Search results

 1. MAPUMA MIYOGA

  Nisamehe na hongera Mwigulu

  Natanguliza kuomba msamaha kwani nilichukulia Mwigulu ni kama wabunge wengine tu waliopita Iramba. Nilikuwa nawaza Iramba ile ya zamani ambayo katika kukua kwangu mpaka nakaribia 40yrs sikuwa naona serikali kuu wala serikali ya wilaya ikifanya shughulu za maendeleo Iramba. Jukumu la maendeleo...
 2. MAPUMA MIYOGA

  Bado hawajui tatizo nini katika ajali?

  Naona leo Magazeti yameandika vipaumbele vya waziri Mpya mambo ya ndani. Ni yale yale ambayo bado hayajaweza kupunguza ajali. Kimsingi ni kukomesha sio kuelimisha ili watu watambue umuhimu wa kulinda usalama wa raia na mali zao. Hakuna study kamilifu kweza kujua chanzo cha ajali wamebaki na...
 3. MAPUMA MIYOGA

  Kitu gani Serikali inaweza kusema imewekeza Iramba?

  Toka niko mtoto na sasa ni mtu mzima, late 30's sijawahi kuona uwekezaji wowote wa Serikali katika wilaya Iramba. Kumekuja habari za zahanati na shule za secondari, ni wananchi ndio waliouza kuku zao kujenga shule zile na zahanati. Miundombinu kama ya kilimo ndio kabisa hakujawahi kuwa hata...
 4. MAPUMA MIYOGA

  Singida: Kiwanda cha Alizeti Mount Meru Millers Ltd kimefungiwa

  Kiwanda cha Alizeti Mount Meru Millers Ltd kimefungiwa Kwa ufupi Lugola amesema kwamba kiwanda hicho kimetekeleza agizo la kununua mashine ya kutibu maji taka, lakini maji taka hayo, hayajaelekezwa kwenye mashine hiyo. Singida. Serikali imekifungia Kiwanda cha kukamua mafuta cha Alizeti Mount...
 5. MAPUMA MIYOGA

  Singida United yasajili 'mashine' sita kwenye dirisha dogo

  Dodoma. Wakati dirisha la usajili likifungwa saa 6 usiku wa Ijumaa, Uongozi wa Singida United umethibitisha kuwasajili wachezaji sita wakiwemo nyota wa kikosi cha Serengeti Boys. Wachezaji wa Serengeti Boy waliojifunga Singida United ni aliyekuwa nahodha wa timu hiyo Issa Abdi Makamba, Ally...
 6. MAPUMA MIYOGA

  Hospital ya wilaya ya Iramba hakuna mortuary services_majokofu yamekufa

  Habari za asubuhi wakuu wote, Jana usiku majira ya saa nne nimepokea taarifa ya msiba wa bibi yangu mpendwa huko Kiomboi wilaya ya Iramba. Ni majonzi makubwa kwani utotoni sikuwahi kuita mama bali muda wote niliita bibi maana ndie aliyenilea nadhani kuanzia umri wa miaka 2 mpaka 10. Nikawaomba...
 7. MAPUMA MIYOGA

  Mwigulu Nchemaba itisha kongamano la kuhamasisha maendeleo Iramba

  Mh. Waziri, Naiona Iramba ikiwa imepoa sana katika harakati za maendeleo! katika kila sekta pamepoa. Tumefanya vizuri katika madawati, lakini bado shule zetu si shindani katika nchi hii. majengo ya shule zetu ni duni sana na hata elimu inayopatikana humo sio ya kiwango ambacho tunaweza...
 8. MAPUMA MIYOGA

  Watanzania hatuna haja kupiga kura na kuchagua rais, wabunge na madiwani

  WATANZANIA HATUNA HAJA KUPIGA KURA NA KUCHAGUA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI!! 1.Kabla ya kampeni kuanza kukaanza kauli zinazoashiria ushindi usiotokana na kura halisi za watanzania, Tukaambiwa Goli la mkono. 2. Majeshi yanajipanga kila kukicha tunapoelekea kupiga kura na kauli tata za kuwakataza...
 9. MAPUMA MIYOGA

  Mishahara ya stamico

  Wadau, hii issue sio ya siasa ila imebidi because wengi wapo hapa jukwaa la siasa. Unapotafuta kazi ni vema ujue vema kuhusu kampuni ama idara ambayo unataka ikuajiri. Stamico miaka mingi ilikuwa haina operations na hivyo watu wengi hawana taarifa thabiti kuhusu hata ngazi za mishahara. Ni...
 10. MAPUMA MIYOGA

  Tafakarini kauli hizi za kimagamba "jimbo langu,wananchi wangu,wananchi wa kawaida"

