Search results

 1. Babafetty

  Nimemeza kipande cha toothstick kwa bahati mbaya, nini madhara yake.

  Habari wanajamvi, Leo baada ya kula chakula cha mchana, nlichukua toothstick na kukikata kipande kikubwa kias na kusafisha meno kwa kutoa mabaki ya chakula yaliyojishikiza kati ya jino na jino, Nkiwa na wadau napiga story, nliomba maji ya kunywa huku stoothstick ikiwa mdomoni, Sielewi ikawaje...
 2. Babafetty

  Wanaume wa Dar tukutane hapa...

  Kume kuwa na katabia kuwa wanaume wa Dar ni wazembe, watoto wa mama, mara wengi kama hatujui majukumu ya kiume. Ila nataka kuwadhibitishia wanaume wa Dar ndo tunaongoza kwa kuchakarika na Maisha, kukubalika na warembo tokana na ustarabu wetu na uungwana. Hivi ni mwanaume gani anavaa kwa...
 3. Babafetty

  Ni muda wa wapinzani kujitathimini na kijitafakari kama wanastahiki kuendelea na nafasi zao

  Habari, Kwa mtizamo wangu upinzani wa Tanzania umekua na hali ngumu, kuna kipindo walifanya kazi nzuri sanaa, waliweza kuwasemea wanyonge, kutetea makundi maalum, kukumea matumizi mabaya ya viongozi, walikua wanajielewa, hasa kile kipindi cha Dr. Slaa (Chadema) na Prof.Lipumba (CUF). ila hapa...
 4. Babafetty

  maana ya neno A/C na Eco A/C

  Nina gari ndogo, katika upande wa air condition ya gari, kuna button mbili, moja imeandikwa A/C na nyingine Eco A/C, je kuna yofauti gan kat ya hzo mbili ktk matumizi..
 5. Babafetty

  Matairi ya mbele starlet kujam na kukosa ufumbuzi

  habari, Nina tumia gari ndogo, aina ya toyota starlet, gari imekua nzito sanaa, hvyo kufanya isiwe na mwendo wa kasi, nilipeleka kwa fundi akatengeneza ila tatzo halikupona, nikarudisha tena, baada ya km siku tatu, bado naona tatzo linaendelea. naomba mwongozo kwa wenye ufahamu wa kutosha...
 6. Babafetty

  ubora wa used tairi..

  habari wadau, naomba kujuzwa juu ya ununuzi wa tairi zilizotumika, ni vitu gan unatakiwa kuzingatia unapotaka kununua tairi used kama saizi 13, kwa gari ndogo, aidha, nmeona used tairi linauzwa kwa 50,000 nkiliangalia km jipya, la mwaka 2002, ila nahofia tokana cjajua vigezo gan vya kuzingatia...
 7. Babafetty

  Kuvuja oil katika Cylinder head.

  habar wadau, nina gari aina ya starlet, nlinunua kwa mtu, muda kidogo umepita, injini yake iko poa, ila katika cylinder head katika vile vimrija kama pameungwa na bigijii ngumu hv,(nahis gari ilichemka akafungua injini) sasa ktk maungio hayo huwa kuna injini oil inatoka kwa mbali hasa nkienda...
 8. Babafetty

  Wale tunaosikilizia maumivu ya loan board tukutane hapa

  Nimemaliza chuo kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2009, ila kiukweli nilikua napokea mkopo toka HELSB 60%, ilikua ndogo ila ilivuta mpaka miaka mitatu ikaisha. Baada ya kumaliza chuo nilipata kazi mwaka Vodacom nikafanya kwa mwaka mmoja kabla ya kuingia serikali kuu, kipindi chote hicho nilikua...
 9. Babafetty

  Je ni sahihi kununua starlet yenye namba usajili A..

  mambo vp wadau, naombeni ushauri wa kitaalamu na uzoefu wenu ktk hili, nataka kununua gari dogo, yenye CC ndogo kwa matumizi ya nyumban, ndugu yang anafanya kaz, bosi wake wa kike anagari aina starlet, kwa nwenekano bado nzur, anapofanya kaz na nyumban kwake sio mbali, kaongea naye akasema...
 10. Babafetty

  Bei ya starlet mpya.

