Search results

 1. n00b

  Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

  Wakuu, Nimemsikiliza Rais Magufuli akiwa anaongea leo kanisani. Nimeshtuka, Rais anaongea kama layman kabisa. Hii ni hatari kwa Usalama wa Taifa kwa mtu ambaye amepewa dhamana ya juu kabisa hapa nchini. Rais ni Comforter-in-Chief hivyo kama mfariji mkuu wa Taifa ana mamlaka makubwa...
 2. n00b

  Kanuni mpya za Maudhui ya Mtandaoni: Wenye 'channel' na tovuti za dini nao kusajiliwa

  Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (EPOCA), Namba 3 ya mwaka 2010 inamruhusu Waziri kuleta Kanuni za kusimamia maudhui ya mtandaoni. Waziri mwenye dhamana ya Mawasiliano amesitisha matumizi ya Kanuni za Maudhui ya Mtandaoni Namba 133 ya mwaka 2018 zilizochapishwa mwaka mnamo Machi...
 3. n00b

  Kigamboni: Polisi wadaiwa kuua raia

  Soma taarifa hii iliyosambazwa na kiongozi wa BAVICHA: [emoji1484] Katikati utekelezaji wa ahadi ya mkuu wa wilaya Kigamboni(Sarah Ally) iliyotolewa wiki hii tayari matunda yake tunaanza kuyaona. Ikumbukwe juzi tuu ametoa ahadi ya kuwatia ulemavu watuhumiwa wote wataokamatwa kwa tuhuma za...
 4. n00b

  Tanzania among top 10 Africa’s most exciting investment destinations

  Tanzania has been listed as one of Africa’s most exciting investment destinations. It is No. 7 on the index, according to the Top 10 African Investment Destinations in 2019 report. The report published by the Rand Merchant Bank indicates that Tanzania jumped two positions from 9th position...
 5. n00b

  Kangi, sawa Lissu amekimbia na uchunguzi mmeacha. Vipi ishu ya Mo Dewji? Uvamizi IMMA Advocates?

  1. Mo Dewj hajakimbia na wala hajatelekeza kesi yoyote. Je, upelelezi wake umefikia wapi na kesi inayohusu hata yule aliyekamatwa ni kesi namba ngapi na ipo mahakama ipi? 2. Wakili Fatma Karume na washirika wake wa IMMMA Advocates waliopigwa bomu ofisi yao nao wapo hawajakimbia. Vipi upelelezi...
 6. n00b

  Polisi wazua Taharuki Zanzibar. Wawapiga maafisa wa ZAECA na kuwafunga, Mmoja wao ni Mjamzito

  Jeshi la Polisi Zanzibar limedaiwa kuvamia ofisi za Mamlaka ya Kuzuwia Rushwa na Uhujumu wa Uchumi, Zanzibar (ZAECA) iliyopo Vuga kuwapiga ikiwemo Mwanamke mmoja Mjamzito. Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana Mjini hapa zinaeleza kwamba Jeshi la Polisi juzi lilivamia ofisi za Mamlaka hiyo na...
 7. n00b

  Mapambano dhidi ya Ufisadi: Tanzania yazidi kuchechemea

  Imeshika nafasi ya 18 barani Afrika ======= Tanzania is the 99 least corrupt nation out of 175 countries, according to the 2018 Corruption Perceptions Index reported by Transparency International. Corruption Rank in Tanzania averaged 98.62 from 1998 until 2018, reaching an all time high of 126...
 8. n00b

  Kutoka Bungeni: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa wapitishwa kuwa Sheria

  Spika Ndugai ameipongeza Serikali kwa kazi nzuri na Muswada umepita kwa kura za Ndiyo ====== BAADHI YA NUKUU (KUTOKA UPINZANI) Kambi ya rasmi ya upinzani bungeni imekosoa muswada wa marekebisho ya sheria ya vyama vya siasa wa mwaka 2018 ikisema ni uonevu mkubwa dhidi ya vyama hivyo...
 9. n00b

  Kisutu, Dar: Mahakama yamuachia huru Tido Muhando, yamkuta hana hatia

  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemwachia huru aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Tido Mhando baada ya kumkuta hana hatia ==== Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemwachia huru aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Tido Mhando. Tido...
 10. n00b

  Kisutu: Mahakama yawafutia Mashtaka Harry Kitilya na wenzake, Polisi yawakamata tena

  Mahakama ya Kisutu imewafutia mashtaka aliyekuwa Kamishna wa TRA, Harry Kitilya na maofisa wa benki ya Stanbic, Shose Sinare na Sioi Solomon, hata hivyo wamekamatwa tena na kurudishwa mahabusu. ----------- Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewafutia mashtaka aliyekuwa Kamishina...
 11. n00b

