Search results

 1. Azizi Mussa

  Tanzania ya Kidemokrasia itapendeza, lakini haya tunayafanyaje? Wengine tunaogopa kweli

  Declaration of interest ********* Interest 1. Mimi ni moja ya watu wanaoamini kuwa, pamoja na changamoto zake, bado mfumo wa demokrasia ndio mfumo bora zaidi wa kiutawala unaopaswa kufuatwa na mataifa yote duniani kwa sababu ya ubora wake ukilinganisha na mfumo mingine. Kwa mantiki hiyo...
 2. Azizi Mussa

  Economic diplomacy: Hivi Tanzania tunataka nini toka China?

  Mwaka jana, kuna mtafiti mmoja kutoka kitengo cha utafiti wa utekelezaji wa sera za nje za China alituuliza ' hivi Africa inataka nini China?' Akiwa na maana waafrica tungetamani kunufaikaje na diplomasia ya kiuchumi kati ya nchi zetu na China ambayo kwa sasa Inaongoza kwa uchumi,teknolojia na...
 3. Azizi Mussa

  Siasa za mimi Vs wengine sisi Vs wao na hatma ya nchi yetu

  Ndugu zangu, kuna tatizo lipo lakini ni kama kila mtu anajaribu kulifumbia macho wakati katika hatua yake ya juu kabisa itakuwa ni hasara ya watu wote. Katika mazingira mbali mbali unakuta mtu anatetea kitu si kwa sababu kitu hicho ni sahihi bali kwa sababu kulingana na upande aliopo kwa wakati...
 4. Azizi Mussa

  Intensive discussion; ushauri wa kisera kutatua tatizo la ukosefu wa ajira nchini angalau kwa 90%. Visababishi, mkwamo na jinsi ya kutoka

  Kwenye mjadala huu 'serious' tutajadili kwa kina juu ya vipengele vifuatavyo kuhusu hali ya ajira kwa vijana nchini;- 1.Hali ikoje kwa sasa? 2.Matokeo ya tatizo hili la ukosefu wa ajira ni nini kwa wakati huu? 3.Tatizo hili linasababishwa na nini? 4. Hali hii ikiendelea hivyo hatari yake ni...
 5. Azizi Mussa

  Jinsi muelekeo wa siasa zetu unavyoua uwezo wetu wa kufikiri na hatari iliyopo mbele yetu kama taifa

  Kwa mujibu wa mfumo wetu, Wanasiasa ndio viongozi wa nchi ambapo kiongozi ndio hutoa muelekeo wa wapi pa kwenda au kutokwenda na ili iweje. Kwa mantiki hiyo, ili kupunguza ‘chances’ za kupotea, ni jambo la muhimu sana wanasiasa wetu wawe na uwezo mkubwa sana wa kufikiri. Uwezo mkubwa wa...
 6. Azizi Mussa

  Sio fair, Wanaoshinikiza Rais Mama Samia afikiri kama Magufuli sio uungwana

  Nashukuru Mungu kwamba angalau Tanzania ya hoja kwa hoja inarejea taratibu. Kumeibuka kundi la watu linaloshinikiza Mhe. Rais Mama Samia afikiri kama Hayati magufuli. Haieleweki vyema kwa nini wanafikiri hivyo ila kimsingi sio fair kabisa. 1. Mzee Mwinyi hakufikiri kama Nyerere, Mzee Mkapa...
 7. Azizi Mussa

  Distributive justice; Mnyonge ni nani Tanzania na ni kipi anachostahili

  Mnyonge hasa ni nani Tanzania, ni kipi anachostahili, nani afanye nini na ni yapi madhara ya kutumia dhana hiyo isivyostahili. 1. Mnyonge ni mtu asiyeweza kujipigania yeye mwenyewe ili kuweza kujipatia mahitaji yake ya msingi. Kwa mantiki hiyo, ni kweli tuna wanyonge nchini ambao ni 'walemavu'...
 8. Azizi Mussa

  Maono ya Rais mama Samia kuhusu uwekezaji nchini kwenye nyuzi 360

  Mh. Rais mama samia anaamini kwamba wawekezaji wakija kwa wingi nchini watachangia ukuaji wa uchumi kwa kasi ambapo kwa sasa kinachowakwamisha ni complications zisizo na ulazima, kodi zisizo rafiki na vibali vya kazi kwa wawekezaji. Kuna watu wanajenga hoja kwamba mtizamo huu wa Mh.Rais...
 9. Azizi Mussa

  Njia inayoweza kutupatia viongozi bora na wenye uwezo wa ajabu

  1. Nafasi za kazi za kitaalam zitangazwe, sifa zinazoendana na aina ya kazi husika ziainishwe, na kila anayedhani ana sifa aombe. 2. Mchujo ufanywe na jopo maalum lenye mchanganyiko wa wataalam mbalimbali. Wenye sifa wote waende hatua inayofuata. 3. Ufanyike usaili wa kujieleza ambao utarushwa...
 10. Azizi Mussa

  Uongozi ni hekima na busara, Rais Samia ana sifa zote mbili

  Uongozi sio misuli au kubobea sana kwenye fani fulani. Uongozi hauhusiani na kunyanyua vitu vizito au kufanya vitu mwenyewe mwenyewe, bali uwezo wa kuunganisha watu na kuwasaidia kufikia malengo ya pamoja. Dunia haina tatizo la wataalam wa vitu mbalimbali, bali ina tatizo kubwa la uhaba wa watu...
 11. Azizi Mussa

  Mbinu zipi zinaweza kutumika kudhibiti uharibifu unaofanya Nguruwe Pori?

