Search results

 1. kombaME

  Mke wangu hatoisahau jana

  Aseee, dunia ina watu hiii
 2. kombaME

  Daktari wa Diploma ni bora kuliko yule wa degree

  Bangi tu vijana hawa, CO anayejifunza kutoa dawa class A na B na kdg C aje afanane na MD, ndo maana bange inapigwa marufuku.
 3. kombaME

  Daktari wa Diploma ni bora kuliko yule wa degree

  Hii sio kweli, Yaani CO awe zaidi ya MD!! Hii haipo
 4. kombaME

  Kwanini mnawahukumu mno single mothers?

  Unataka kulazimisha mambo, hakuna anayejitetea ila ndo ipo hivyo. Unadhan kwanin Mtume ameruhusu mwanaume kuoa wanawake wanne lakin mwanamke hajaruhusiwa? Kupingana na ukweli huo ni kujipa mateso na kutaka kujaribu kutafuta solution ambazo hazitasaidia.
 5. kombaME

  Kwanini mnawahukumu mno single mothers?

  Ni rahisi zaid kumfundisha mwanamke kuepuka ngono zembe kuliko mwanaume kwa sababu ya utofauti wao kijamii, kihisia na kimwili.
 6. kombaME

  Kwanini mnawahukumu mno single mothers?

  Wanawake ndo wapo kwenye nafasi ya kupata mahangaiko zaidi pale inapotokea mimba za ovyo ovyo na ndo maana tunawaambia wajitunze, umewahi kusikia single father anakwenda ustawi wa jamii? Wanaoteseka zaid na matokeo ya kuwa single parent ndo wajitunze zaid maana ndo wanaumia zaidi.
 7. kombaME

  Jitahidi kuchagua mwanamke sahihi wa kuzaa naye

  Naheshimu maneno yako, huenda uoo sahihi
 8. kombaME

  Jitahidi kuchagua mwanamke sahihi wa kuzaa naye

  Case study iwe ya Majani, P funk na mwanae Paula aliyezaa na Kajala. 1. Usizae na mwanamke mwanaharakati maarufu kama Feminist, yeye hajua kushindwa wala kukosa, kichwani mwao hawa wanawake kumejaa fikra za kuonewa na kukandamizwa na kufight kutoka kweny hali hiyo. 2. Usizae na mwanamke msomi...
 9. kombaME

  Msaada hii alama ina maana gani kwenye Redmi 9t

  Nimeweka "deny" kwa app zote lakin bado notification imeendelea kuwepo
 10. kombaME

  Msaada hii alama ina maana gani kwenye Redmi 9t

  @Chief-Mkwawa nimejaribu kufanya kama ulivyoelekeza lakin bado mkuu
 11. kombaME

  Naomba ufafanuzi wa hili la kutoendelea na level nyingine ukiwa na supp

  Ipo hivyo, huwezi kuendelea level inayofuata mpaka umeclear level iliyopita, so km una supp ni hadi uchomoe ndo uendelee mbele.
 12. kombaME

  Mume wa mzazi mwenzangu kanikataza kuwasiliana na mkewe

  Sasa hapo unamgongeaje wakati papuchi yote unaijua na demu ametoka kwako ameenda kwa jamaa, sana sana unatafuta magonjwa tu, cha kufanya mtafute mwanaume mwenzio muongee kuhusu mustakabali wa mwanao
 13. kombaME

  Abdi Banda: Simba wanaweza kutumia pesa kuwachanganya marefa. Awatahadharisha Kaizer Chief

  Jifunze kutomjibu kila mtu, Banda si kama Chikumbalanga tu. Tunasubiri hao Viongozi wa Kaizer wazungumze ndo tule nao sahan moja, ndo watasema km reference yao ni Abdi na tutaruka nao juu juu.
 14. kombaME

  Msaada hii alama ina maana gani kwenye Redmi 9t

  Location ipo off, na hiyo notification yenyewe ipo kule kwa juu kwenye bar za network
 15. kombaME

  Msaada hii alama ina maana gani kwenye Redmi 9t

  Wakuu kuna alama inatokea kwa juu kwenye notification pale, nimejaribu kufactory reset ila bado ipo, ukiwasha data au ukizima bado ipo tu, ila ukitoa lain ndo inapotea. Ukiweka tu lain inakuja haijalishi data ipo on au off. Na hiyo notification inakuja na kupotea, km nilivyotuma kwenye picha...
 16. kombaME

  Msaada tafadhari

  [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah
 17. kombaME

  Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

  Wew ni mnyonge mkuu? Sent from my M2010J19SG using JamiiForums mobile app
 18. kombaME

  Peter Msigwa: Hayati Magufuli alikuwa shujaa wa kizamani

  Mkuu wew ni mmoja wa wanyonge?
 19. kombaME

  Sijawahi kuumia kama nilivyoumia hivi sasa nisaidieni

  Umefanya kosa kukubali kumuacha haraka, kubali unampenda na unamuhitaji, mrudie alafu umuache taratibu taratibu hadi pale utakapomove on au kuanzisha mahusiano mapya, otherwise itakugharimu sana kutoka hapo
Top Bottom