Search results

 1. rifwima

  Nauza Carina Ti toleo la 2001, cc 1490 No DDB

  I am not selling the car anymore.
 2. rifwima

  Ubora na Ubovu wa Toyota CAMI

  Hello JF memebers, Kama somo linavyojieleza hapo juu, naomba wazoefu/wajuzi wa magari wanijuze kuhusu aina hii ya gari. Navutiwa kuinunua kwa sababu napendezwa sana na muonekano wake na namna ilivyo. Lakini nisingependa kuwa na gari ya kunipa stress as maisha yenyewe ya kibongobongo ni stress...
 3. rifwima

  Nipeni Maujanja, nimuandalie zawadi gani kipindi hiki cha wapendanao

  Nilifanikiwa kwa ushauri wenu.
 4. rifwima

  Hoja rahisi zinaitajika kutumiwa na watu makini kuleta uelewa na kuhamasisha mabadiliko thabiti.

  Habari JF, Nianze kwa kuwapongeza wote mlioshiriki na mnaondelea kushiriki katika mijadala mbalimbili kwenye majukwaa tofauti hapa JF na hata nje ya hapa. Mwaka ujao 2014 tuzidi kuendelea na utaratibu huu wa kuibua hoja na mijadala mbalimbali kwa mstakabali wa Taifa hili ambalo sina shaka wote...
 5. rifwima

  Mgongo unaungua kwa moto

  Hello The JF Drs. Naomba ushauri kuhusi hili tatizo: Ni kama miezi miwili sasa I am experiencing kama naungua moto hivi sehemu ya nyuma mugongoni kuanzia sehemu ya shingo hadi mitaa ya kiunoni. Mwanzo nilifikiri labda ni stress lakini naona tatizo liko constant. Sababu inaweza kuwa nini na...
 6. rifwima

  Msaada Wa Software Ya Kutengeneza Picha (Passport)

  Hello Wana JF, Wataalam Wa ICT Naomba Msaada Was Software Nayoweza Kutumia Kutengeneza Passport: Wedth 132 Pixels Urefu 185 Pixels Ukubwa wa Picha Usizidi 4KB Resolution Iwe 72 Pixels per inchi. Please, tusaidiane vyema.
 7. rifwima

  Msaada Wa Software Ya Kutengeneza Ya Picha (Passport)

  Hello Wana JF, Wataalam Wa ICT Naomba Msaada Was Software Nayoweza Kutumia Kutengeneza Passport: Wedth 132 Pixels Urefu 185 Pixels Ukubwa wa Picha Usizidi 4KB Resolution Iwe 72 Pixels per inchi. Please, tusaidiane vyema.
 8. rifwima

  Walimu wasipoangaliwa wataliangamiza taifa kwa kuzalisha wajinga!!!???

  Huu ni ujumbe wao unaosambazwa kwa kasi sana kwenye mitandao na simu baada ya Serikali kutupilia mbali mdai yao ya msingi: "Ndugu Mwalimu, katika somo au masomo yako hakikisha humwandai mwanafunzi kupata A,B,C wala D. Mwandae katika kiwango cha F kwa sababu hata akipata A juhudi zako ni sawa na...
 9. rifwima

  Tumaini university hakuna kitu, ni ubabaishaji tu.

  Habari wan JF Mimi ni Mhitumu wa shahada ya kwanza Chuo kikuu cha Dar es Salaam. Baada ya masomo ya degree yangu ya kwanza nikapata kazi Iringa. Katika kuangalia mstakabali wa kujiendeleza nikaamua kujoin na kusoma Postgraduate Chuo Kikuu cha Tumaini - Iringa. Mwaka jana 29th October 2011...
 10. rifwima

  Hizi ndo sifa za Mwalimu Nyerere International Airport

  Dar Es Salaam Airports ? international airports near Dar Es Salaam
 11. rifwima

  A-level private schools boarding for arts

  Waungwana Habari! Nina kijana wangu (Male) amemaliza form four mwaka huu na kapata kama ifuatavyo Civ = B Hist = C Geog = C Kisw = C Engl = C Bio = D Comm = D B/Keep = D B/Math = F Nataka kumpeleka asome mojawapo kati ya comb za Arts shule ya Private lakini boarding. Shule gani zimekaa sawa...
 12. rifwima

  Kazi ya ualimu ni ngumu sana. Hii ilitokea live darasani!!!!!!!!????

  Kuna ticha mmoja ambaye alikuwa katika mafunzo kwa vitendo. Siku ya siku assessor alikuwa anakuja kwa ajili ya kuangalia swala zima kama kijana kaiva kwenye vitendo. Mwalimu huyo aliandaa zana zote za kufundishia na kujifunzia (teaching materials and teaching and learning aids). Lakini alisahau...
 13. rifwima

  Uniliver Tanzania, Nipeni details zao

  Jambo! Wana JF, heshima kwenu! Napenda kupata details za hii kampuni ya Uniliver (I know its a multinational company) especially range ya salary zao na mabenefits mengine? Pia mazingira ya kazi zao? Najua hapa jamvini ni full kwa kila kitu. Naomba kuwasilisha.
 14. rifwima

  Nitaoa but with one strong condition..mpaka chadema ichukue nchi!!!!

  Wan JF, Mimi ni kijana mwenye umri wa kutosha tu, karibia miaka 30 kasoro 1. Kila kona, kila siku, kila mara stakeholders wananiuliza "unaoa lini?". Nimechoshwa na hili swali kwani kwa sasa chini ya utawala wa MAGAMBA sioni nafuu ya maisha kujipa majukumu ya ndoa. Jawabu langu kwa sasa kwa kila...
 15. rifwima

  Hivi masex maniac ndo wanasifa zipi?

  Wana JF, naomaba tafadhari nieleweshwe....Hivi wanawake sex maniac ndo wanasifa zipi. Kuna kakazi nimekapata sikaelewielewi! Please react positively and be optimistic to this. I need your help.
Top Bottom