Search results

 1. givoh23

  Mahesabu msiyopenda kusikia kuhusu Makamu mpya wa Rais

  Japokuwa sijui siasa... Ila Aise msimsahau RC Anthony Mtaka ... Anafaa kabisa kuwa makamu wa rais... Ni maoni tu..
 2. givoh23

  Natafuta kazi kiwandani

  Mkuu aise barikiwa sana popote ulipo. Ushauri wako nimeupata vizuri... Nami nipo humuhumu pia... Natafta mpenyo.
 3. givoh23

  Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

  Vipi kuhusu kwenye mashirika ya umma Kama TRC...unakuta wanna ngazi zao za mishahara..je TRC S 3 ni shilingi ngapi?
 4. givoh23

  Kuna anayewafahamu KADCO, nimeitwa kwenye usaili

  Mkuu mi nilikwama kwenye kuapply na ajira portal...tusaidiane aise...application ni kwa njia ileile? Sent using Jamii Forums mobile app
 5. givoh23

  Naomba kujulishwa bei ya majiko ya kukaanga Bisi!

  Mkuu tuwasiliane...mi nipo dar nina mashine mbili..moja ya umeme nyingine ya gesi..naziuza zote...0621315340
 6. givoh23

  Kumbe naweza tengeneza 1M kwa masaa machache tu!

  Aise mkuu..kweli yani hii biashara imekuwa ngumu...mi ndio hustle nimeipiga nikidunduliza mpaka nikapata ada ya chuo..ila kwa sasa..kiukweli hazitoki kivile...njia panda sasa...
 7. givoh23

  Msaada wa shule nzuri za advance zenye gharama nafuu

  Aha.. Vipi mkuu za serikali kwa mfano ikiwa mtu anataka kurudia anaezakuomba admission wakati wa kuanza masomo au ni mpaka mtu achaguliwe kwenye shule husika...
 8. givoh23

  Nahitaji link ya matokeo ya kidato cha sita 2003

  Vipi mkuu ulifanikiwa kupata link?
 9. givoh23

  Msaada wa shule nzuri za advance zenye gharama nafuu

  Heshima zenu wakuu... Naombeni msaada kwa mwenye uelewa wa shule za advance zenye mchepuo wa CBG kwa hapa dar na mikoa ya karibu... Natanguliza Shukrani
 10. givoh23

  Robo Fainali Klabu Bingwa Africa: TP Mazembe 4 - 1 Simba SC

  All the beat team yangu naamini bado tuna uwezo wa kafanya maajabu Sent using Jamii Forums mobile app
 11. givoh23

  Fursa: Mifuko ya nailoni imepigwa marufuku ni Wakati wetu sasa kutafuta kitu mbadala

  Hahaha aise mdau kumbe we pia ni mhanga kama mimi... Itabidi tutembee na dispensor ya maji na glass Sent using Jamii Forums mobile app
 12. givoh23

  BIASHARA YA MITUMBA.

  Mkuu ngoja tusubiri maoni ya wadau walio tayari kushare kwa wazi... Naimani utapata pa kuanzia....hapahapa jamvini Sent using Jamii Forums mobile app
 13. givoh23

  Kuwa tajiri kwa mtaji wa laki 3 tu kupitia ufugaji wa kuku wa kienyeji

  Jamani wadau ninao kuku wa kienyeji pure breed!nauza elf 18!wapo mia mawasiliano:0621315340 wapo bagamoyo!
 14. givoh23

  Uzi huu maalumu kwaajili ya kujifunza Ujasiriamali

  Aise mkuu shukran sana kwa somo nimehamasika sana kujitosa mdogomdogo japo najua mwanzo mgumu
 15. givoh23

  Kuachana kwa amani na mpenzi wako: Njia nane zinazopendekezwa...

  Duh!wakuu mimi nipo kikaangoni,mnishauri vyema maana nimezembea na kujiingiza kwenye tight angle...ila sasa,kibaya zaidi sipo tayari kucommit kwenye +ship!nahtaj mda kidogo...nitamweleweshaje mtu,ambaye kwa mda mfupi tumefahamiana tu,na tayar amejiwekea mazingira ya kuwa wangu!namwonea huruma...
 16. givoh23

  Vocha za kurusha za Airtel; Je, nawezaje kujiunga na hio hudumu kwa line yangu ya Airtel ya kawaida?

  Jiunge na hiyo Mobistock mkuu...tupo tu tunafanya biashara kama kawaida,pia unaweza pia kufanya miamala ya manunuzi ya vinga'amuzi...
 17. givoh23

  Siku sita 6 zimebaki selection za NACTE kutoka

  vipi mkuu,ulishapata mrejesho kutoka chuoni au nacte? mimi bado cjapata any info na naona mda ndio huo unazidi kuenda....
 18. givoh23

  Siku sita 6 zimebaki selection za NACTE kutoka

  Ila kikubwa mkuu,ni muhimu kuwa na subra,ndio kuna ugumu wake katika hilo,ila sasa,tufanyeje?hamna jinsi coz mchakato wenyewe ni mkubwa sana!!!thts y we hv to wait with great patience!!! Sent using Jamii Forums mobile app
 19. givoh23

  Siku sita 6 zimebaki selection za NACTE kutoka

  wait with great patience,in due time all will be well,tutafikia tu malengo yetu[emoji5] [emoji5] [emoji5] Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom