Search results

 1. KIOO

  Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

  Usjali nitawa-check mkuu. Thanks.
 2. KIOO

  Old Bongo Flava

  https://www.jamiiforums.com/threads/ni-wimbo-gani-unaoutafuta-sana-bila-mafanikio.1351116/
 3. KIOO

  Movie Reviews

  Thanks a lot brother pamoja sana mkuu...!
 4. KIOO

  Movie Reviews

  Basi basi kiongozi Chief-Mkwawa ameshasababisha teali amenipatia ya Direct Link bro. Much respect...!
 5. KIOO

  Movie Reviews

  Mkuu thanks a lot aisee ila kama utakuwa na link nyingine ambayo sio torrent itapendeza zaidi. Net ninayotumia hainiruhusu ku-download torrent files bro. Thanks again & again bro.
 6. KIOO

  Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

  Brother brother natumai uko poa kabisa mkuu. Aisee hivi hii tayari ipo ambayo ni clear nikaweza kui-download nii-check. Au bado wameificha bro...? Kama una link nitashkuru ukinitupia bro. Much respect blood.
 7. KIOO

  Movie Reviews

  Habari mkuu, hivi John Wick 3 tayari imetoka kwa ku-download...?
 8. KIOO

  Happy Birthday To Me...!

  Na ndio mana nikakutoa haraka haraka huko nyuma yake uliposema upo ati.
 9. KIOO

  Happy Birthday To Me...!

  Thanks a lot too my loveliest one and only Caz. Love u Caz'n.
 10. KIOO

  Happy Birthday To Me...!

  Thanks a lot mkuu.
 11. KIOO

  Happy Birthday To Me...!

  Ila pia wahenga hao hao wanasema zimwi likujualo halikuli likakwisha lazma litabakiza sehemu kwa niaba ya. Kwa hiyo wala asijali kuhusu hilo Nam.
 12. KIOO

  Happy Birthday To Me...!

  Hahahahah usjali Nam nakuja nyumbani muda si mref In Shaa Allah. 😊😊😊
 13. KIOO

  Happy Birthday To Me...!

  Kabisa aisee ni damu yangu hiyo namjua uzuri kabisa. Muda wote yee ni mtu wa furaha tu yaani. Am sooo glad to have u as my cousin Wallah. Nafarijika sana kuwa na binam kama wewe ALLAH anitunzie Wallah.
 14. KIOO

  Happy Birthday To Me...!

  Aisee chonde chonde nyuma ya binam yangu naomba usikae mara 10 ukae kulia ila sio nyuma wala mbele ati. Tafwadhal...!
 15. KIOO

  Happy Birthday To Me...!

  Namie nilitaka kumwambia Sesten Zakazaka kuwa binamu yangu akisoma hizi comments kwa jinsi nnavyomjua atakuwa anacheka tu Wallah. Kwa maana wee muda wote ni mtu wa kufurahi tu mpaka raha yaani.
 16. KIOO

  Happy Birthday To Me...!

  Shukran sana mkuu. Tuko pamoja aisee.
 17. KIOO

  Happy Birthday To Me...!

  Thanks a lot kiongozi wangu. One love bro...!
 18. KIOO

  Happy Birthday To Me...!

  Usjali kiongozi...!
 19. KIOO

  Happy Birthday To Me...!

  Basi sawa nitakukumbusha aisee...! Lol.
 20. KIOO

  Happy Birthday To Me...!

  Hahahahah kwa hiyo kukosa kuona uzi huu usingekumbuka mkuu...? Unasahau mpaka siku yako ya kuzaliwa mkuu. Hahah.
Top Bottom