Search results

 1. mwangalizi

  Mpito wa kisiasa

  Katika zama hizi za mpito wa kisiasa baada ya kuondokewa na rais wa nchi yetu kumejitokeza mambo mengi, lakini kwa leo nataka nijikite kwenye hili la KUFA KUFAANA. Tumeona na kusikia watendaji wengi serikalini wakichukulia hali hii kama fursa ya kupata kipato isivyo halali. Polisi wa Babati...
 2. mwangalizi

  Hili la ugawaji wa dawa za minyoo Shule za Msingi limekaaje?

  Kuna mazoezi yanapita katika shule za msingi ya kuwapa wanafunzi dawa za minyoo na sijui dawa gani nyingine, hii ya pili kwa maelezo ya wanafunzi ni chungu. Utoaji wa dawa hizi huambatana na chakula, imebidi leo waende na kuni pamoja na vyombo vya chakula. Hizi dawa hazina mkono wa mabeberu...
 3. mwangalizi

  Watumishi wa Mungu mpo?

  Kufuatia yanayojiri ndani ya nchi yetu, najiuliza tuna watumishi wa Mungu tena ndani ya nchi hii? Au tuna viongozi wa dini tu? Maadili yanapaswa kusimamiwa na nani? Nani anapaswa kumrudisha mwana siasa katika mstari? Watumishi mpoooo?!!
 4. mwangalizi

  Baraza la mitihani Tanzania

  Baraza hadi tunaenda mwezi wa kumi limeshindwa kulipa fedha za picha za usajili kidato cha pili na nne 2020. Picha hizo zilipigwa tangu Januari kwa shule za serikali. Zilipigwa kwa pesa za nyanya, 500/= kwa kichwa cha mwanafunzi! Tetesi zinasema pesa hizo zimeingizwa kwenye kampeni ya ccm na...
 5. mwangalizi

  Sheria Kandamizi ya Mawasiliano

  Kwakuwa wana siasa, haswa naongelea wabunge wa CCM wameamua kutufanya wapangaji katika nchi yetu kwa kutupitishia sheria kandamizi nyingi tu katika awamu hii ya tano; mojawapo ikiwa hii ya kutokumiliki laini zaidi ya moja kwa mtandao moja, bila kuzingatia kuwa zote utakuwa umesajili kwa alama za...
 6. mwangalizi

  Kamanda Mbowe yu hoi Kisiasa, bado anatumia hekima

  Ni dhahiri kuwa kamanda Mbowe amezidiwa kete na "mheshimiwa", mpaka sasa hajatambua kuwa huu mchezo kwa sasa haufuati kanuni wala sheria yoyote. Kabaki na "hekima" mahali pasipohitaji hekima, matokeo kabaki kuambulia ngumu za machoni na puani kwa sana. Ni wazi kuwa FOBIA ya mheshimiwa ni chadema...
 7. mwangalizi

  Msaada VINYL CUTTER MACHINE

  Wakuu wa jukwaa pendwa na mahiri, naombeni msaada wenu wa aina nzuri ya vinyl cutter pamoja na bei yake na mahali pa kuinunua hapa Tanzania. Asanteni.
 8. mwangalizi

  Afya ya Tanzania

  Wana jamii narudi tena kivingine; bado ninaamini ili kuilinda afya ya mama Tanzania ni vema sasa tukafuta rasmi huu MFUMO WA VYAMA VINGI VYA SIASA! Kwanini nashauri hivi? 1. Uanzishwaji wa mfumo tulio nao ulipingwa tangu mwanzo na kama 80% ya wenye nchi. Ndipo kwa mara ya kwanza tukawa na...
 9. mwangalizi

  Chokoa chokoa mchokonoe pweza

  Nadhani kuna mtu mahali amechoka sasa, sumu haijaribiwi kwa kuonja. Mjusi ukimkimbiza sana hugeuka nyoka. Unawasha moto ndani ukidhani unajificha moshi utaufanyaje?!!!
 10. mwangalizi

  Masikini Tanzania yetu!

  Ukweli ni kwamba nimepoteza matumaini na uongozi wa nchi yetu. Mwanzoni tuliambiwa kwamba maendeleo hayana chama, ni ya wote, tuwe wamoja tujenge nchi yetu. Ni nini hiki kinachoendelea sasa? Au nipo usingizini na njonzi mbaya inanipitia? Nisaidieni tafadhali.
 11. mwangalizi

  Msaada Jamani!

  LOCATION POSTA DAR ES SALAAM TANZANIA - MKABALA NA JENGO LA MEWATA MTAA WA SAMORA JENGO NAMBA 36 P.O.BOX 28281 Email: Quickenloans@yahoo.com Kwa wanaofahamu uhalali na uhalisia wa hawa jamaa naombeni ushauri; NILIPE ADA KWA MPESA ILI NIKOPESHWE AU NDIYO MWANZO WA KUACHWA POSTA?
 12. mwangalizi

  Mfumo wa vyama vingi ufutwe

  Ndugu wana JF, Nadhani ni muda muafaka sasa wa kufuta mfumo wa vyama vingi vya siasa. Sababu; 1. Maisha enzi za chama kushika hatamu yalikuwa ya upendo, umoja, amani na heshima. Tofauti na sasa ambapo hakuna tena upendo, tazama post zinazohusu majeshi, waziri mkuu n.k. Kila mtu ni msemaji...
 13. mwangalizi

  Kamanda Kova asilaumiwe!

  Ndugu wanaJF, humu ndani kumejaa lawama na laana kwa kamanda wetu kipenzi, Kova. Najua uchungu uliopo mioyoni mwa watz wengi. Lakini tujiulize au tuvae viatu vya kamanda wetu; - Je mwenyewe alipenda alicho kitangaza? - Hakujua mwitikio wa watz utakuwaje? - Je yeye ni mjinga? Hakika majibu yetu...
 14. mwangalizi

  05 Julai 2012!

  Sijui nchi hii itakuwa vipi endapo mgomo wa madaktari utakutana na ule wa walimu unaotarajiwa kuanza tarehe 05 Julai! Ee Mungu turehemu Watanzania.
 15. mwangalizi

  Hi!

  I am here to watch you now.:bathbaby:
Top Bottom