Search results

 1. MAGALEMWA

  Maagizo toka juu yakitekelezwa na Polisi: Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema akivutana na Polisi

  Eti hatuelewi nguvu ya dola, ambayo ni nguvu ya chama dola. "Ni uzembe kutolewa madarakani ukiwa umeshika dola" KM CCM
 2. MAGALEMWA

  Riba za mabenki

  Jamani tuelimishane kuhusu hii mikopo ya mabenki maana watu tunashindwa kurejesha na dhamana zetu zinaishia kupigwa mnada. Nahisi kuna tatizo la uelewa wa hizi riba. Riba ya mkopo ni 17% of whatever wanavyopiga hesabu zao, lakini utakapomaliza kulipa, unakuta umelipa kiasi cha karibu 50%...
 3. MAGALEMWA

  Shamba la Wanyama 1954 katuni

  Wale kabla ya 1964 tulisoma hiki kitabu Middle School. Kilipigwa marufuku na Baba wa Taifa
 4. MAGALEMWA

  Tofauti ya utafiti wa Tanzania na mataifa mengine

  DW (Kiswahili) Yesterday at 17:14 · Tofauti ya kufanya utafiti Tanzania na nchi nyingine katika kupata takwimu za kiongozi anakubalika kiasi gani, nchi za kigeni zinawahoji raia wasiogemea mrengo wowote ila Tanzania, watu wanapewa simu halafu wanapigiwa na taasisi ya utafiti kupata maoni...
 5. MAGALEMWA

  Karatasi za kupiga kura

  Kwenye mjadala wa wasomi wa chuo kikuu DSM kuhusu tathmini ya uchauzi 2015 kuliibuka maswali kadhaa na tuhuma dhidi ya Tume ya Uchaguzi. Prof Chaligha alitoa maelezo na majibu manne kuhusu hilo kadhia. Kilichonigusa na kunikera toka wakati huo hadi sasa ni kama ifuatavyo. 1. Eti tume hutangaza...
 6. MAGALEMWA

  MAKADA WA CCM KUWA MAKATIBU WAKUU

  Kwa ambao umri wao hawakuona utawala wa Awamu ya Kwanza ya Mwalimu Nyerere mjue kwamba kulikuwa na mstari mwekundu kati ya serikali na chama tawala. 1. Serikali iliendeshwa kwa sheria kanuni na taratibu zake na "wataalamu" kwenye fani zao. Makatibu Wakuu walikuwa wamebobea kwenye fani ya...
 7. MAGALEMWA

  TANESCO kukata umeme kwa taarifa za habari

  Nimefuatilia wiki nne sasa hapa Arusha wakati wa taarifa za habari channel zote ikija habari ya siasa isiyo na mwelekeo wa CCM umeme UNAKATWA. Kama ni makusudi, ni kujivunjia heshima na kujikosesha mapato. Kama si makusudi, mimi na nadhani pamoja na baadhi ya wateja wenu tunastahili kupewa...
Top Bottom