Leo Askofu Dr.Benson Bagonza (PhD) wa KKKT Dayosisi ya Karagwe,
Amesema
'ukiongea utachinjwa, ukinyamaza utachinjwa. Ukipiga kelele utachinjwa, na ukikaa kimya utachinjwa.
. #BringBackMdude Alive
Habari ya jioni wanajamvi
Naleta uzi kuomba mwongozo kwa jambo lilotokea hivi karibuni.
Nakumbuka mh Diwani wa Mbagala na mwenyekiti wa Yanga alipokuwa na kesi ya madawa alimtumia wakili mwenye element ya upinzani nchini akakosa dhamana kwa muda mrefu lakini alipomuondoa katika uwakilishi...
Nauleta uzi huu kuomba msaada kwenu wana jamvi.
Leo mke wangu kaniuliza maswali haya:
1.Aliyechora ramani ya dunia mwanzo yeye alisimama wapi?
2.Aliyeanzisha shule yeye alisoma wapi?
Najua humu kuna wataalamu wa kunisaidia majibu haya.
Mh Halima mdee ameomba radhi kwa spika wa bunge la JMT leo kutokana na kitendo chake cha kumtusi,aidha amewaomba radhi wabunge wenzake Hamis kigwangala na bunge zima.
Nahisi neno la GWAJIMA lilimgusa.
Huu ni ukomavu wa kisiasa
HM
Ndugu zangu wanajf
Ninafuatilia kwa ukaribu vita inayoonekana kuendelea duniani ikipewa jina la vita dhidi ya Ugaidi.Sasa naona South Korea nayo ipo njiani kuchafuliwa na marekani!Balaa ninaliohisi ni pale ambapo URUSI nayo imeingilia kati na kuweka ndege za kutupia makombora na helkopta zenye...
Nashindwa kuelewa hili zoezi la kudhibiti dawa za kulevya!Kila nikikutana na habari utaona dawa za kulevya aina ya bangi imeteketezwa!Sasa ninajiuliza maswali mawili
1. Hivi hawa mateja wanaotafutiwa sober houses walivurugwa na bangi.Na bangi ndio inayohitaji methadone?
2.Kama sio mbona sisikii...
Uwezo wa Adolf Hitler ulimfanya kuishawishi ujerumani kumpa madaraka!kwa kutumia madaraka yake aliikuta sheria iliyokuwa haitekelezwi na watangulizi wake,yeye aliamua kutekeleza sheria ile bila kujali madhara yake.Akaamua kuwaua wayahudi kwa kuwachoma katika tanuru na kuifanya dunia ihamaki...
Leo nimeingia bar moja mjini iringa kupata supu mara ghafla wakavamia polisi nikaona watu kuangukiana na supu kumwagika!nikauliza kuna nini muuza supu ananiambia wanakamata wanaokunywa pombe muda wa kazi!dah nikamuuliza wanaokunywa supu je akasema wanatofautishwa polisi.
Nikamuuliza wewe...
Rais wa Jamhuri yupo Kampala
Makamu wa rais wa Jamhuri yupo Kigali
Waziri Mkuu wa Jamhuri yupo London
Jaji Mkuu yupo London
Swali langu kikatiba,ni nani anatuongoza muda huu wakubwa wote wametoka!?
Kwa mujibu wa historia, Zaidi ya miaka 1937 imepita kutoka kuzaliwa mmoja wa Wanafunzi wa Kiongozi wa Umma wa Kiislamu Mtume Muhamad (S.A), Imamu Ally ambaye katika kipindi cha uongozi wake alisifika zaidi kwa mambo makuu manne.
Moja ya jambo kubwa alilosifiwa katika utawala wake ilikuwa ni...
Kumekuwa na taarifa zinazoendelea kupotosha umma na baadhi ya vyombo vya Habari kuwa Kamati ya Bunge yo Hesabu za Serikali (PAC) ilipokuwa ikitekeleza majukumu yake tarehe 5 April, 2016 ililitaka Jeshi Ia Polisi kuwasilisha Mkataba ulioingiwa Kati ya Jeshi hilo na Kampuni ya Lugumi Enterprises...
Wabunge wa upinzani na kumuhujumu magufuli linawezekana hili.
Zitto Kabwe Mbunge wa Kigoma Mjini ACT Wazalendo,Peter Msigwa mbunge wa Iringa Mjini CHADEMA, Mbunge wa Mwibala Kangi Lugola na Victor Mwambalaswa Mbunge wa Lupa kuongoza harakati. Vilevile wamo Wafanyabiashara wakubwa wa Mafuta na...
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, Februari mwaka huu ametimiza umri wa miaka 92 lakini lengo lake anasena ni kuishi miaka 100. Mwanasiasa huyo alizaliwa Februari 21, 1924.
“Nina furaha kwa sababu nakaribia kufikia umri ninaotaka. Unajua umri ninaotaka kufika, miaka 100 kwa hiyo imebaki miaka...