ambao walikufa katika umri mdogo wa miaka 27 kwasababu mbalimbali. Sababu kubwa ya vifo vyao...
 11. Last emperor

  Mfahamu Box Jelly fish, Samaki mwenye sumu kali kuliko kiumbe chochote duniani!

  Nawasalimia wakuu wangu, Nataka tumjadili samaki aina ya Box Jelly fish (Sea wasp), ni samaki anaepatikana baharini,hasa katika bahari ya Pacific (Indo-Pacific) pia katika bahari ya Atlantic.Hupatikana kwa wingi katika nchi za Australia,New Zealand,Philippenes na mji wa Hawaii ulioko USA...
 12. Last emperor

  Ukweli ni kwamba wanaume wengi wanaogopa wake zao

  Nawasalimia wakuu wangu, Japo kuwa kuna dhana imejengeka kwenye jamii kuwa mwanaume ndio shababi na mwenye maamuzi ya mwisho katika familia na jamii kwa ujumla,lakini ukweli halisi ulio nyuma ya yote haya,mwanamke ndo mwenye nguvu na ushawishi mkubwa ..kama tutakavyoona ifuatavyo; a) Usemi wa...
 13. Last emperor

  Natafuta mwalimu wa Aikido

  Wakuu,natafuta mwalimu wa kunifundisha Aikido,awe hapa Dar es salaam
 14. Last emperor

  Kuna uhusiano gani kati ya binadamu na mwezi?

  Nawasalimu wakuu wangu, Kumekuwa na mahusiano ya muda mrefu sana kati ya binadamu na mwezi (moon). Hii imepelekea mpaka baadhi ya dini kuziweka kama alama za utambulisho wake. Pia kumekua na kuhusishwa kwa matukio mengi kati ya binadamu na mwezi.Baadhi yake ni kama ifuatavyo; Wendawazimu na...
 15. Last emperor

  Maana na tofauti ya maneno; kutambua,kujua,kufahamu na kuelewa

  Salaam wakuu. Naomba kujuzwa maana ya maneno kutambua,kujua,kufahamu na kuelewa.Maana watu wamekuwa wakichanganya kwenye mazungumzo maneno haya na wakati mwingine kuleta tafrani.Mfano mtu anaweza kumwambia mtu 'nakujua', na akajibiwa kwa ukali 'hunijui wewe!unanifahamu tu!'.Naomba mnisaidie...
 16. Last emperor

  Nyimbo unayoipenda kuliko zote duniani

  Wadau, napenda tushirikishane nyimbo ambazo kila mmoja wetu anaupenda sana, akiisikia anajisikia yupo on top of the world. Nyimbo ambayo ukiisikia moyo wako unafarijika sana, hata kama una hasira, masikitiko na kukata tamaa inakufariji kupita maelezo. Inawezekana pia ikawa ni nyimbo ambayo...
 17. Last emperor

  Kwanini wanawake wengi hupenda kuangalia makalio ya wanawake wenzao?

  Nimekuwa nikiona hii tabia mara nyingi,mara kwa mara wanawake wamekuwa wakigeuka au kuwaangalia wanawake wenzao makalio wanapopita.Kama akiwa anamzidi makalio,utamuona anabetua midomo kwa dharau au anacheka na kumsema kwa wenzake,lakini kama huyo anaepita ni kiboko amefungasha na amemzidi utaona...
 18. Last emperor

  Sarakasi za umeya na uchaguzi Zanzibar, uthibitisho tosha CCM hawakushinda uchaguzi mkuu

  Sarakasi zinazoendelea za kulazimisha ushindi wa lazima katika umeya wa Tanga, Kinondoni na Ilala, kwenye mambo ya wazi yanayoonyesha kuwa CCM wana kura ndogo za kuwawezesha kushinda lakini wanalazimisha kushinda, inatoa picha ya wazi kuwa hata uchaguzi mkuu hawakushinda badala yake...
 19. Last emperor

  Magufuli na mawaziri zake na ziara zao za Dar tu kwenye media

  Imekuwa ni fashion sasa kwa serikali ya magufuli na mawaziri wake kufanya ziara za '' kushtukiza '' Dar tu kwenye media ambapo watapata coverage ya kutosha, ina maana matatizo ya watanzania yapo Dar tu? Alianza Magufuli kwenda bandarini, muhimbili, akafuata majaliwa bandarini, akaja kigwangallah...
 20. Last emperor

  Abdallah Bulembo ashtakiwe ICC

  Nimekuwa nikimsikia Mwenyekiti wa jumuia ya wazazi wa ccm Abdallah Bulembo akitoa kauli zenye ukakasi mara nyingi, lakini kauli aliyoitoa juzi inabidi ilaaniwe kwa nguvu zote, na zaidi ifikishwe icc kama kielelezo cha kuchochea uvunjifu wa amani. Amesema ccm inaweza ikafanya mambo yote lakini...
Top Bottom