Search results

 1. Cookie

  Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

  Una tatizo gani?
 2. Cookie

  Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

  Kweli kuna baadhi ya Verified ID za makampuni /mashirika/taasisi zilianzishwa baadae ikawa kama wamezitekeleza Account zao Kwa ID uliyoitaja ya Vodacom, sio kweli sana ulichokisema, ID hiyo ilianzisha mada hiyo 2013, mara ya mwisho ID kuingia hapa JF ilikuwa 2019 Kwa ID za makampuni/taasisi...
 3. Cookie

  Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

  Ingependeza zaidi: Nilisema hivyo kwa mtu niliyekuwa nimem-quote, alisema kuwa yeye hawezi kumblok mtu kisa akitofautiana naye mtazamo Ignore Option: Imewekwa kwa watu ambao hawawezi kuwa kama huyo mtu niliyekuwa nimem-quote Wapo ambao watakuwa wanaitumia na wapo ambapo hawataitumia
 4. Cookie

  Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

  Kiongozi kuna ubaya gani kwa maboresho haya kufanyika kipindi hiki? Kipindi kipi ndicho kingekuwa kizuri kwako kufanyika kwa maboresho haya?
 5. Cookie

  Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

  Watu wote tungekuwa na fikra kama zako ingependeza zaidi Nilipopata notification hiyo , nilishituka kidogo Vizuri kwa kuweza kuona jinsi ya kutumia Dislike
 6. Cookie

  Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

  1. Hiyo hali naona kama italeta ukakasi kidogo 2. Option hiyo ipo, haswa kwa mtu kama wewe unayetumia browser, ukiweka cursor kwenye Thanks zitatokea emojis kama 6 moja wapo ni ya Dislike {Ipo Mwisho Kulia}
 7. Cookie

  Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

  Utapewa ufafanuzi mkuu Kuna tatizo sehemu ila shaka ondoa litarekebishwa
 8. Cookie

  Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

  Haupo kwenye ban, kuhusu ku upload video suala hilo linaangaliwa
 9. Cookie

  Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

  Asiyesikia la mkuu..... Nimeghairi
 10. Cookie

  Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

  Ni kweli unachosema, ila sasa imeboreshwa zaidi Unaweza kuitumia option hiyo pia kwenye Forum, Thread Angalia vizuri post #1 ufafanuzi umetolewa vizuri
 11. Cookie

  JamiiForums Usiku wa manane

  Mkuu, Mbona unaniwekea maneno ambayo sikuyasema Angalia tena ile screenshot ya Staff wa JF uliyoiweka halafu linganisha nilichokuambia Nilisema hivi?
 12. Cookie

  JamiiForums Usiku wa manane

  Ohh unataka thanks kwenye last msg yako/ Nitapitia kwenye inbox kuangalia
 13. Cookie

  JamiiForums Usiku wa manane

  Mkuu Mbona rahisi kusomeka hapo Farida ni Mod wa JamiiForums?
 14. Cookie

  JamiiForums Usiku wa manane

  Nafasi za Kazi 25 JamiiForums - mwisho wa kutuma maombi ni Julai 27, 2019 - JamiiForums Uwe unatembelea Jukwaa la Ajira mara kwa mara
 15. Cookie

  JamiiForums Usiku wa manane

  Hapana
 16. Cookie

  JamiiForums Usiku wa manane

  Nafasi za Kazi 25 JamiiForums - mwisho wa kutuma maombi ni Julai 27, 2019 - JamiiForums
 17. Cookie

  JamiiForums Usiku wa manane

  Hiyo mada ilishafungwa na ulipewa msaada kwenye Private Message
Top Bottom