Search results

 1. n00b

  Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

  Hawapendi Rais aguswe. Sasa aliomba mamlaka haya akitarajia tukae kimya tunapoona makosa?
 2. n00b

  Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

  Wasiovaa masks ni wapumbavu na upumbavu ni kipaji (kama alivyosema Nyerere). Nilifurahishwa kumwona Kitila Mkumbo akiwa amezingatia kuvaa mask. Maisha haya ni yako, si ya Serikali wala Dini/kanisa lako!
 3. n00b

  Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

  Yaani, Magufuli kama Rais katwambia siku ina saa 48 na kuwa mtu anatumia barakoa 12 kwa siku 1. Yaani, unapoamua kudanganya basi usiwafanye wananchi wako wote vilaza kiviiile. Nilijikuta nacheka mwenyewe yaani
 4. n00b

  Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

  Sasa, hapa hata wewe unawachongea TISS, JWTZ na Polisi kuwa wote wameshindwa kulinda mipaka yetu. Kuwa, tuliowapa dhamana wameshindwa kutulinda? Halafu, umetunza hadi leo masks zenye virus? Ulipozitumia ulipata maambukizi? Yaani, sidhani mnatakiwa kuweka “mazingira magumu” hapana - nashauri...
 5. n00b

  Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

  Kwa hiyo tunaomkosoa tuna chuki binafsi. Tema mate chini mkuu wangu! Aaaah weweeee! So, nani alileta hizo kontena za za vifaa tiba zenye kuwa na nia ovu? Mlitutangazia kama Taifa tumjue hasa adui yetu? Makontena tulionyeshwa? Kama mlikaa kimya bila kuonyesha umma huu ushahidi muhimu - that...
 6. n00b

  Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

  Unajua why the church inaingilia? Principled leaders guide a nation into responsible action. And it is responsible action that honours principle, enabling others to understand and appreciate it. However, recent events in our State reveal failure on the part of our leaders-social, religious and...
 7. n00b

  Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

  Nimeshangaa, he admitted hadi ndugu zake wamepigwa, watendaji wake wa karibu wamepigwa. Halafu yeye kama Rais anapokiri haya anataka tuchukulie “POA” tu?
 8. n00b

  Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

  Hahaha, sawa MSOMI Suluhisho: Endapo tuna watu kama wewe na ndo mmewekwa karibu na Rais kuwa washauri, mfumo ujitafakari!
 9. n00b

  Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

  Great work, mnafanya kazi nzuri so far. Lakini, wewe kama mwana JF ambaye upo for almost 11yrs kama active member (na unakumbuka why we exist): Unakubaliana nami kuwa kauli ya Rais leo ina makosa? Natambua, kwa nafasi uliyo nayo inaweza kuwa ngumu kukiri, ndani ya nafsi unanielewa vema tu...
 10. n00b

  Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

  I see, washauri wa Magufuli bana. Soma upya! Naamini utanielewa.
 11. n00b

  Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

  Let’s assume unasema ukweli na sisi tunaoohoji ndo hatujielewi: 1) Mwaka jana (2020) ni NANI alikuwa Rais wa Tanzania? Ilikuwaje Taifa likafanyiwa hujuma hii bila kushtukiwa? Usalama wetu kama Taifa ulikuwa compromised? Nani hasa walizileta? Walichukuliwa hatua gani na umma ulijulishwa? 2)...
 12. n00b

  Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

  Exactly my point. Ikulu ni taasisi, ni zaidi ya mtu mmoja. Taasisi ijitafakari katika anachofanya aliyekalia kiti. Anaacha legacy gani? Akija mwingine anaweza kufanya zaidi ya hivyo. Hii Ikulu inaendeshwa kwa kodi zetu watanzania. Tuna haki ya kukataa baadhi ya mambo. Ndo uzalendo!
 13. n00b

  Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

  Mkuu TUJITEGEMEE, Ninyi ndo wana JF tunaowategemea huko kwenye mfumo kwa sasa. Naomba tuelewe: 1) Issue ya Barakoa: Mwambieni Rais anachemka big time, sisi wananchi si wajinga kiasi hicho. 2) Kuhubiri kanisani na kwenda na wapiga picha: Viongozi wa Dini wanaweza wasiwe wanamwambia, anakosea...
 14. n00b

  Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

  Did I dispute matumizi ya dawa za asili? Hapana, nataa narrative ya kuwa barakoa wanazotumia watanzania si salama.
 15. n00b

  Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

  Mkuu, Nimewaomba Mods wanisaidie kuiweka video. Nipo, nilikuwa nachungulia zaidi hapa maana maisha ya sasa ni mchakamchaka sana. Magufuli kasababisha nishindwe kuvumilia kwani najua baadhi ya wasaidizi wake ni wana JF wenzetu humu ambao tumekuwa pamoja katika mambo mengi ila kwa sasa ndo...
 16. n00b

  Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

  Mkuu, Umenisoma vema? Msikilize Magufuli wewe mwenyewe umsikie anachoongea. Inauma sana kuwa Kiongozi wetu anaongea mambo juu juu bila ninyi wasaidizi wake kumwambia yanamaanisha nini. Sijasema zimeingizwa barakoa bila uhakiki bali kauli zake zinaleta tafsiri hiyo. Kimsingi, anatuambia sisi...
 17. n00b

  Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

  Wakuu, Nimemsikiliza Rais Magufuli akiwa anaongea leo kanisani. Nimeshtuka, Rais anaongea kama layman kabisa. Hii ni hatari kwa Usalama wa Taifa kwa mtu ambaye amepewa dhamana ya juu kabisa hapa nchini. Rais ni Comforter-in-Chief hivyo kama mfariji mkuu wa Taifa ana mamlaka makubwa...
 18. n00b

  Kanuni mpya za Maudhui ya Mtandaoni: Wenye 'channel' na tovuti za dini nao kusajiliwa

  Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (EPOCA), Namba 3 ya mwaka 2010 inamruhusu Waziri kuleta Kanuni za kusimamia maudhui ya mtandaoni. Waziri mwenye dhamana ya Mawasiliano amesitisha matumizi ya Kanuni za Maudhui ya Mtandaoni Namba 133 ya mwaka 2018 zilizochapishwa mwaka mnamo Machi...
 19. n00b

  Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020

  Watoto wa kiume wa Mwalimu Julius Nyerere, Baba wa Taifa na Rais wa Kwanza wa Tanzania, Makongoro na Madaraka, wamekataliwa kwa kura nyumbani kwao Butiama, Mara. Watoto hao wa Mwalimu Nyerere, walikuwa wakiomba ridhaa ya kupitishwa, kugombea ubunge na wajumbe wa mkutano mkuu wa Jimbo la Bunda...
Top Bottom