Search results

 1. ray57

  Wapi naweza pata Driving School Morogoro

  Naomba kujua wapi kuna driving school Morogoro. Ukiachana na VETA. Nimeenda VETA wamenambia mpaka mwakani.
 2. ray57

  IT Teen Needed (Expect in Graphic Design and Web Development)

  Natafuta Kijana aliye interested katika Graphic Design and Web development. Education level : Certificate/DIPLOMA Location: Morogoro Call: 0677 507205
 3. ray57

  Room Attendant Needed Drive In Lodge

  We are looking for a reliable and friendly Room Attendant to join our hospitality team in order to provide superb customer service to our guests. Your duties will include ensuring that assigned rooms are fully stocked, cleaned, and serviced to a high standard. You should also be able to resolve...
 4. ray57

  Developers wa Tanzania Tunashindwa wapi??

  Nimelala nikaamka na akili zangu za usiku, nikawaza sanaa, Kwa nini app, system,site nyingi za Tanzania huwa zinazaliwa na kufa kwa muda mfupi? Kwa nini hazitoboi? kwa nini hazipati nafasi ya kujikita juu na kujiendesha? Hapa kutakuwa na sababu nyingi sanaa zinazopelekea kuwa na haya matatizo...
 5. ray57

  Naomba kujua utaratibu wa kupata kibali cha kwenda Kenya kutokea Tanzania

  Habari wana Jamvi. Naomba kujua utaratibu wa kupata permit ya Kwenda Kenya kutokea Tanzania. Ni kwa week mbili tuu. Utaratibu wake ukoje na gharama zake. Naomba mnipe elimu kidogo. Sent using Jamii Forums mobile app
 6. ray57

  Mwenye ufahamu wapi wanauza Paper Transfer

  Habari. Kwa mwenye kufahamu wapi naweza pata Paper Transfer kwa ajili ya Sublimation. Mkoa Dodoma
 7. ray57

  Geopoll na airtel timiza!! Angalia usiingizwe mjini kama mimi.

  Habari wana jamvi. Hii ni taarifa kwa wote na wengineo. Asubuhi ya leo nilipokea message kutoka number +15453, ikidai ni airtel Timza na walikuwa wanafanya tafiti kwa huduma ya airtel Timiza. Kwa moyo mkunjufu nikajibu maswali yao kwa haraka bila ya shida yeyote na baada ya kumaliza...
 8. ray57

  Website ya Board ya Mikopo iko linked na Website ya PornoGraphics Video

  Hii inanisikitisha sanaaaaa, kwa website kongwe ya kitaifa yenye kutoa taarifa za kitaifa kuwekwa link ya Video za Mapenzi tena mchana kweupeee. Hawa ma IT wao pesa yao ya mshahara wangenipa mkopo ili niweze kuendelea na masomo. Click Mbele ya neno RESERVED Utakachokionaa usimwambie...
 9. ray57

  HTC Desire 320 Boot Loop

  Habari wana Jukwaaa. Nina HTC desire 320. Inashindwa kuwaka mpaka kufikia mwisho. Inachofanya ni kuwaka mpaka kwenye HTC logo kisha ku restart tena haiendelei zaidi ya hapo. Uki connect kwenye Pc ina connect na kudis connect kila baada ya sekunde chache. Msaada wa kutatua tatizo ama kama Hapa...
 10. ray57

  Internet cafe Time Controller

  Habari Naomba mnisaidie product keys za Time watches software inayotumika katika internet cafe ama kama kuna altenative software naomba nijuze!!
 11. ray57

  Installation of Servers

  Habari!! Kwa wale wataalamu wa Installation, naomba kujua gharama ya Installaion ya Server inaweza fika shiling ngapi. Pamoja na configuration zake.
 12. ray57

  Whatsapp Voice Calling working 100%

  Je ungependa kutumia Whatsapp voice Calling Sasa weza kudownload Whatsapp APK ya WhatsApp for Android NB: KWa wale wote wanaosambaza massage zao whatsapp za kuwema YOu have been Invited sijui nini na nini ni FAKE!! Ni spam.
 13. ray57

  Scripting language na Programming Language!

  Hello Geeks!! Naomba kutambua tofauti kati ya Scripting Language and Programming language according to their functionality and examples. Maana nimeanza kupata shida juu ya hii kitu baada ya kushidwa kutofautisha baadhi ya terminologies zinazotumika jukwaani na mahala mbalimbali juu ya hivi...
 14. ray57

  Naomba elimu kuhusu Website Hosting

  Naitaji kufahamu Website hosting inaweza ghalimu kiasi gani cha pesa kwa mwaka?! Na nisaidie server zipi zipo vizuri katika kuhost site zikiwemo za Tanzania na za nje ya Tanzania.
 15. ray57

  Ikibidi ni kuhack blog zote za udaku tanzania

  NIna Hasira na Mablog yanayoposti UDAKU!! HII INAKUHUSU #BLOGGER Kujua Kutengeneza Vi Blog Vyenu na ViwebSite Uchwara MsitupeSHida. Yani kila kukicha wanapost mambo ya ajabu ajabu tuu ambayo hayana hata msingi na mchango katika Jamii. a)Taarifa Moja utakuta iko kwenye blog 59 na ya 60 ndio ime...
Top Bottom