Search results

 1. mwenezi

  Mahakama Kuu yabatilisha Vifungu vya Sheria vinavyowapa mamlaka Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi

  Nimefurahi kwa muda tu lakini nikakumbuka mlolongo wa cases zilizoamuliwa na mahakama na mahakama ikatangaza vifungu Fulani vya Sheria kupingana na katiba na kuitaka serikali kuvirekebisha lakini mpaka Leo vipo na vinaendelea kufanyiwa kazi.mfano ni kesi ya piter ngomango v republic na ile ya...
 2. mwenezi

  Barua hii ya wazi imfikie naibu Waziri wa elimu mh. William Ole Nash

  A good gesture only if it doesn't fall on deaf hears.
 3. mwenezi

  Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

  Je wakuu kwa member wa law anapanda gari gani na je kuna mahitaji ambayo ni specific to that faculty zaidi ya yale ya jumla.a candid answer will be candidly appreciated wakuu.
 4. mwenezi

  Qt

  Mtihani wa Qt huwa na maswali 100 yatokanayo na masomo matano kati ya kumi yatungiwayo mtihani.masomo ya lazima ni mawili yahani geography na history.mengine matatu ili kukamilisha idadi ya matano ni chaguo la mhusika.kumbuka kuna masomo hayachanganywi bali kinachofuatwa ni kutengeneza...
 5. mwenezi

  Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

  Wadau habari za asubuhi!jamani nauliza hivi udom hakuna provision ya kulipa ada(Tution fee)kwa awamu?maana nimesoma maelekezo yao na kama nimeyaelewa wanaelekeza ada yote ilipwe tarehe25.kitu pekee walichogawa kwa semesters ni zile direct cost.naombeni ufafanuzi kwa aliyeelewa vizuri tafadhali.
 6. mwenezi

  Mbowe: Lissu amefanyiwa upasuaji mara 14

  Get well soon our hero TL.how I wish we were here with your full swing.
 7. mwenezi

  Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

  Wakuu salaam!naombeni msaada wa ufafanuzi juu ya UDOM katika maeneo haya:gharama ya ada kwa course ya bachelor of law,duration/muda wa course na kujua kama ada wanachukua kwa instalment per semester au mkupuo.ni hayo na nitashukuru maana nikitfuta tovuti Zhao ziko busy sana hazifunguki.
 8. mwenezi

  University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

  Wakuu salute.nimefuatilia online mtandao uko busy sana naombeni msaada wa kujua yafuatayo toka UDOm:-kiwango cha ada kwa course ya law,duration/mda was course kuisha ni miaka mingapi name kama ada wanachukua kwa instalment yahani per semester au mpaka mwaka mzima.please I am in a dire need.
 9. mwenezi

  University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

  jamani msaada kwa mwenye list za selected candidates wa law kwa udsm na udom anisaidie nicheki maana account zangu sizielewi.
 10. mwenezi

  KUELEWESHWA

  naomba nitumie muda kidogo kukuelewesha kama ulivyoomba.qt ni short form ya quarifying test kwa kiswahili waweza hita jaribio la kufuzu.sasa unafuzu nini?ukishasoma kwa mwaka mmoja vidato viwili yahani chakwanza na cha pili,unapimwa kwa mtihani huo uliouzungumzia ambao matokeo yake ni ama pass...
 11. mwenezi

  Majibu ya selection za chuo huwa yanatoka mwezi wa ngapi?

  nadhani busara ni kumjibu la kama hujui tusubiri wanaojua na si kukatishana tamaa hivyo.
 12. mwenezi

  Naionea huruma sana CHADEMA

  hurma yako yako inatokana na kutokuelewa essense ya multparty democracy.wanaoelewa umesikia walichokiongea huko afrika kusini japo wanamagamba wenzio.
 13. mwenezi

  Kumbe IMMMA Advocates wanawatetea Acacia Katika kesi huko London UK dhidi ya Serikali ya Tanzania!!

  kuna watu hawapimwi mkojo si kwasababu hawastahili kupimwa bali nikwasababu wako upande wa wapima mkojo yahani status quo.kujikweza ni kasumba mbaya.
 14. mwenezi

  Rais Dr Magufuli amekasirishwa na wasomi wetu waliosaini mikataba ya kimataifa inayolinyonya Taifa

  aahaaaa!and the painful iam getting.very intriguing
 15. mwenezi

  Hotuba ya Lowassa jana: Alisimama au kukaa?

  Tukishaiondoa ccm mengine yanajadirika.
 16. mwenezi

  Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

  hakuna rangi tutaacha kuona
 17. mwenezi

  Diamond, ni nani kakwambia Sumaye na Lowassa ni kabila moja?

  Tatizo la watu kama Diamond msingi wake ni kupata mafanikio makubwa bila kuhangahika(kutoa jasho sana) kwanza.kama kungekuwa kuna uwezekano wa kufungua moyo wa mtu nakujua anachowaza,basi ungekuta Diamond anaamini watu wote wasio na mafanikio(maskini) ni wazembe nakwamba yeye na wenzake wenye...
 18. mwenezi

  Lowassa: Nitamtoa Babu Seya gerezani

  mleta mada unaijua prerogative of mercy?kama huijui katafute kuijua kwanza.
Top Bottom