Search results

 1. Isack Elia

  BASATA wapo wapi? Wasanii wa muziki siku hizi wanaimba matusi waziwazi, tena bila uoga

  Ifike mahali kama taifa tuone hii hatari iliyopo mbele yetu, wasanii wa muziki siku hizi wanaimba matusi waziwazi tena bila uoga. Hakuna aliye msafi kabisa wote wanaimba matusi tu yaani hata kusikiliza mbele ya watoto inakua ni aibu. Je, ina maana BASATA hawaoni mambo haya? Wengine wameona...
 2. Isack Elia

  Kila nikipata mwanamke, dada na mama wanasema hafai

  Kila nikiwa na mahusiano lazima dada na mzazi (mama) waniambie mwanamke hanifai na nikimuacha wanaanza kunisengenya kuwa siwezi kuishi na mwanamke. Hali hii inasababishwa na nini?
 3. Isack Elia

  Mtu mwenye jini mahaba anasaidikaje?

  Naomba kujua nmna ya kumsaidia mtu (mwanamke) mwnye kuteswa na jini mahaba
 4. Isack Elia

  MSAADA: Jinsi ya kubadili jina

  Naomba kujua utaratibu wa kubadilisha jina kwa mtoto au mtu mzima
 5. Isack Elia

  Je, ni sawa kuoa na kuishi kwenu na mke wako?

  Wazazi wamezeeka nyumba ni kubwa na wako peke yao na wajukuu wadogo tu. Na kwa kuwa eneo la nyumba ni kubwa kuna vyumba vya nje (double self) nilivijenga kwa ajili ya kufikia kila nnapoenda nyumbani na familia yangu. Wazazi wameniomba nihamie nikae hapo. Je, kimaadili ni sawa? Nahofia pia mama...
 6. Isack Elia

  Mke wangu hataki nimuadhibu mtoto akikosea

  Kuna tabia inanikera sana mtoto akikosea yeye anamuadhibu ila mimi nikimuadhibu inakua tatizo kubwa sana hata kununa siku nzima, wajuzi wa mambo hii hali ni kawaida au?
 7. Isack Elia

  Uchaguzi 2020 CHADEMA mbona wameanza kampeni kabla ya muda?

  mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na maendeleo Tundu Lissu amekua akizunguka mikoa kadhaa akifanya kampeni kwa kutumia mgongo wa kutafta wadhamini, JE tume ya Uchaguzi hawaoni anavyokiuka utaratibu?
 8. Isack Elia

  Uchaguzi 2020 Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa mwepesi sana kwa Dkt. Magufuli

  Yaaani katika chaguzi zoooote zilizowahi kufanyika tangia mfumo wa vyama vingi uanze huu ndo utakua mwepesi sana kwa Chama cha Mapinduzi. Kwa kazi alizofanya Mheshimiwa Rais zinatosha kabisa kumpa kura hata asipofanya kampeni maana kazi alizofanya zinaonekana hana haja ya kutukumbusha kupitia...
 9. Isack Elia

  Uvumilivu unaelekea ukingoni

  Kwa sas kuna jamaa tunafanya nae kazi amenisingizia na kunichafua sana kazini kulitokea hitilifu nikapoteza kazi ya mteja bahati mbaya. Mteja alivyokuja ofisini akajaza maneno ya uongo nilichofanya nikarudisha hela kwa yule mteja lakini bado jamaa anaendelea kunichafua nimemuonya mara kadhaa...
 10. Isack Elia

  Kutetemeka na kusikia baridi kali

  ana miezi miwili tangia ajifungue (kwa operation) lkn tangia jana ameanza kulalamika anasikia baridi kali na kutetemeka hata kama amevaa masweta mazito...pia mshono wake kuuma ..je itakua ni ugonjwa gani?
 11. Isack Elia

  Naombeni ushauri: Nibaki na yupi kati ya hawa wasichana wawili?

