Search results

 1. Keynes

  NHIF mnaumiza wanachama wenu

  Wakugoogle unayasema hayo labda kwa sababu hujawahi kupata shida kubwa ya matibabu katika familia yako. Nataka nikuhakikishie kwamba katika utaratibu wa Bima ya Afya ndani ya AFRICA.......NHIF-TANZANIA inaweza kuwa the best compared na mifumo ya Bima iliyopo Nchi nyingine zote. Mtumishi wa...
 2. Keynes

  NHIF mnaumiza wanachama wenu

  Asante sana....You are realy greatthinker. Si unaona kama usingekuwa makini kwa sasa Wifi yetu angekuwa tayari na alama ya kidonda ambacho siyo sahihi. Mi ninachojua serikali na NHIF inajitahidi sana kuhakikisha matibabu sahihi yanapatikana kwa wananchi wake bila kufanya biashara kwenye miili...
 3. Keynes

  NHIF mnaumiza wanachama wenu

  Nilichokieleza hapo kipo kwenye soko na kinapatikana bila shida yoyote baada ya wizara kwa kushirikiana na NHIF kufanya maboresho katika kitita chake cha dawa......Nayazungumza haya maana waandishi waliitwa wakati kuzungumzia huduma za dawa za NHIF . Hivyo hili ni jambo linajulikana na wala...
 4. Keynes

  NHIF mnaumiza wanachama wenu

  Pole sana ndugu yangu. HILI NI LA MKURUGENZI WA WILAYA YA NZEGA ......ILA KWA KUWA NHIF INAFANYA KAZI SAMBAMBA NA SERIKALI NADHANI MKURUGENZI MKUU HILI AMESHALIPOKEA. NA tunamwomba ahakikishe anawasiliana na Mkurugenzi wilaya ya Nzega ili watumishi wa Hospitali ya Nzega wanaosababisha...
 5. Keynes

  NHIF mnaumiza wanachama wenu

  Pole sana ndugu yangu. Sasa hilo siyo la NHIF ila ni uzembe wa hospitali husika .....NHIF huingia mikataba na watoa huduma ili waweze kuwahudumia wanachama wake na baada ya huduma NHIF humlipa mtoa huduma kulingana na huduma iliyotolewa. Sasa wapo watoa huduma ambao wanafanya mambo ambayo...
 6. Keynes

  NHIF mnaumiza wanachama wenu

  Mzalendo mwenzangu....kwa nini uwaze Agakhan ambayo ni Zonal level Usiwaze Muhimbili ambayo ni National level? Leo hii ukienda huko unakowaza wakikushindwa utahamishiwa Muhimbili ambako ukiwa na NHIF Kifurushi unafika bila tatizo lolote. MI NADHANI TUACHE KUWA MADALALI......
 7. Keynes

  NHIF mnaumiza wanachama wenu

  Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya hua unatoa matibabu kwa kufuata utaratibu wa serikali na kuhakikisha kwamba kinachotolewa kwa wananchi kama tiba kimefanyiwa utafiti wa kutosha na kwamba hakina maadhara mengine zaidi ya malengo ya Tiba. Hivyo dawa za Hypertension zipo kwenye kitita cha NHIF na...
 8. Keynes

  NHIF mnaumiza wanachama wenu

  Kwa upeo wangu mdogo Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya unatoa huduma dawa zote za msingi kwa wanachama wake na wananchi kwa ujumla, hakuna ukweli wowote wa kuondolewa kwa baadhi ya dawa katika orodha, dawa aina ya intravenous iron sucrose(Iron sucrose Injection) ipo katika orodha ya dawa za NHIF...
 9. Keynes

  NHIF mnahatarisha maisha ya Wajawazito

  Mfuko wa taifa wa bima ya Afya unawajali wanachama wake na wananchi kwa ujumla wakiwemo wajawazito na watoto katika kuzingatia hilo mfuko unatoa huduma za dawa zote zinazotumika hospitali katika kuongeza damu dawa hizo ni kama vidonge vya kuongeza damu (ferrous sulphate + folic acid) dawa ya...
 10. Keynes