  Siku hizi kumeibuka mazoea ya Madiwani, wabunge n.k hasa upande wa chama cha zamani kutumia sana kauli hizi kujibu hoja kinzani. Mara kwa mara utasikia wananchi wangu, wananchi wa kawaida,Jimbo langu. kwanini hasa??? Kumbe ukishakuwa mbunge unamiliki wananchi, unamiliki Jimbo na unakuwa sio wa...
 11. MAPUMA MIYOGA

  Nimemsikia mwenyewe waziri Membe jana katika taarifa ya habari saa mbili

  Waziri membe jana akiongea katika taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku, alisema katiba ya nchi ni chombo Muhimu na anawashauri wapinzani (akimaanisha CHADEMA) kuwa wakae chini na wajadili kwani katiba sio kitu cha kujadili mitaani kwenye mikutano ya hadhara. Kwake yeye membe ni kukaa na...
 12. MAPUMA MIYOGA

  Hizi picha huwa nazaipenda sana

  Hizi Picha huwa nazipenda sana-Watu wanonyesha kupokea mabadailiko hata wakipigwa mabomu na risasi. WanaBidii google forums picha via WanaBidii google forums-mama huyu akikimbia mabomu na risasi za polisi morogoro mwaka 2012 polisi waliposhambulia maandamano ya AMANI ya CHADEMA Mkuu wa...
 13. MAPUMA MIYOGA

  Naombeni live update za mkutano wa dr. Slaa kule home Kiombo Iramba Magharibi

  Wana JF, naombeni kwa waliopo Iramba magharibi kuna mkutano wa CDM unaendelea hivi sasa. Taarifa zinasema msafara wa Dr. Slaa ndio unakaribia kuingia kiomboi. Kama mwana-IRAMBA nimefurahi ujio wa ukombozi wa kifikra kwa watu wa hapo mitaani kwetu, taarifa zinasema vijana kwa wazee toka...
 14. MAPUMA MIYOGA

  Maumivu katikati ya mgongo, mabega, chini ya shingo na kusambaa kwenye maungio ya mikono.

  Wana JF Doctor, Nimekuwa na maumivu ya mgongo kwa muda mrefu na nimetumia dawa za maumivu bila mafanikio kwani hali hurejea kama awali baada tu ya kumaliza dawa. maumivu ya mgongo katikati na mabegani hadi chini ya shingo ambayo husambaa sehemu kubwa ya juu ya mgongo kupelekea maumivu makali...
 15. MAPUMA MIYOGA

  Nukuu muhimu toka kwa makada wa cdm waliokuwa wamekamatwa na kufunguliwa mashtaka ya ugaidi tabora.

  JUSTINIAN WA BUKOBA Nikiwa huko (MWANZA) niliteswa sana ili nikubali kuwa ninajua ule mkanda wa Wilfred Lwakatare uliokuwa kwenye mitandao.niliteswa sana nikahojiwa kama nilimmwagia Musa Tesha tindikali nilikataa.Nilifanyiwa mahojiano na Advocate Nyombi na afande Pasua. Walinilazimisha nikubali...
 16. MAPUMA MIYOGA

  Africans, give them a gun & they'll kill each other-pw bptha 1985.

  Jana katika taarifa ya habari ya Star TV, Meya wa Ilemela akizozana vikali na maneno mengi yasio staha wakati madiwani na mbunge wa ilemela walipogusia ukiukwaji wa kanuni, ameonyesha ujinga mkubwa ambao umenifanya nitafakari sana jinsi sisi waafrica tulivyo. Matendo yetu mengi yanafanya...
 17. MAPUMA MIYOGA

  Kufuatia kauli tata ya W/M, mtu mmoja auawa kwa risasi za polisi

  Ni saa 11, gari za mgodi sasa hazitembei kurudisha na kupeleka shift ya usiku. Hii ni baada ya mtu mmoja kuuawa na polisi kwa madai ya kuchimba dhahabu kwenye eneo la mgodi. Hapa niko kwenye eneo la tukio.
 18. MAPUMA MIYOGA

  Online petition thidi ya kauli ya waziri mkuu wa Tanzania

  Wandugu. Ingieni Wavuti muweke sahihi tupinge matumizi mabaya ya polisi kwa kupiga watu hovyo mitaani kama alivyoagiza PM Kupitia maswali na majibu ya papo kwa hapo Bungeni.
 19. MAPUMA MIYOGA

  Waraka wa CHADEMA-UK kwa Rais, Mabalozi, Taasisi za Haki za Binadamu

  TAMKO RASMI CHADEMA UK CHADEMA UK awali ya yote tunapenda kutoa pole kwa waTanzania na wapenzi wa CHADEMA waliopatwa na kukutwa na janga la kurushwa kwa bomu kwenye mkutano wa CHADEMA wa kuhitimisha shughuli za kampeni za uchaguzi wa madiwani huko Arusha. Tunatuma salam zetu kuwafariji wale...
Top Bottom