Search results

 1. mpenda arage

  Hii lugha ni ya mkoa gani wakuu?!

  Tangu niitazame hii video, nimejikuta nikitamani kujua hii lugha aliyoitumia muimbaji. Na ana maanisha nini kwenye huo wimbo?! Ni hayo tu, natanguliza shukrani!
 2. mpenda arage

  Msaada tafadhali juu ya hiki chuo.

  Habari zenu wakuu. Samahani hivi kuna mdogo wangu amenieleza kuwa, kuna chuo kinapatikana Dar es Salaam. Ambacho kinatoa kozi fupi za uhudumu wa maofisini, ambapo wanakutafutia sehemu za kufanya field, na ukishamaliza wanakutafutia sehemu ya kufanyia kazi wao wenyewe. Na ameongezea kuwa...
 3. mpenda arage

  MSAADA: NIMEJITAHIDI KUACHA NIMESHINDWA.

  Ni kipindi kirefu sana nimekuwa nikisumbuliwa na hii tabia, na nimejitahidi kuacha nimechemka. Ndio maana nimekuja mbele yenu ili mnipe mbinu zitakazosaidia kuachana na hii tabia. Ni hivi, huwa napenda kugusa au kushika nyonyo za binti yeyote ntakayekaa nae siti moja kwenye gari au kushika...
 4. mpenda arage

  Yaliyojiri Ecuador vs Argentina

  Goal Ibarra 1'm Ecuador 1 Argentina 0 (Ordonez Ayavi R.J) Ibarra 1min. Goal Messi 12'm Ecuador 1 Argentina 1 Goal Messi 20'm Ecuador 1 Argentina 2 Halftime Ecuador 1 Argentina 2 Second Half Goal Messi 63'm Ecuador 1 Argentina 3 90+3 Ecuador 1 Argentina 3 Full Time Ecuador 1...
 5. mpenda arage

  Kampuni ya Tigo sitaki mniunge kwenye hadithi zenu, mnanimalizia hela.

  Najua ujumbe utawafikia tu. Narudia tena, sitaki mniunge kwenye huduma zenu bila ridhaa yangu. Mmenitibua sana leo, nataka kuzungumza na mtu, eti "Salio halitoshi, au bonyeza moja nikope Salio!" Wakati niliacha salio !! Nawapigia eti" umejiunga na huduma ya hadithi!" Lini? Vyuma vimekaza hadi...
 6. mpenda arage

  Ni wapi nitapata soko la mayai ya kuku wa kienyeji?

  Habari wakuu, Naomba kujua soko la hii bidhaa kwa mji kasoro bahari. Eneo ninaloishi yanapatikana kwa wingi sana hadi nimeshawishika kujaribu kuyafanyia biashara. Kwahiyo naomba mwanga kidogo kuhusu soko lake. Natanguliza shukrani kwenu. Arage Jekundu.
 7. mpenda arage

  SMS zilizoleta vurugu na kuvunja mahusiano

  Za leo wanajukwaa, Dunia ni msongamano walishasema wahenga. Na mahusiano pia huchangia dunia yetu kuzunguka. Leo naomba tushirikishane SMS zilizotuletea kasheshe na pengine kuvunja mahusiano yetu. Kwa upande wangu sikuwahi kukamatwa na SMS za simu ila alifanikiwa kuingia inbobo akakuta nachat...
 8. mpenda arage

  Watumiaji wa Mabodro App nisaidieni Tafadhali.

  Salaam kwenu wahenga wenzangu. Nina hii Application ya mabodro, kwakweli iko vizuri. Ila tatizo mb zinawahi kuisha kabla ya movie kuisha. Huwa natumia ya kwako tu(mb 800) Vodacom. Je, nikiwa na mb ngapi ndio ntainjoi zaidi?! Natanguliza shukrani.
 9. mpenda arage

  Hata humu JF kuna majini aisee!!

  Wasalaam wakuu, hili jambo nimelifanyia uchunguzi wa kina na kwa muda mrefu sana. Na leo nimekuja na hitimisho kuwa ni kweli humu Jf kuna majini. Na ntaziweka ID zao punde. Kama mbwaimbwai tu! Tusitishane aisee!! Yaani kuna mtu uki ukimquot tu, hulali![emoji125] [emoji125] [emoji125] Baada ya...
 10. mpenda arage

  Vidume tuliopitia kwa ngariba bila ganzi tukutane hapa kukumbushana yale maumivu!

  Ni miaka mingi imepita tangu niondolewe hili pulizo. Najiskia fahari sana kufanyiwa hii huduma bila ganzi. Niliumia ila leo najivunia. Ilikuwa asubuhi yenye baridi kali. Kama saa kumi na mbili kasoro. Nikashtuka mlango wa nyumba niliyokuwa nimelala na wenzangu unafunguliwa. Mjomba wangu na...
 11. mpenda arage

  Nijuzeni kuhusu vita vya Biafra!

  Habari zenu wakuu. Nimekuwa nikisikia habari kuhusu hii vita na jinsi Tanzania ilivyolisapoti hili jimbo katika kujitenga kutoka Nigeria. Nimepata kusoma mahali kuwa vita hivi vimepiganwa kwa muda wa miaka miwili na miezi nane, 1967-1970!! Ndipo ilipofikia tamati. Lakini kinachonipa shauku ya...
 12. mpenda arage

  Hivi ni kwanini manesi wana miondoko ya ajabu na ya kutabasamisha?!

  Ni muda mrefu sijaenda kwenye hospitali za serikali sababu ya figisufigisu, siku nzima inapotea kwenye benchi la kumuona dokta. Mwishoni mwa wiki iliyopita nilifika hospitali ya mkoa ili nipate ED, maana Mzee wa chato amefanya ofisi ziwe za moto! Pamoja na kukaa muda mrefu kwenye foleni...
 13. mpenda arage

  Kwa povu hili, ni dhahiri Azam FC wameumia kuondoka kwa Boko

  "Aende lakini atakuja kukumbuka Azam wamemfanyia mambo mangapi katika maisha yake!" Boko ni sawa na Santiago Bernabeu wa Real Madrid, alitakiwa amalizie mpira wake palepale kwenye kwenye askirimu. Labda angeenda nje sawa. Maana kutoka na timu mchangani hadi kutwaa makombe makubwa ya nchi na...
 14. mpenda arage

  Ngo! Ngo!

  Wakuu habari! nimekuwa msomaji mzuri na wa muda mrefu sana wa jf, ila sasa nimeona ni muda muafaka na Mimi nikashirika moja kwa moja badala ya kuishia kusoma tu! naomba ukaribisho wenu!! Naomba radhi kwa kuwashtua waliokuwa wanawajibika!
Top Bottom