Search results

 1. mtu watu

  Nini kifanyike ili wananchi wajue hatima yao ni ipi?

  Kumekuwa na sitofahamu juu ya mwenendo wa wananchi wa mwanza maeneo ya buhongwa kuzuiliwa na kusimamisha kuanzisha makazi yao kwa maeneo husika kisa eneo ilo linatakiwa na Jeshi la wananchi wa Tanzania (jwtz) kwa ajili ya kufunga Rada. Ili suala limechukua muda mrefu sana mpaka ikapelekea...
 2. mtu watu

  Wananchi waiomba Serikali kuwapiga marufuku wachungaji wanaowandaa watu kwa ajili ya miujiza

  Ni baada ya mchungaji huko Afrika kusini kudai kumfufua mtu aliyekufa.. Sijui kawa yesu?[emoji23][emoji23] wakati ukuta.
 3. mtu watu

  Huu Utamaduni wa kumpigia mwanamke magoti na kulia tumeutoa wapi?

  Kama kichwa kielezavyo naona mambo mengi ya kitoto kuendelea katika jamii zetu, hivi mwanaume unaanzaje kulia kwa kumvisha mwanamke Pete, mwanaume unaanzaje kumpigia mwanamke magoti, je upendo wetu hupo kwa maonesho hayo au ni ulimbukeni? Nauliza huu utamaduni tumeutoa wapi? Sent using Jamii...
 4. mtu watu

  Tanzania ya viwanda, kunyweni bia makanda.

  Movie inaanza stering kazama kitaani. Kwa jinsi hali ilivyo je unatarajia chochote kama mchoraji wetu anavyosema au ndiyo mwisho wa movie hii?
 5. mtu watu

  Yanayofanywa na Polisi wa Usalama barabarani ni sahihi au ni ubabe tu na kutofuata sheria?

  Madreva wa daladala na magari binafsi ufanya makosa kwa kujua au kutokujua. lakini inapotokea dreva kafanya kosa inakuaje polisi (Trafic)anakuja moja kwa moja kuchomoa funguo na kuzima gari huku akiwa anahamuru dreva amfuate aendako huku abiria tukingoja kwa muda mrefu kuhusu suruhisho lao...
 6. mtu watu

  Polisi, kampuni ya mitandao ya simu na TCRA mmeshindwa kuwakamata hao waharifu wanaotutaka kuwatumia pesa?

  Kila kukicha nazidi/tunazidi kupokea ujumbe mfupi wa kutuma pesa kwa mtu fulani, ili jambo limelalamikiwa sana na wananchi na watumiaji wa mitandao ya simu husika, mpaka ikapelekea polisi kuingilia kati na kudai imewakamata wezi hao wanaotumia namba husika katika kutapeli watu. Lakini bado hao...
 7. mtu watu

  Nini mwisho wa usaliti kwa wale wanaopendana?

  Mahusiano mengi ufika kikomo au kutoelewana baina ya wapenzi wawili kwa kisingizio cha usaliti, mara fulani kamkuta na fulani, mara huyu kakuta sms za mapenzi kwenye simu ya mwenzake, hizo ni baadhi ya sababu ya zinazopelekea kukawa na kutoelewana kwao, nauliza tena, nini mwisho wa usaliti kwa...
 8. mtu watu

  Heri ya kuzaliwa kwangu

  Napaswa kuwapenda wote sana.
 9. mtu watu

  Kwanini watu wenye albinism hawajiunga polisi na jeshi la ulinzi kiujumla?

  Mwenye sababu ya kwa nini hawajiungi ktk sekta hizo aorodheshe hapa. Nawasilisha
 10. mtu watu

  Chuki ya wanawake kwa wanawake inatokana na nini haswa?

