Search results

 1. Steve junior

  Tanzania Tech Gurus Special thread

  Hero wakuu, poleni na mihangaiko ya kila siku. Mimi ni mdau na schoral wa field ya IT na lengo langu kubwa ni kuja kufanya kitu ambacho ni remarkable na nipo chimbo kwa sasa, back to topic nakua inspired sana na wakubwa waliotangulia mfano kwa mbele watu kama Elon Musk, Mark Zuckerberg, Jeff...
 2. Steve junior

  Programmers tujadili hapa

  Ushawahi kujifunza programming peke yako, je nini kilikukwamisha au kukushinda? TUJADILI hapa
 3. Steve junior

  Website for free

  Mimi ni developer ambaye miongoni mwa maeneo niliyobase ni php, nina ofa ya kutengeneza CUSTOM website kupitia CMS ya Wordpress kwa bure kabisa, iwe ni blog, au business website niko tayari kufanya kwa free of charge kikubwa wewe utanipa requirements zako na mambo mengine then mimi naingia...
 4. Steve junior

  Tanzania miongoni mwa nchi zenye uchumi unaokua zaidi 2018

  Fastest growing economies, 2018. - Libya: 16% - Ethiopia: 8.5% - India: 7.4% - Rwanda: 7.2% - Bhutan: 7.1% - Bangladesh: 7% - Senegal: 7% - Cambodia: 6.9% - Myanmar: 6.9% - Laos: 6.8% - Philippines: 6.7% - Djibouti: 6.7% - Vietnam: 6.7% - China: 6.6% -Tanzania: 6.4% - Ghana: 6.3%...
 5. Steve junior

  Kuwa kile unachohitaji na itakuwa

  - Kwa sababu tu watu wengi wanafuata njia fulani,haimaanishi kwamba ni njia sahihi. - Ukitutizama kwa makini sisi binadamu,utagundua kwamba kuna mambo mengi sana tunayafanya kama wanyama waliofunzwa. - Kuna mambo mengi tunafanya kwa kufuata mkumbo.Na hatuelewi hata kwanini. Tumejikuta tu...
 6. Steve junior

  Ni wakati wa kuweka biashara yako mtandaoni sasa, inyake hii

  Kwa Kasi hii ya Maendeleo ya teknolojia kwa sasa ulimwenguni usikubali kuzubaa na kushindwa kumudu mahitaji ya soko, ni wakati wa kuweka biashara na ubunifu wako mtandaoni. - Natengeneza website za aina mbalimbali mf. Shule, taasisi, charity organizations, kampuni n.k kwa bei nafuu kabisa ya...
 7. Steve junior

  Kwa wale upande wa web development, mwongozo unaweza kukusaidia

  Hellow fellow tech geeks!!, hapa jukwaani mara kadhaa nimeona watu wakiuliza wapi pa kuanzia, nini cha kufanya n.k ili kuwa wajuvi upande wa Web Development, katika pita pita yangu platform kubwa ya developers ulimwenguni, Github, nikakutana na hiki hapa kwa mtu yeyote anayependa kuwa mtaalamu...
 8. Steve junior

  Utafiti wangu: Ukweli na usichokijua kuhusu mauaji Mkuranga, Kibiti

  Kwa muda sasa kumekua na ukakasi na sintofahamu miongoni mwa watanzania juu ya haswa mauaju yanayoendelea kila leo huko Pwani maeneo ya Kibiti, Rufiji, Mkuranga, Ikwiriri nk. limekua si jambo geni sana kusikia watu wamepigwa risasi maeneo hayo, ila watu tumekuwa tukisubiri tu na kusikiliza leo...
 9. Steve junior

  Diva The Bawse once again, sasa hivi amlipukia Biilnas

  Diva aliachia wimbo wake mpya ‘Baby Boy’ aliomshirikisha Mr Blue na Bill Nass wiki iliyopita lakini sasa ametishia kuiondoa verse ya ‘Mchafu Pozi.’ Hayo yote yalikuja baada ya gazeti moja kuandika habari yenye kichwa kisemacho: Bill Nas ashangaa Diva kujigonga kwake. Akipost picha ya gazeti...
 10. Steve junior

