Search results

 1. Tumaini Makene

  Dar, Kinondoni: Yaliyojiri Mkutano wa CHADEMA na Wanahabari, Mdude Nyagali awadai Polisi fidia ya Mil 500

  Habari, Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), wanafanya Mkutano na waandishi wa habari kwenye Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA, Ufipa, Kinondoni, Dar es Salaam, kuanzia saa 5 asubuhi, leo Jumatatu, Mei 6, 2019. Tutawaletea Updates ya kila kinachojiri UPDATES:1115HRS Bado hawajaanza...
 2. Tumaini Makene

  CHADEMA: Jeshi la Polisi liwaachie Wenyeviti wa Vijiji waliokamatwa kwenye Ziara ya rais Magufuli

  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA JESHI LA POLISI LIWAACHIE WENYEVITI WA VIJIJI WALIOKAMATWA ZIARA YA RAIS MAGUFULI, MKOANI MARA Wenyeviti wawili wa Serikali za Vijiji, Jijini cha Natta, Kata ya Natta, Serengeti na Kijiji cha Kewanja, Kata ya Kemambo, Tarime Vijijini ambao wote wanatokana...
 3. Tumaini Makene

  Huu ndiyo wito wa Wazee wa CHADEMA kwa Rais Magufuli

  Ni kama anautekeleza nusu nusu. Ausome vyema ushauri huu aone Wazee wa CHADEMA walimshauri kukutana na makundi gani katika jamii na afanye kitu gani. BARAZA LA WAZEE WA CHADEMA TAARIFA ILIYOSOMWA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI TAREHE 13/03/2018 Ndugu wanahabari Baada ya tafakuri ya kina kuhusu...
 4. Tumaini Makene

  Wazee CHADEMA watema cheche; Katiba Mpya, sintofahamu ndani ya nchi na hali ya wazee nchini

  BARAZA LA WAZEE WA CHADEMA TAMKO LA BARAZA LA WAZEE KUPITIA VYOMBO VYA HABARI SIKU YA WAZEE DUNIANI 1/10/2017 Ndugu wanahabari Tunashukuru kwa fursa hii nyingine ya kukutana na kuzungumza na Watanzania kupitia vyombo vyenu vya habari. Kama mjuavyo leo ni Siku ya Wazee Kimataifa ambayo...
 5. Tumaini Makene

  Mchango wa Kumsaidia Tundu Lissu Matibabu Nje ya Nchi

  Kuhusu mchango wa matibabu ya Mhe. Tundu Lissu Tunaomba kuwataarifu wanachama, wapenzi na wafuasi wa CHADEMA pamoja na watu wote wenye mapenzi ambao wanawiwa kuchangia kiasi (kitu) chochote kwa ajili ya kusaidia matibabu ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki...
 6. Tumaini Makene

  Sakata la Ndege iliyokamatwa Canada: Tundu Lissu akamatwa na Polisi kwa kumkashifu Rais. Anyimwa dhamana

  Mbunge wa Singida Mashariki, Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria, Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Wakili wa Mahakama Kuu Tanzania na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha CHADEMA Mheshimiwa Tundu Lissu, amekamatwa na Mlinzi wa amani alipokuwa...
 7. Tumaini Makene

  John Heche asakwa tena na Jeshi la Polisi muda mfupi baada ya kuachiwa

  Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Tarime-Rorya linamsaka kwa nia ya kumkamata na kumweka chini ya ulinzi Mbunge wa Tarime Vijijini John Heche muda mfupi baada ya jeshi hilo hilo kumwachia kwa dhamana na kumtaka aripoti kituoni Agosti 6, mwaka huu. Kama ilivyotaarifiwa awali kuwa Mbunge huyo...
 8. Tumaini Makene

  Wazee wa CHADEMA wamvaa Mzee Mwinyi, wamtaka Rais kukemea kampeni ya 'urais wa maisha'

  CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) BARAZA LA WAZEE WA CHADEMA TAMKO LA KULAANI KAULI AU MAPENDEKEZO YA MZEE ALI HASSAN MWINYI YA KUTAKA KUVUNJWA KWA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ndugu waandishi wa habari Sisi, Baraza la Wazee wa CHADEMA tumeomba kukutana nanyi leo kwa...
 9. Tumaini Makene

  Msimamo wa Chadema; makinikia na rasilimali za nchi kwa ujumla

  Katibu Mkuu wa Chama Dkt. Vincent Mashinji amemaliza mkutano na waandishi wa habari punde ambapo ametoa kauli ya chama kuhusu mjadala wa suala la mchanga wa madini (makinikia), sekta ya madini na msimamo wa Chadema katika kulinda rasilimali za nchi kwa ujumla kwa maslahi ya Watanzania. CHAMA...
 10. Tumaini Makene