  Last year December nilihook up na msichana mmoja hivi na tukaachana baada ya wiki mbili, mwezi huo nikapata mwingine sasa huyu niliompata ni wife material yani yupo full package. Tatizo ni yule wa zamani kanitafuta kasema ana mimba yangu, nimechanganyikiwa sijui nibaki na yupi nimuache yupi...
 12. Isack Elia

  Naomba ushauri wenu jinsi ya kuzishinda hasira

  Kuna mambo kadhaa yamenitokea kwenye maisha ikiwemo kuumizwa na ndugu zangu yamenifanya Nimekua ni mtu mwenye hasira sana hadi kupitiliza...mtu anaeza kunikosea hata jambo dogo sana lakini hyo outrage nitakavoreact had anajuta...wadada ambao nmekua nikidate nao mara nyingi wamekua watu wa kulia...
 13. Isack Elia

  Utata wa wanawake wanaharakati

  hivi ni kwanini wanawake wengi hawa wanaohimiza usawa au haki sawa kwa wanawake huwa ni mafailures kwenye ndoa zao na mahusiano yao na pia wengi wao hawajaolewa..kwa nn hzo harakar wasiziapply kwenye ndoa zao???
 14. Isack Elia

  WANAWAKE ACHENI KUDAI HAKI SAWA

  wanawake na watu wote mnaosupport feminism mnakera sana na haya mambo ya haki sawa...kweli mwanamke anataka mme aoeshe vyombo,apike,adeki tena kwa kupangiana ratiba jaman daaah mwisho wa siku mtasema mwanaume na yy abebe mimba MNAKERA SANA . .Ukileta kimbelembele cha haki sawa kwenye uhusiano...
 15. Isack Elia

  Kudanga ndio namna mpya ya kujiuza

  Unakuta mwanamke ana mume wake kabisa au mpenzi wa kiume lakini anatafuta mtu mwingine wa kudanga, yupo radhi kusafiri hata mikoani ili alifate danga lake afanye mapenzi ndo apewe pesa. Naandika kwa uchungu sababu nimetuma nauli siku ya tatu leo hapatikani kwenye simu. Nashindwa kutofautisha...
 16. Isack Elia

  Natafuta nyumba ya kupanga

  Habari zenu wakuu nipo Arusha kikazi ila soon nitahamia Mwanza, naomba kuuliza je kwa Mwanza maeneo ya Buswelu au Nyakato chumba double self nitapata kwa shilingi ngap kwa mwezi..asanteni
 17. Isack Elia

  Busara za jumamosi

  Ng'ombe huweza kutoa maziwa na kufaidisha wanakijiji wengi tu lakini hapigi kelele, sasa inashangaza kuku akitaga yai moja tu ambalo haliwezi hata kumshibisha mtoto, atapiga kelele kijiji kizima kijue sasa anataga. Ndugu zangu ipo hivi, watu wanaotenda kazi kiukweli uwa ni watulivu sana na...
 18. Isack Elia

  Tuambiane ukweli: Kozi unayosomea ndiyo ulikuwa unaipenda tangu ukiwa mdogo?

  Hivi course unayosoma au kazi unayofanya ndo hiyo uliyokua unaipenda tangu ukiwa mdogo ????
 19. Isack Elia

  Madeni yanavunja urafiki

  Kama heading inavyojieleza, Nimekuwa na tatizo kila nikikopesha marafiki zangu pesa wananidhulumu hawanilipi. Wakati wananiomba wanaomba kwa huruma kuwanyima nashindwa lakini mwisho wa siku wananikimbia na kuvunja urafiki kabisa kiasi kwamba hata nikipiga simu wanauliza mimi ni nani. Nikipiga...
 20. Isack Elia

  Mobile Tv

  Download app ya Mobdro kuweza kuangalia Channel mbalimbali kwenye simu yako, ziwe za michezo kama ESPN,sky sports, euro sports...za miziki kama kiss Tv UK, 4 music..za habari, documentaries na nyinginezo....kudownload hii app tembelea www.mobdro.com pia unaweza kuitumia kwenye PC yako kwa...
Top Bottom