Search results

 1. funzadume

  Mimi leo naitwa Mganga wa Kienyeji

  Akili kubwa hii
 2. funzadume

  Kwanini magari aina ya Nissan yanasumbua mafundi kwenye matengenezo?

  Nakupinga nina X Trail ya mwaka 2016 iko kama Harrier Hybrid. Gari ya kibabe sana full umeme na ni ya kisasa haswa
 3. funzadume

  Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

  Acha wivu we dogo. Topiki yako imefunikwa unaleta ligi. Umenikera sana. Nitaelezea kitu baadae kuhusu hii tabia kwenye mtazamo wa saikolojia
 4. funzadume

  Car4Sale Toyota Verossa inauzwa

  Bei kubwa hizo gari hazivuki 5m
 5. funzadume

  Nahitaji partner kwenye mradi wa ufugaji kuku wa nyama (broiler)

  Hamna mabanda hapo. Banda la kuku linajitaji mzunguko wa hewa na yeye amejenga kama godown. Ugonjwa ukiingia hapo say kuharisha haponi hata kuku mmoja. Pia issue ya madawa ame underrate sana. Broilers wana chanjo za lazima achilia mbali wakiumwa. Nina uzoefu wa ufugaji mwaka wa 15 sasa na...
 6. funzadume

  Kuna wizi wa vifaa vya magari maeneo ya Goba, Mbezi na Temeke

  Ulidhani mnatakiwa kunywa nao bia?
 7. funzadume

  Adili na Nduguze:- Shaaban Robert

  Umenikumbusha hadithi ya zamani sana kipindi cha mama na mwana. Umenirudisha utotoni. Maisha yanaenda kasi sana
 8. funzadume

  Nahitaji partner kwenye mradi wa ufugaji kuku wa nyama (broiler)

  Halafu hajaweka gharama za maji, umeme, maranda, mishahara ya w/kazi,
 9. funzadume

  Nahitaji partner kwenye mradi wa ufugaji kuku wa nyama (broiler)

  Ninafanya hii biashara miaka zaidi ya kumi na ninafuga kuku zaidi ya hao uliowataja. Kuku hawezi kuuzwa ndani ya wiki mbili hiyo haiwezekani abadan. Kuku 2000 wanakula viroba zaidi ya 60. Kuku kuuzwa kwa 6500 ni nadra sana wanacheza 6000 mpk 6300. Ujenzi wa mabanda yako hauingizi hewa...
 10. funzadume

  Kuna wizi wa vifaa vya magari maeneo ya Goba, Mbezi na Temeke

  Tyre zinafunguliwa zote ndani ya dk 10 tu
 11. funzadume

  Kuna wizi wa vifaa vya magari maeneo ya Goba, Mbezi na Temeke

  Kama mnamjua mnashindwa vipi kumuua? Watu dhaifu kabisa
 12. funzadume

  WASAFI TV, ITV, EATV, TVE, AZAM, DIZZIM TV,CLOUDS TV, CHANNEL TEN, okoeni jahazi.

  Mfuatilie vizuri topics zake za zamani utamuelewa ni mtu wa harakati sana atatoboa tu
 13. funzadume

  WASAFI TV, ITV, EATV, TVE, AZAM, DIZZIM TV,CLOUDS TV, CHANNEL TEN, okoeni jahazi.

  Sisi ni wadau na mashabiki wakubwa wa Don na kama ukipendezwa jiunge na timu Don. Anza kwa kuangalia na ku like song zake YouTube
 14. funzadume

  4% ya mapato kwenda Zanzibar kama Hoja ya Muungano

  Muungano upo katika mambo manne tu ambayo ni 1. Ulinzi 2. Mambo ya ndani 3. Mambo ya nje 4. Fedha Tuangalie katika wigo huo. Issue hapo iko kwenye fedha ndio kuna ukakasi haswa kuhusu hiyo 4.5% ya Zanzibar
Top Bottom