  Mjadala: Mchanga wa madini na Hotuba ya Mnyika Bungeni

  HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI WIZARA YA NISHATI NA MADINI MHESHIMIWA JOHN JOHN MNYIKA (MB), KUHUSU UTEKELEZAJI WA BAJETI YA WIZARA KWA MWAKA 2016/2017 NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA 2017/ 2018 (Inatolewa chini ya 99(9) ya kanuni za...
 11. Tumaini Makene

  CHADEMA yawatia shime Serengeti Boys

  CHADEMA YAWATIA SHIME SERENGETI BOYS Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinatoa salaam za heri kwa Vijana wa Timu ya Taifa chini ya miaka 17, Serengeti Boys wanaoiwakilisha nchi yetu kwenye mashindano ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Vijana, ambao leo wameingia dimbani...
 12. Tumaini Makene

  CHADEMA tunalaani kauli za UDINI za Spika Ubunge EALA

  CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA UMMA YA KULAANI NA KUPINGA VIKALI VITENDO NA MANENO YA SPIKA WA BUNGE MHE. JOB NDUGAI JUU YA KILICHOFANYIKA UCHAGUZI WA EALA. Siku ya tarehe 04.04.2017 kulifanyika uchaguzi wa Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki ambapo kwa mujibu wa...
 13. Tumaini Makene

  Full Text Hotuba ya KUB Bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2017/2018; Serikali inaogopa nini?

  *HOTUBA YA KIONGOZI WA UPINZANI BUNGENI (KUB), MHESHIMIWA FREEMAN AIKAELI MBOWE (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KUHUSU BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018* Inatolewa chini ya Kanuni ya 99(9) ya Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Januari, 2016...
 14. Tumaini Makene

  Dkt. Mashinji "hali ni mbaya, bunge lisimame imara kunusuru nchi bajeti ijayo"

  Katibu Mkuu Dkt. Mashinji alitaka bunge ‘kusimama’ bajeti ijayo kunusuru nchi Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Vincent Mashinji ameonya kuwa iwapo katika mkutano ujao wa bajeti, Bunge halitasimama imara kuiwajibisha Serikali kwa mujibu wa Katiba ya Nchi, kupitia...
 15. Tumaini Makene

  Lowassa afurahia mwaka mmoja ndani ya CHADEMA

  Nina furaha kutimiza mwaka mmoja toka nilipojitoa CCM na kujiunga na CHADEMA. Uamuzi ule haukuwa rahisi, lakini kwa ushupavu, ujasiri na mwongozo wa Mungu nilifanya hivyo.Nilifanya uamuzi wa kihistoria katika nchi yetu. Najivunia kwa uamuzi ule, kwani umewafungua macho watanzania wengi na...
 16. Tumaini Makene

  Hotuba ya Kambi Rasmi Bungeni, Wizara ya Katiba na Sheria

  MAONI YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI, WIZARA YA KATIBA NA SHERIA. MHESHIMIWA TUNDU A.M. LISSU (MB.) KUHUSU MPANGO NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA YA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA KWA MWAKA 2016/2017 (Kanuni ya 99(9) ya Kanuni za Kudumu za...
 17. Tumaini Makene

  KUB, Mbowe auchambua utawala wa CCM chini ya Magufuli: Umejaa uvunjifu wa Katiba, Sheria

  HOTUBA YA KIONGOZI WA UPINZANI BUNGENI (KUB) MHESHIMIWA FREEMAN AIKAELI MBOWE (MB) AKIWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KATIKA OFISI YA WAZIRI MKUU KWA MWAKA WA FEDHA 2016/17. Inatolewa chini ya Kanuni ya 99(9) ya Kanuni...
 18. Tumaini Makene

  Kigwangalla usipotoshe kuhusu Katibu Mkuu Dkt. Mashinji

  Tunamshukuru Dkt. Hamis Kingwangalla kwa kutoa maoni yake akikiri ukweli kuhusu Katibu Mkuu wa Chama, Dkt. Vincent Mashinji kuwa ni mwanasiasa mzuri, msomi mzuri na msemaji mzuri. Hapo hapo kwa makusudi ya kutumwa au kujituma mwenyewe, katika maoni yake hayo ambayo ameandika na kuyasambaza...
 19. Tumaini Makene

  Huyu ndiye Katibu Mkuu wa CHADEMA

  Personal Profile& attributes Mashinji has a Medical background with more than 10 years experience in leadership and governance. Very experienced in report writing and programs protocol development. Knowledgeable and skilled in strategy development processes. Apart from formal employment...
 20. Tumaini Makene

  KANUSHO: Mwenyekiti wa CHADEMA, F. Mbowe kuchukua 'zabuni zote' Hai

  Kuna taarifa zisizokuwa na chembe ya ukweli ambazo zimezushwa na kusambazwa mitandaoni, ikiwa na pamoja na jukwaa hili zikijaribu kumhusisha Mwenyekiti wa Chama Taifa, Freeman Mbowe kuwa amechukua zabuni zote katika Wilaya ya Hai. Wanaosambaza uongo huo, wamesema kuwa Mwenyekiti Mbowe ambaye...
Top Bottom