  Habari, Naomba kujua bei ya kuagiza starlet mpya kutoka japan mpk kufanya usajili, Pia kwa mwenye ufahamu anisaidie kunijuza tofauti ya statlet na starlet glanza, ipi bora zaidi, Na zipi changamoto zake. Nawasilisha. Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
 11. Babafetty

  Natafuta mtu wa Kuchat naye

  Mambo vp, Naomba yeyote atakaye kuwa interested kuchart, kubadirishana mawazo ani PM, Just to share...
 12. Babafetty

  Nashindwa kudownload wala ku up load.

  Nashindwa ku up load na download photo ktk whatsapp. Nki up load inandika "the file you picked was not a photo" Tecno L5. Naomba mwongozo.
 13. Babafetty

  Nahitaji maziwa mtindi kwa jumla

  Yap, Mambo vp wadau, Nahitaji maziwa mtindi meng kwa bei ya Jumla, Npo Dar es Salaam, Maziwa yawe yenye ubora wa hali ya juu, hayajachakachuliwa na salama, Kwa mwenye nayo naomba tuwasiliane kupitia sms, Napokea na maoni mapya.
 14. Babafetty

  Uchimbaji wa choo la shimo la kisasa,

  Mambo vp wadau, Naomba kujua njia mpya ya uchimbaji wa shimo la choo, ambao unatumia makaravati, kwa mwenye ujuzi naomba anielimishe, kwan nackia ni wa bei nafuu na wa haraka. Kwa mwenye ujuzi naomba ufahamu.
 15. Babafetty

  Tetesi: Huna tatzo la nguvu za kiume, unatatzo la akili kumbe

  Hellow, Mambo vp, Leo nimeamua kuwaambia wanaume wenzangu ukwel, hivi kuishiwa nguvu za kiume imekua fashion au ndo swaga, unakutana na katoto ka miaka 22 nako kanasema kana matatizo ya nguvu za kiume, Watoto wadogo, watu wazima, wembamba, wanene na wanaofanya mazoezi weng wao wanalalamika...
 16. Babafetty

  Hauna tatizo la nguvu za kiume, unamatatizo ya akili kumbe.

  Hellow, Mambo vp, Leo nimeamua kuwaambia wanaume wenzangu ukwel, hivi kuishiwa nguvu za kiume imekua fashion au ndo swaga, unakutana na katoto ka miaka 22 nako kanasema kana matatizo ya nguvu za kiume, Watoto wadogo, watu wazima, wembamba, wanene na wanaofanya mazoezi weng wao wanalalamika...
 17. Babafetty

  Ujambazi au ugaidi unaotokea Pwani

  Kwanza napenda kutoa pole kwa Jeshi la Polisi, familia na watanzania wote juu ya vifo 8 vya polisi vilivyotokea kwa ndugu zetu na walinda aman wetu, karibia na Kibiti, mkoa wa pwani. Kwa muda wa miaka mitatu mfululizo, kumekuwa na hali ya sintofahamu kwa jeshi letu hasa kwa mkoa wa Pwani...
 18. Babafetty

  Mapinduzi ya fikra bado yamefichwa katika kitabu ambacho bado haujafikiria kukisoma.

  Nimefurahishwa sana nliposoma tweeter Account ya Zitto Kabwe, akieleza kuwa kwa mwaka huu amefanikiwa kusoma vitabu zaidi ya 50, Huku akiwa ameshindwa kuvunja rekodi yake mwenyewe ya mwaka 2013 alipoweza kusoma zaidi ya vitabu 60, Ukweli ni kwamba hauwezi kubadilisha mtazamo wako na kuukomaza...
 19. Babafetty

  Fikra pevu kwa kijana wa mwaka 2017. Mtazamo wako, mafanikio yako

  Mwaka 2016 unaisha tukiwa na mtazamo mpya wa Tanzania tokana na aina mpya ya utawala. Kuna waliofanikiwa na cha kujivunia kwa mwaka 2016 na kuna waliopoteza matumaini na kisha kulaumu waliowazunguka kama ndio chanzo kwa kufeli kwao. Kulalamika ni chanzo cha kuifunga akili yako juu ya mafanikio...
 20. Babafetty

  Tigo ni wezi wa kutupa

  Hivi TCRA wako wapi? Kampuni inakata salio la mtu pasina notification, na ukipiga simu customer care wana kupiga blah bla blah. Naingiza vocha mnakata tsh. 150 wakati sijawahi kujiunga na huduma hiyo, nikipiga simu huduma kwa wateja wanakupa maelezo, unafanya alafu kesho wanakata tena. Its...
Top Bottom