  Namtafuta Detta Vililo Mafie (Mlezi wa Jermin Omary Chocholo)

  Mtu huyu amepoteza nyaraka muhimu na zimeokotwa na raia mwema. Kama kuna anayemfahamu, amwambie awasiliane nami. Anaweza kutuma email kwa uongozi wa JF ili wanitafute (support @ jamiiforums. com )
 12. n00b

  Rais Magufuli: Uwekezaji wa NSSF wa Dege Eco Village(Kigamboni) haufai

  Asema bila kujali ulianzishwa na nani na kwa malengo gani ni uwekezaji usio na tija. Ungefanywa na kampuni binafsi ingeeleweka Asisitiza, tena kwa sasa ndo haufai kabisa kufuatia Serikali kuhamia Dodoma. Amewataka NSSF kujitafakari juu ya uwekezaji huu. Amesema kama SSRA wangekuwa makini...
 13. n00b

  Rostam Aziz: Why investors should flock to Tanzania...

  INTERVIEW. In recent years, Tanzania’s economic reforms in mining, tourism, energy and aviation have attracted global attention, with a section of stakeholders arguing that the reform strategies being employed are adversely affecting the ease of doing business in the country. However, for...
 14. n00b

  Tulivyojiingiza chaka kwenye vita bandia ya Ushoga... Gharama yake hatuiwezi hivyo tujitoe haraka.

  Imeandikwa na Mwanazuoni mmoja ===== Mtanzania mwenzangu, Naomba unisome taratibu bila haraka na kwa akili iliyo tayari kujifunza. Nimefuatilia kwa karibu hiki kinachoitwa vita dhidi ya ushoga na mwitikio wake nje na ndani ya nchi yetu. Nimetafakari na kuona nami nishiriki mjadala huu kwa...
 15. n00b

  World Bank: We are very upset about what's happening in Tanzania...

  Tanzania In response to an audience question about the internal politics of the country, Kim said the World Bank’s articles of agreement forbade him from commenting, but some social issues required discussion. "Let me just be very blunt, we are very upset about what's happening in Tanzania...
 16. n00b

  Benard Membe: Hapo vipi?

  Kuna watu hii picha itawakera tu
 17. n00b

  Jumatano ya Majivu 2018: Siyo Valentine tu bali Mabadiliko

  Imeandikwa na Pascal Mwanache, Communication TEC Mtakatifu Valentino ni nani? Alikuwa Padri wa Roma (Italia) ambaye aliishi kwa kuishuhudia imani ya kikristo kati ya mwaka 197 na 273. Kanisa linamtambua kuwa ni shahidi wa imani kwa kuwa alitoa uhai wake kwa kuilinda, kuitetea na kuitangaza...
 18. n00b

  Serikali: Tumejitoa OGP sababu tuko kwenye mikakati mingine yenye malengo yanayoshabihiana; Kigoma-Ujiji yabaki

  Wakuu, Hivi serikali ya awamu ya Tano inatupeleka wapi? Nini sababu ya Serikali kujaribu kukimbia kitu muhimu kama hiki ambacho kama Taifa tulikuwa tumeshaamua kujiunga nacho? Vyombo vya Dola vimeafiki kitu muhimu kama hiki kilichoanzishwa na Rais Kikwete kutelekezwa kirahisi namna hii? Si...
 19. n00b

  CRDB bado inapitia wakati mgumu. Mikopo isiyolipika yadaiwa kuwa chanzo

  Ongezeko la mikopo isiyolipika na kupungua kwa faida kwa takriban Sh50 bilioni mwaka 2016, kunaiweka njiapanda Benki ya CRDB na inabidi hatua za haraka zichukuliwe kurekebisha mwenendo. Faida ya benki hiyo kubwa nchini imepungua na kuhitimisha dalili zilizojitokeza kwenye robo ya tatu ya mwaka...
 20. n00b

  Kinondoni, Dar: DC Ally Hapi aagiza mtumishi wa umma kuwekwa ndani saa 48 kwa kumzimia simu!

  Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi ameagiza Jeshi la Polisi kumuweka ndani siku mbili, Afisa Uthamini wa wilaya hiyo, Einhard Chidaga kwa kosa la kutotekeleza majukumu yake pamoja na kudharau wananchi kitendo kinachodaiwa kusababisha uwepo wa migogoro ya ardhi katika wilaya yake . Hapi...
Top Bottom