  Serikali iingilie kati suala la kadi za NHIF vyuoni. Inasikitisha wanapotupeleka

  Wao NHIF wamelipokea hili kama lalamiko lakini haina maana kwamba wapo Kimya. UDOM ina wanafunzi Zaidi ya elfu 30 na wote wanahudumiwa na NHIF. Sasa ni jukumu la NHIF kufuatilia na kujua hili lalamiko ni la kweli? Na utaratibu wa upatikanaji wa vitambulisho kila upande ….yaani chou na NHIF...
 11. Keynes

  NHIF Wanaulaghai umma wa Watanzania?

  Utaratibu wa watu WAZIMA Upo kupitia VIFURUSHI na ni mzuri sana unajipimia kulingana na mahitaji yako
 12. Keynes

  Serikali iingilie kati suala la kadi za NHIF vyuoni. Inasikitisha wanapotupeleka

  Shukrani sana Wa Ukae. NHIF wanakusikia na utaona hatua zinachukuliwa kuanzia muda huu na tatizo litakwisha.
 13. Keynes

  Serikali iingilie kati suala la kadi za NHIF vyuoni. Inasikitisha wanapotupeleka

  Jitahidi kuandika ujumbe kwa uvumilivu ukijua hili ni jukwaa la kuelimishana na siyo kutukana. Utaratibu wa NHIF ni lazima fedha zifike kwao ndo kadi za matibabu zitatolewa. Sasa wewe umelipa fedha ya matibabu shuleni na siyo NHIF. Hao NHIF watakupaje kadi?? Embu jiongeze as great thinker.
 14. Keynes

  Serikali iingilie kati suala la kadi za NHIF vyuoni. Inasikitisha wanapotupeleka

  Hallo Pdidy. Kama JF expert member nilitarajia uweke majina ya chuo husika ambacho una uhakika kwamba michango ya wanafunzi imeshawasilishwa NHIF na bado wanafunzi hawajapata kadi kwa muda mrefu ili NHIF waweze kuchukua hatua mara moja. NHIF kwa sasa ina mfumo mzuri sana kwa wanafunzi...
 15. Keynes

  Serikali iingilie kati suala la kadi za NHIF vyuoni. Inasikitisha wanapotupeleka

  Hili ni swala ambalo kwa mujibu wa utaratibu wa Bima ya Afya haliwezekani kutokea. Michango ya Bima ya Afya ya wanafunzi wa shule ya Makongo hulipwa shuleni na Uongozi wa shule una jukumu la kuwasilisha michango NHIF ili vitambulisho viweze kutengenezwa. Kama kuna mzazi ambaye mwanaye hajapewa...
 16. Keynes

  NHIF Wanaulaghai umma wa Watanzania?

  Hallo Msani Hongera kwa majukumu. Mimi ni mmoja wa mwanachama ambaye ninatumia Bima ya Afya ya NHIF kwa Muda mrefu na ninahudumiwa na ofisi ya Kinondoni. Ninavyojua utaratibu wa TOTO AFYA UPO KAMA IFUATAVYO KWA SASA. 1. Garama za kupata kitambulisho cha TOTO AFYA ni TZS 50,400 kwa mwaka 2...
 17. Keynes

  Wananchi wampuuza Zitto na ACT Wazalendo, wajitokeza kujiunga na bima ya afya

  maswala ya bima ya afya nimekuwa nikifuatilia sana mara kwa mara na ninashukuru angalau nina uelewa kidogo wa maswala haya. Tunachotaka kuelewa wananchi ni kwamba Mfumo wa Bima ya Afya duniani kote unaenda kwa mfumo wa uchangiaji....Unachangia kabla hujaugua. Sasa katika uchangiaji huu...
Top Bottom