Maggid Mjengwa
Blaise Compaore Aliyasaliti Mapinduzi Ya Umma, Na adhabu Imemfika...
Ndugu Zangu,
Najisikia furaha katika siku hii ya leo kuwaona vijana wale wa Burkinafaso, kwa kuamua kuingia mitaani wamemlazimisha Blaise Compaore kuachia ngazi.
... Siku hii ya leo inanikumbusha Jumamosi...
Mambo ya rais kufanya atakavyo.
huku tz wanatoka nje kwa amani,ccm wanawaona mafala,kule hakuna cha nje wala nini nikulipua tu.
Burkina Faso parliament set ablaze Demonstrators breached the security around parliament and set it on fire
Protesters angry at plans to allow Burkina Faso's...
SASA HIVI
burkinafaso wamechoma bunge kwa sababu RAIS anatakakuchakachua katiba
WAMEKISANUA.
hapa kwetu mnatuita wapinzani tuna vurugu kwa kutoka tu bungeni kwa amani...
ccm ccm ccm mtupongeze sisi ni WAVUMILIVU! UKAWA uyeee
IPO SIKU
Kwa wale wenye kuhitaji mashamba yenye ardhi mpyaa(virgin land),
haijawahi kulimwa chochote.
Au wajariamali wanaotaka mapori ya kuanzisha shule za bweni au viwanda.
Basi wawasiliane nami watapata taarifa kamili.
mahali:
Kijiji: KIPANGEGE
Kata: SOGA
KONGOWE/KIBAHA
UMBALI: KM 15, Kutoka...
Kitila Mkumbo
Bado tuna safari ndefu sana ya kuwaelewa CCM. Yaani kuna mtu alitarajia kwamba Sitta angetenda tofauti na wanavyotenda CCM? Yaani kuna watu walijifanya kusahau kwamba Sitta ni member wa cabinet au ndio kusema hawajui jinsi cabinet inavyofanya kazi? Yaani Waziri mwandamizi...
Samuel Sasali anasema:-
Kulikuwa hakuna haja ya Kutumia Mamilioni ya fedha kwa ajili ya Tume Ya Warioba Kukusanya maoni na Kujifungia wakati Rais anasema yale mambo ya muungano yanaweza kutatulika.
Kulikuwa hakuna haja Kukusanya maoni ya Watanzania Kwa ajili ya Ukomo wa Ubunge wakati...
Shall we make it?
wameshindwa hata kumsikiliza wakiwa na maana kwamba wamegoma/hawataki.
kama mitoto ya chekechea vile.Bola tu bunge livunjwe kila mwananchi achukue sheria yake mkononi.
WANAUDHI...
Rais Jakaya Kikwete.**Jumla ya Watanzania 438,726 walipiga kura kupendekeza majina mbalimbali. Watu 10 walingara zaidi kwa kugawana jumla ya kura asilimia 97.4, huku wengine ambao hawakuweza kuchomoza wakiambulia mgawo wa asilimia 2.6.
Katika hao 10 waliongara zaidi, mtiririko kulingana...
Mbunge wa Mwibara Mh Kangi Lugola amesema kuwa Mh. Kikwete amewakosea sana Watanzania kwa kurudisha mawaziri mizigo. Alienda mbali zaidi na kusema CCM inaelekea kufia mikononi mwa Jakaya Kikwete kwa kufanya maamuzi mabovu.
Kangi Lugola
Ndugu Nape kwa upande wake amekuwa...
. Zitto atatimuliwa
MNADHIMU Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Tindu Lissu, amesema Mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe atakoma kuwa mwanachama mara tu baada ya mahakama itakapolirudisha suala hilo chamani.
Katika mahojiano maalum...
we nae unakurupukaga,tuliza kichwa elewa nini Prof.Baregu anamaanisha.usikalili mistari.
Kitu kinachokuponza,umeathirika na kitu kichwani mwako.hata uambiwe hii blue,unakataa unasema ni red.
Msafara wa mgombe udiwani kwenda kuchukua fomu uwanja wa nanenane zilipo ofisi za Msimamzi wa uchaguzi
MGOMBE Udiwani kata ya Tungi Manispaa ya Morogoro kwa tiketi ya Chadema Juma Tembo juzi amechukua fomu ya kugombea nafasi hiyo kwa mbwembwe baada ya kusindikizwa na msafara wa magari...
maisha bora kwa kila mtz.
hiyo wilaya haina hata madiwani?
mkurugenzi+DC bado hawajajiuzuru hadi sasa?
Hela za mem na mesi zinafanya kazi wapi?
au wanasubiri kamati iundwe?
CHAMA cha walimu,mnaonaje mkimsimamia huyo mwalimu kupata tuzo ya NOBEL.
Hivi Kawambwa na Mulugo bado wapo ofisini?