  Nguruwe Pori ni moja ya wanyama wenye uharibifu mkubwa kwenye mazao. Ni zipi mbinu rahisi za kuwadhibiti wanyama hawa?
 12. Azizi Mussa

  Muelekeo wa Uwekezaji nchini chini ya uongozi wa Prof. Mkumbo, Tunatokaje tulipo?

  Kuna msemo kuwa ili kupata matokeo yasiyo ya kawaida, ni lazima kwanza kufanya kitu kisichokuwa cha kawaida . Sote tunakubaliana kuwa ili kukuza uchumi wetu, kwa vyovyote vile ni lazima tukuze uwekezaji wa kutoka nje lakini pia wa ndani ya nchi. Hata hiyo sio tu kwamba kasi ya uwekezaji kwa...
 13. Azizi Mussa

  Kwanini wachumba, wapenzi au marafiki hukukimbia?

  Amenikimbia, hapokei simu tena, hanipigii, hajibu sms, anadai yuko busy kila saa, haji tena, hana time na mimi;Haya maneno yamekuwa yakijitokeza repeatedely humu. Huwa siandikagi kwenye jukwaa hili lakini ngoja leo niandike kidogo. Kwa saikolojia ya binadamu, watu huja kwako kwa sababu kuna...
 14. Azizi Mussa

  Kwanini Mbunge asijitolee diwani akalipwa mshahara? Kama chakula kidogo anaachiwa mdogo

  Hivi ni kigezo gani kilitumika kuamua Mbunge alipwe maslahi ya uhakika halafu diwani afanye kazi kwa kujitolea? Kama hoja ni kwamba uwezo ni mdogo 'chakula', kwa mila za kitanzania chakula kikiwa kidogo, wakubwa huachia wadogo. Sasa mbona kama kwenye hili liko kinyume nyume? Kama hoja ni...
 15. Azizi Mussa

  Revolution strategy: Kutoka kuchagua viongozi wa wanyonge hadi kumaliza unyonge wenyewe

  Ukosoaji wa watungaji na wasimamiaji wa sera ni jambo jema kwa kuwa huwasaidia wahusika kujitathmini na kujisahihisha. Kuwasifu na kuwapongeza ni jambo jema pia kwa kuwa huwatia moyo. Hata hivyo, jambo muhimu zaidi ambalo ndilo husaidia kutupeleka mbele zaidi kama taifa ni kufikiri ni namna gani...
 16. Azizi Mussa

  Tuna uhakika juu ya jambo moja kuhusu kukamatwa kwa viongozi wa Upinzani mara kwa mara. Huenda mabadiliko chanya yako karibu

  Kumekuwa na matukio mbalimbali ya kukamatwa kwa viongozi wa upinzani kwa kipindi kirefu kidogo. Ijapokuwa kuna mazingira tofauti tofauti yanayotawala matukio hayo, angalau sasa tuna uhakika wa jambo moja muhimu. Utaratibu wa kuwakamata viongozi hao unaonekana kutokuwa na faida kwa CCM, hauna...
 17. Azizi Mussa

  CCM kukata Majina, alichokisema Mh. Rais, demokrasia na hatma ya Tanzania

  Ijapokuwa demokrasia ndio mfumo wa siasa wenye ubore zaidi duniani hadi sasa ukilinganisha na mifumo mingine, hivyo kutufanya wengi wetu kuutetea mara kwa mara; kuna mambo kadhaa ya msingi tunapaswa kufahamu. Demokrasia kamili na uhuru katika hatua yake ya juu kabisa, vinafanya kazi kwa ufanisi...
 18. Azizi Mussa

  Uchaguzi 2020 Ushauri kunusuru upinzani ‘kidharura’: CHADEMA msimamisheni Membe, ACT msiweke mgombea bara; Haitawapa ushindi ila itawasaidia kuendelea ku 'savaivu'

  Disclaimer; Mtoa ushauri huu ni mwana CCM anayeamini katika demokrasia. Anaamini CCM imara itatokana na uwepo wa upinzani bora kwa kuwa CCM itapata kioo cha kujitazama, na kufa kwa upinzani kutasababisha CCM isiwe na pa kujipimia na hivyo ubora wake kuyumba.Kama Simba ikipotea kabisa, hatuwezi...
 19. Azizi Mussa

  Unafiki kwenye siasa zetu na hatma ya maisha yetu; tukiendelea hivi ni suala la muda tu, kila mtu atalia kwa wakati wake

  Dunia kwa asili yake ina machanguo mawili, wema au ubaya, haki au dhuluma, ukweli au uongo, unafiki au kutokuwa mnafiki, na kila mtu au jamii ina hiari ya kuchagua upande. Aidha, kila mbegu ioteshwayo na mtu mmoja mmoja, kundi au jamii huzalisha matunda yafananayo na mbegu husika. Kinachotokea...
 20. Azizi Mussa

  ‘Fair comments’ kuhusu CCM, Vyama mbadala na Uchaguzi wa Oktoba

  Kwenye siasa za Tanzania, kuna watu wanafanya wanachofanya kwa kuwa tu wanalipwa, kuna wengine kwa sababu ya ushabiki tu, wengine changamoto ya uelewa wa mambo, na wachache kwa sababu wanaelewa wanachokifanya na wanajua umuhimu wake kwao wenyewe, jamii na hatima ya Tanzania. Kwa bahati mbaya...
Top Bottom