Search results

 1. K

  Muheshimiwa Zungu,mkurugenzi NEMC plastic bags ziko mtaani kama kawaida

  Nilishangazwa siku moja kumuona muheshimiwa Zungu akishangaa kwenye vyombo vya habari kwamba kanunua bidhaa akafungiwa kwenye mifuko iliyopigwa marufuku bila muuzaji kuogopa,badala ya waziri Zungu kushangaa nilitegemea angesema keshamchukulia hatua muuzaji na tayari kalipa faini au yuko ndani...
 2. K

  Nahitaji 70Milioni nitarudisha 80Milioni

  Habari wana jamvi ninahitaji 70milioni. kwa muda wa mwezi mmoja tu na nitarudisha 80Milioni baada ya huo mwezi mmoja kama unayo na uko interested ni PM. MREJESHO Tayari imeshapatikana kuna mwana JF kaokoa jahazi.
 3. K

  Magufuli ana Ubaguzi kwa wakandarasi

  Mgombea WA CCM muheshimiwa Magufuli kwenye kikao na wakandarasi uliahidi kulipa madeni ya wakandarasi lakini cha kusikitisha ni kwamba Kwa tafsiri yako wakandarasi ni wale WA Barbara tu kwa sababu wako kwenye wizara unayoiongoza wengine si wakandarasi maana umepeleka pesa TANROADS tu NA...
 4. K

  Tablet inauzwa Lenovo think pad

  Nauza Tablet Lenovo ThinkPad bei 300,000 Android version 3.1 Model number;ThinkPad Tablet,1838 CTO If interested ni PM
 5. K

  Smart phone for sale, LG G2

  Simu inauzwa LG G2 Tsh 200,000 ina tatizo la network sijaitengeneza wala kupelka kwa fundi nimenunua nyingine kama uko interested karibu ni PM
 6. K

  wizara ya maji hoi kifedha

  Habari toka ndani ya wizara ya maji zinasema hakuna ppesa za kutekeleza miradi ya maji waliyopanga kuitekeleza chini ya mpango wa BRN baadhi ya makandarasi tayari wanaonja hiyo joto ya jiwe wengine hawajalipwa madai yao kwa miezi miwili sasa na hakuna dalili ya kulipwa,kwa taarifa zisizo rasmi...
 7. K

  wanawake wanawake

  Rafiki yangu mmoja aliniambia wanawake ni life time project ambayo Mungu amewapa wanaume leo nimeamini,maana leo yuko hivi kesho yuko hivi,kazi kweli kweli
Top Bottom