Search results

 1. Adam Manyama

  Utamu na raha ya mashindano pale waamuzi wanakuwa huru kutoa haki kwa mshindi

  Fikiria kuna ligi ina timu 14 pia bodi ya ligi imeteua waamuzi toka timu 1. Kamati ya rufaa pia wajumbe wake wanatokana na timu 1. Lakini pia rais wa shirikisho na viongozi wa chama cha mpira cha nchi hiyo wote wanatokana na timu 1. Sasa kunapokuwa musimu wa ligi unakaribia kuanza bodi ya...
 2. Adam Manyama

  Mnaolalamika wagombea wa vyama vya upinzani kutopitishwa, mnakumbuka hotuba ya Rais?

  Nawahakikishia kuwa cheo cha Afisa Mtendaji Kata siyo kidogo, ninyi ni wawakilishi wangu na nawahakikishieni tembeeni vifua mbele na kamwe asitokee mtu wa kuwanyanyasa huko mliko. Nimewaita tusalimiane, tujadiliane namna bora ya kutimiza wajibu wenu katika maeneo yenu mnakotoka, sina hakika...
 3. Adam Manyama

  Ndege yashindwa kutua uwanja wa ndege wa Bukoba

  Kama kuna kitu chama kushangaa, ni hili pia. Leo majira ya saa nne asubuhi th 02-11-2019 ndege yetu toka mwanza imeshidwa kutua katika uwanja wa ndege wa BUKOBA kutokana na uwepo wa mvua nyingi. Lakini sababu kuu ni kuwa uwanja wa ndege Bukoba hauna taa. Kwa sababu hiyo, panapokuwa na mvua au...
Top Bottom