  Baraka da Prince umeanza kuzingua na haya mashauzi ya kike

  Msanii wa muziki, Barakah Da Prince, amefunguka na kusema kuwa yeye si shabiki na wala hapendi muziki anaoufanya rapa na mzaliwa mwenzie wa Mwanza Young Killer Msodoki. Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Siwezi’ ameiambia Times Fm, kuwa hapendi muziki wala hajawahi kupenda kazi...
 11. Steve junior

  Wale wa SAUT shimo limetemaa

  Kama kawaida mnaosubiri chuo cha SAUT tayari wameachia majina cheki hii link http://www.saut.ac.tz/wp-content/uploads/downloads/2015/09/bacheloedegree.pdf
 12. Steve junior

  Simwelewi huyu

  Kuna binti hapa mtaani kwetu simuelewi, mwanzoni sikua na story nae ila baada ya muda akanizoea tukaanza kuchangamkiana kama kawaida mpaka ikafikia some times anakuja home ,ananitumia salam kila akikutana na sista angu na kadhalika., ila huyu kila nkimwomba namba ananipiga chenga nyingi ..ooh...
 13. Steve junior

  Baada ya miaka mitano hawa ma-celebz watakuwa wapi?

  Najaribu kufanya tathmini baada ya miaka mitano sijui hawa ma-celebz watakua wapi, watakua vipi, manake nikiangalia trend kwa sasa ni kama muda si mrefu mambo yatakua magumu kwao, hapa namzungumzia WEMA SEPETU, LULU, AUNTY EZEKIEL, NAY WA MITEGO, na wewe ongezea...!!
 14. Steve junior

  Kanuni za Ligi kuleta utata ni sahihi?

  MIEZI kadhaa iliyopita tulikuwa mstari wa mbele kupigia kelele uamuzi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuhama ofisi zao zilizopo Uwanja wa Karume na kuhamia kwenye jengo la PPF katikati ya Jiji la Dar es Salaam. Tulisisitiza kwamba uamuzi huo ulikuwa ni matumizi yasiyo ya lazima ambayo...
 15. Steve junior

  Nyota za waliotutoka

  Kuna watu mie siwaelewi yaani wao wanadhani kupitia nyota za maceleb waliotutoka ndio na wao watatokea aidha kwa kua wanafanana na hao nyota au swagga zimeendana, hata ivyo wengi hua hawadumu, mfano baada ya kufa sharo millionea aliibuka jamaa akajiita chura millionea ata ivyo hasikiki tena...
 16. Steve junior

  Wasanii hawa wana vipaji, ila 'wanazingua'

  Kuna kitu hua najiuliza kila siku kwanini watu wenye vipaji Bongo huwa wanajisahau na kuishia kubaya? Mfano; Chid Benz: Jamaa alikuwa anaweza sana na hutochoka kumsikiliza, ila sasa kila mtu anajua yuko wapi. TID (Mnyama): Ni miongoni mwa 'legends' wachache waliofanikiwa kudumu hadi leo...
 17. Steve junior

  CRDB internet banking

  Jamani kwa mwenye uelewa please anisaidie, nimefungua akaunti crdb lengo kubwa nilikua nahitaji nipate visa card itakayoniwezesha kufanya malipo mbali mbali online, sasa wakati nafungua akaunti nikawaomba na huduma ya internet banking wakaniambia nitatumiwa confirmation text, pia nikajaza fomu...
 18. Steve junior

  Petit Man wakuache

  Kwa mashabiki wa Madam Wema Sepetu watakua wanampata vyema huyu kijana. Mwanzoni nilianza kumsikia sana kwenye nyimbo za wasanii kama Dully, Tundaman, ferouz. Hapo nikagundua huyu mtu ni maarufu, ila sasa mwenzenu sielewi umaarufu wake unatokana na nini hapa mjini. Kwa anayemfahamu please anipe...
 19. Steve junior

  Yupo wapi Prof. Ludigo?

  Jamani huyu mtu wasanii wakongwe kwenye game nasikia wanamtaja sana, mfano kina Joh Makini, RIP Ngwea. Kwa mwenye kujua huyu mtu alikua ni nani, anafanya nini, na kwa sasa yuko wapi naomba mnijuze wadau!
 20. Steve junior

  Msaada tafadhali

  Hivi hawa load board wanapokuambia NOT SECURE ni kwamba hata boom hupati au vipi jaman....tusaidiane tafadhali
Top Bottom