  Bila kupoteza muda ndugu zangu naomba kujua ukubwa wa chuki uliojificha katika mioyo ya wanawake kwa wanawake ni hipi? Nilianza kufuatilia jambo hili muda mrefu mpaka sasa nimeshindwa kupata majibu. Ukiwa kwenye daladala kuna muda napata tabu nimekaa na mtu mzima mwenye umri sawa na baba &mama...
 11. mtu watu

  Waathirika wa bomu mkoani Kagera wakumbukwa kwa msaada

  Miezi mwili baada ya wanafunzi watano kuuawa na wengine 43 kujeruhiwa kwa bomu la kutupwa kwa mkono katika Shule ya Msingi Kihiga wilayani hapa mkoani Kagera, Kampuni ya Kabanga Nickel imewapa msaada wa vitu mbalimbali vyenye thamani ya Sh20 milioni. Shule hiyo iliyoanzishwa mwaka 1956 ina...
 12. mtu watu

  Wananchi Wa Mtwara wajitolea kujenga shule iliyobomoka baada ya miaka 33

  Mtwara. Wakazi wa kijiji cha Mtendachi halmashauri ya wilaya Mtwara wamejitolea kujenga shule ya msingi kijijini hapo ili kuwaondolea watoto wao adha ya kutembea umbali mrefu kwenda shule iliyopo kijiji jirani cha Nomindondi. Uamuzi huo umekuja baada ya shule iliyokuwepo kijijini hapo...
 13. mtu watu

  Usafiri wa reli kusitishwa huduma kutokana na miundombinu kuwa mibovu

  Kampuni ya Reli Tanzania TRL leo January 13, 2018 imetoa tangazo kwa abiria wake kuwa inasitisha huduma ya usafiri kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha sehemu mbalimbali nchi zilizosababisha miundombinu ya reli kati ya Kilosa na Gulwe kuharibika. Kutokana na uharibifu huo umesababisha...
 14. mtu watu

  Mwanaume aua familia yake kisa wivu wa mapenzi

  Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Ammy Lucas Lukule ambaye ni Mhasibu wa Hospitali ya Rufaa Mbeya, amechukua uamuzi wa kuua familia yake kutokana na wivu wa mapenzi. Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Benedict Kitalika amethibitisha kutokea kwa tukio hilo la mauaji, na kusema kuwa...
 15. mtu watu

  Kijana tapeli akamatwa na milioni 15 za mfuko wa Rais

  Kijana mmoja ambaye amefahamika kwa jina la Mohamedy Msangi (28) mkazi wa Kilakala Manispaa ya Morogoro anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kughushi nyaraka na kujipatia mkopo wa milioni 15 katika taasisi ya mfuko wa Rais Kanda ya Morogoro. Kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro Ulrich...
 16. mtu watu

  Madiwani wawili Chadema wajiunga CCM

  Taarifa: Dar/Iringa. Madiwani wawili wa Chadema katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa wamejiuzulu nyadhifa zao na kuhamia CCM. Wakati diwani wa Ruaha, Tandesy Sanga akitangaza uamuzi huo leo Jumatano Januari 3,2018 jijini Dar es Salaam; mwenzake wa Kwakilosa, Joseph Ryata ametangaza uamuzi...
 17. mtu watu

  Serikali: Magari ya Jeshi la Polisi yaliyoingizwa kutoka India kuchunguzwa baada ya kugundulika kuwa na dosari

  Dar es salaam : Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni ameagizwa kuundwa kwa kamati ya wataalamu kukagua kwa kina magari ya Jeshi la Polisi yaliyoingizwa nchini kutoka India baada ya kugundulika kuwa na dosari. Naibu Waziri Masauni ametoa agizo hilo jijini Dar es salaam baada ya kufanya...
 18. mtu watu

  Furaha ni utulivu wa mwili na roho

  Furaha ni kitu ambacho hakishikiki. Furaha unaweza kuipata pale unapoamua wewe binafsi. Furaha hutafutwa na mhusika mwenyewe. Furaha ni utulivu ulio ndani ya nafsi ya mtu (Binadamu). Msingi wa Furaha ni utulivu wa Mwili na Roho. Utulivu wa mwili na roho unatengeneza matumaini na upendo uliomo...
 19. mtu watu

  Ukerewe, Mwanza: Polisi ajinyonga kwa kipande cha chandarua

  Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Kituo cha Nansio wilayani Ukerewe, John Kalongola amejinyonga kwa kipande cha chandarua nyumbani kwake. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi amesema mwili wa askari huyo umehifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Ukerewe. Amesema baada ya uchunguzi na...
 20. mtu watu

  Hatimaye nimekuwa member

  Baada ya muda mrefu kufuatilia jf leo nimeamua kujiunga rasmi Naomba mnipokee Asanteni sana!
Top Bottom