Search results

 1. Balagha

  Kinachofanywa na ITV kuhusu Hotuba za Muungano si haki kabisa

  Wadau salaam. Kwa muda sasa kituo cha televion cha ITV kimekua kikirusha vipande vya khutuba mbalimbali za hayati baba wa taifa baada ya taarifa ya habari ya saa mbili usiku. Clip hizo huwa ni za mada mbalimbali lakin clip iliyonifanya kuandika uzi huu ni ile inayozungumzia muungano wa...
 2. Balagha

  Polisi wavamia nyumbani kwa Mbunge wa Arusha G. Lema

  huyu inatakiwa apotezwe kama walivopotezwa uamsho kusiwe na double standard zozote aliyoyatamka lema ni zaidi ya ugaidi.
 3. Balagha

  Arusha: Polisi Wavamia Nyumbani Kwa Mbunge wa Arusha Godblees Lema

  Huyu lema wasihangaike nae maana baada ya awamu hii, kuwa tena mbunge wa arusha asahau.
 4. Balagha

  Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

  Wadau kama kuna mambo mfalme wa morocco hakaidi basi ni alivotembele zenji. huko kajirusha sana, kaogelea sana na si ajabu kapata mpaka "urojo" wa huko. hebu chekini hii. Picha: Mfalme wa Morocco akifanya manunuzi Zanzibar akiwa amevalia fulana na kaptula - SWAHILI TIMES
 5. Balagha

  Prof. Maghembe amekalia kuti kavu

  Na nashauri huyu akitumbuliwa basi wizara achiwe katibu mkuu, mawaziri hawana tija tena kila siku wanaboronga.
 6. Balagha

  ‘’Mpemba’’ amponza DCI, Diwani Athumani

  Wasombwe tu, tumechokaa. Waanze na huyu prof. njaa maghembe tumechoka tumechoka tumechoka.
 7. Balagha

  Prof. Maghembe amekalia kuti kavu

  Na litumbuliwe tu. Kwanza huyu pamoja na Lukuvi ilikua bahati mbaya sana kuwamo kwenye hili baraza la mawaziri.
 8. Balagha

  Kesi ya CUF kwa Lipumba na Msajili

  Wadau habar. Mwenye taarifa nzuri jamani atupashe hivi ile kesi iliyofunguliwa na cuf kumshitaki msajili na lipumba imefika wapi? Maana naona prof. ambaye ni mwenyekiti halali akifanya kazi za chama ikiwemo hushiriki usafi wa jmosi ila mtatiro anakula nchi tu SA.
 9. Balagha

  Madudu NSSF yaweka rehani ubalozi wa Dk Dau

  Tanzania Bwana!! Hata ufanye mema vipi, utathamikika wakati huo tu ila baada ya hapo kila mtu hukulaani kama kwamba hujawahi kufanya lolote lenye manufaa kwa nchi yako. Hivi sasa kuna mbinu za chinichini za dhahiri na za siri zinazofanywa na watu fulani ili dr. arudishwe kutoka Malaysia na...
 10. Balagha

  Zitto: Niya ni uzalendo wa kuisaidia Zanzibar

  Katika muswada anaotaka kuuwasilisha bungeni hakika zitto kabwe niya yake hasa nikuwasaidia wazanzibar maana kwa hakika wao wenyewe hawawezi kujitetea. soma hii. Ndugu Wanahabari na Watanzania kwa Ujumla Oktoba 8 mwaka huu, chama chetu cha ACT Wazalendo kilifanya Mkutano Mkuu wa Kidemokrasia...
 11. Balagha

  Wajumbe wa baraza kuu na wabunge wa CUF wamesema hawapo tayari kukaa meza moja na Prof. Lipumba

  Siyo ikitokea!! hawa kamwe hawawezi kushinda. Take this from me!
 12. Balagha

  Ajali Chalinze: Mkurugenzi Msaidizi wa Elimu ya Afya kwa Umma wa Wizara ya Afya Hellen Semi afariki

  Ajali mbaya imetokea leo maeneo ya chalinze na kuua mkurugenzi msaidizi wa elimu kwa umma wa wizara ya afya kwa jina Helen Semu. =================== Habari Zaidi =================== Mkurugenzi Msaidizi wa Elimu ya Afya kwa Umma wa Wizara ya Afya Hellen Semi amefariki leo kwa ajali ya gari huko...
 13. Balagha

  Jussa: Mkoloni Tanganyika hawezi kuacha Zanzibar ichimbe mafuta yake

  Duuh, CUF ya maalim mna kazi. Mkitaka salama yenu msizungumze mambo ya zanzibar yaani msifusifu Bavicha tu otherwise mitusi itawalovya.
 14. Balagha

  Jussa: Mkoloni Tanganyika hawezi kuacha Zanzibar ichimbe mafuta yake

  Hata wewe leo unamponda Jussa. Au kwa kuwa siyo issue ya Ukawa au le profeseri?
 15. Balagha

  Jussa: Mkoloni Tanganyika hawezi kuacha Zanzibar ichimbe mafuta yake

  Makamanda mbona mnamshambulia ushirika wenu? au kwa kuwa hakuzungumzia mambo ya Ukawa?
 16. Balagha

  Magufuli ni zaidi ya Nyerere

  Hili halina ubishi na linathibitishwa na watu wengi waliohojiwa kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 17 ya kifo cha Mwl J.Nyerere.
 17. Balagha

  Jussa: Mkoloni Tanganyika hawezi kuacha Zanzibar ichimbe mafuta yake

  Ameandika kwenye ukurasa wake wa facebook haya: KISIWANDUI IMEITIKA JINA Katika SURA AT-TAUBAH, aya ya 119, Allah ametuusia tumche Mwenyezi Mungu na tuwe pamoja na watu wakweli. Wasia huu hautaki ufafanunuzi kwa sababu maisha yanasherehesha tafsiri na sababu za wasia huo. Watu wasipokuwa...
Top Bottom