Search results

 1. Inkoskaz

  Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu Cryptocurrency na Bitcoin na kwanini siyo uwekezaji mzuri kwako kwa sasa

  Kuhusu Forex na Bitcoin nk Nitajaribu kuelezea kidogo kwa kadri ya ufahamu wangu na uzoefu nilionao juu ya hizi biashara. Kinyume na watu wengi wadhaniavyo ama walivyoaminishwa Forex au Bitcoin sio utapeli na wala sio biashara ya Pyramid Scheme kama DECI,QNet na zinginezo. Forex: Kama jina...
 2. Inkoskaz

  Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu Cryptocurrency na Bitcoin na kwanini siyo uwekezaji mzuri kwako kwa sasa

  Kuhusu Forex na Bitcoin nk Nitajaribu kuelezea kidogo kwa kadri ya ufahamu wangu na uzoefu nilionao juu ya hizi biashara. Kinyume na watu wengi wadhaniavyo ama walivyoaminishwa Forex au Bitcoin sio utapeli na wala sio biashara ya Pyramid Scheme kama DECI,QNet na zinginezo. Forex: Kama jina...
 3. Inkoskaz

  Uchaguzi 2020 A night with Tundu Lissu and Sheikh Ponda at Karatu

  Wote wamewahi kuonja ladha ya shaba
 4. Inkoskaz

  Tajiri wa mahindi Mbinga, Songea awatapeli wananchi

  Ofa ya bei kubwa imewatia tamaa kukopesha
 5. Inkoskaz

  Uchaguzi 2020 Leila Sheikh: Marekani wana kizabinazabina kwa matamko yao kuhusu uchaguzi wa Tanzania

  Nimemsikia na kumshangaa! Eti US vizabinazabina.Mpaka mtangazaji akamkatia mic na kumpa Ali Mutasa na Kennedy Wandera. Zaidi anasema Uhuru wa habari upo na Chadema wana gazeti lao la Tanzania Daima wanalitumia kwa kampeni(Halafu anajiita Muandishi na mtetezi wa wanawake!) TZ tuna safari ndefu
 6. Inkoskaz

  Nimeangamiza jeshi la Kunguni kimasihara

  Read the attachment
 7. Inkoskaz

  Nimeangamiza jeshi la Kunguni kimasihara

  https://www.google.com/url?sa=t&source=web&rct=j&url=https://amp.usatoday.com/amp/2486528001&ved=2ahUKEwiDrf-_nZ7sAhVDtXEKHYwmAIEQFjABegQIBBAF&usg=AOvVaw1spQxRVt0Z4WuaqjhiPGJw&ampcf=1
 8. Inkoskaz

  Nimeangamiza jeshi la Kunguni kimasihara

  Hujasafiri wewe wala hujui dunia ya hao wadudu.Hotel hufanya fumigation na hata kuuza bed and mattresses hali hiyo ikitokea. Ni wageni wasio na mualiko popote pale
 9. Inkoskaz

  Nimeangamiza jeshi la Kunguni kimasihara

  Kunguni hawafuati uchafu wala sio dalili ya uchafu kama chawa au mende.Kunguni au "Bed Bugs"ni wadudu wasumbufu wasioambukiza ugonjwa na wapigao kambi kwenye hostels,mahotel,siti za tren,mabasi hata meli na mahospital. Wadudu hawa huhama na nguo,mabegi,mito nk from one place to another...
 10. Inkoskaz

  Mabadiliko ya Profesa Kabudi kwenye sheria ya madini yanalitesa Taifa. Nini kifanyike?

  Sijasoma yote ila maelezo yako mazuri na yapo kitaalamu na yanavutia.Shida hao viongozi na wananchi watakuambia umetumwa! Something has to be done hata kwa nguvu, otherwise we are falling to the dark side
 11. Inkoskaz

  Suala la Bank kama CRDB kufungua ofisi leo

  Acha kuwa mbaguzi wa dini..Pia sio branch zote huwa wazi na kuwezesha kupangwa zamu wasio waislam ili staff waislam wakasherehekee. Hata sikukuu za kikristo huduma huwepo mbona hili hujagusia? Kumbuka wapo hata wateja waislam waliohitaji huduma leo na wamezipata
 12. Inkoskaz

  DAS Hassan Ngoma: Kumsifia Rais Magufuli siyo kigezo cha kukuteua

  MAJIBU TAFUTA kwenye hii. Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni kile kinachobakia baada ya kuondoa yote uliyofundishwa darasani. Kwa mujibu wa Einstein kuna watu wakiondoa yale waliyofundishwa darasani, vichwa vyao vinabaki vitupu. Kitu pekee...
 13. Inkoskaz

  Ipi njia rahisi kupokea fedha kutoka nje?

  M-Pesa Western Union Money Remittance Money Gram Neteller Skril
 14. Inkoskaz

  House4Sale Semi Finished house going cheap

  At 13,000,000 yaani bei ya kiwanja .unaezeka na kuanza maisha Umeme na maji mlangoni Call 0626 600 000 or WhatsApp
 15. Inkoskaz

  Kwanini swali kuhusu camera mahali aliposhambuliwa Tundu halijawahi jibiwa popote?

  Macho ya Mungu yalikuwepo na kamwe hawawezi kuyaondoa
Top Bottom