Search results

 1. mwenezi

  mb musoma mjini cdm awasha moto.

  ikiwa ni sehemu ya ahadi zake (refer 210 G election).mbunge wa musoma mjini vincent nyerere,tangu kumalizika kwa vikao vya bunge,amekuwa akikagua mashule na miradi ineyotekelezwa jimboni.kufuatia hatua hiyo wakazi wa msma mjini wa kada mbali mbali,wakiwemo walimu wa mashule aliyo...
 2. mwenezi

  TANZIA: Abdalah Esoore Wasiiza is nomore

  Ulitoa maisha maisha yako namali zako kutetea haki zawenzako. Tofauti na watu wengine ambao wakipata uwezi wakiuchumi wanajitenga na siasa za upinzani kwa hofu yakufirisiwa,wewe ulijipambanua. Tabia yako ndiyo iliyofanya cdm musoma wakakufanya kuwa mwakilishi wao katika chumba cha majumuisho...
 3. mwenezi

  CHADEMA Musoma waitikia wito wa wananchi.

  kikao cha pamoja kati ya kamati tendaji ya wilaya, mbunge,namadiwani kilichomalizika hivipunde kimeazimia kuwashirikisha wazazi wa watoto na (watoto wlioshindwa) kwenye mtihani wa kidato cha nne katika kutafuta ufumbuzi wa janga hili,hii ni hatua yakuitikia maombi ya wakazi wa mMusoma...
 4. mwenezi

  MB.nyerere atimiza sehemu ya ahadizake.

  moja ya ahadi za mhe.nyerere kwa wapigakurawake ilikuwa ni kuweka tv katika maeneo kadhaa yenye mikusanyiko yawatu,kwa lengo lakuwawezesha kuona matukio mhimu yanayoendelea hasa bunge,pamoja na kuwapunguzia (stress)wawapo kwenye shughuli zao.hizi hapa ni picha zinazo onyesha maandalizi ya...
Top Bottom