Search results

 1. konda msafi

  Mama kabadili upepo. CCM wamegeuka wapinzani wa mama, na wapinzani wamegeuka kuwa wafuasi wa mama

  Speech ya leo ya mama imegeuza milengo ya watanzania upside down. Wale CCM kindakindaki wa humu JF wafia chama wa CCM wamekuwa wapinzani wa mama, na wale wapinzani wa ccm wa siku zote wamekuwa wapenzi na washabiki wa mama. Binafsi pia nimekuwa mshabiki na mpenzi wa mama. Naomba mnielekeze...
 2. konda msafi

  Watanzania tuviunge mkono vyama vikubwa viwili vya kisiasa kwa maendeleo ya nchi yetu

  Hotuba ya mama imenikosha sana. Nina imani watu wengi imewafurahisha na wanamwombea asibadirike bali azidi kuboresha zaidi. Kila mtanzania mpenda maendeleo na uhuru wa kweli anataka kiongozi msikivu na anayejali sauti za watu. Tanzania ni yetu sote na wote tunastahili kufaidi mema ya nchi yetu...
 3. konda msafi

  Hivi haya maneno yanatoka wapi? "Raha ya milele umpe ee Bwana, na mwanga wa milele umuangazie, apumzike kwa amani, Amina"

  Kipindi cha kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wetu JPM kila aliyekuwa anatoa hotuba si muislamu si mkiristu alikuwa anahitimisha kwa hayo maneno. Sasa nimekuwa nikijiuliza hayo maneno ni ya kidini au ni ya kiserikali? Hebu tuacheni unafiki tuongee tu ule ukweli. Mkiristu haamini mambo ya uislamu na...
 4. konda msafi

  Kutengeneza hela kwa scenes za mapenzi kwa wapenzi au wanandoa

  Unajua kuna fursa nzuri sana ya kupiga hela nyingi sana na kukufanya kuwa famous kwa muda mfupi kama nchi yetu ingekuwa haina mambo ya kishamba. Nayaita mambo ya kishamba kwa sababu dunia imebadirika sana lakini nchi yetu haitaki kubadirika. Kuna vitu kwa nchi zingine ni vya kawaida sana lakini...
 5. konda msafi

  Naomba kutoa somo kidogo pale mwili unapotengana na roho

  Kuna shughuli inaendelea ya kumuaga aliyekuwa rais wetu. Mungu kila nyakati hutuma Wadhihirishaji wa neno lake duniani kuja kuwaongoza wanadamu ili wamjue Yeye na kumuabudu Yeye. Kila Mdhihirishaji huja kwa wakati wake kulingana na mahitaji ya binadamu kwa wakati husika, ndio maana huwezi...
 6. konda msafi

  Ujio wa Khumbu ulisambaratisha penzi langu na katoto kenye ngozi nzuri na sauti kama Wema Sepetu

  Mnamkumbuka kwenye stori ya Khumbu niliwaambia nikiwa Durban kuna wasichana takribani 5 nilijihusisha nao ukiachilia Khumbu? Sasa kulikuwa na kasichana kamoja english figure, kilikuwa na ngozi nzuri balaa. Ukikavua nguo huchoki kukaangalia. Kalikuwa na mvuto wa ajabu. Kalikuwa na ngozi kama...
 7. konda msafi

  Nichagueni kuwa Rais wenu 2025 niwafanyie yafuatayo...

  Kuna watu watadhani labda nafanya masihara ila ukweli nimejipanga kuchukua nchi kama watanzania mnataka kuachana na haya maisha magumu. Yafuatayo ndio yatafanyika kwenye utawala wangu: 1. Mifuko ya hifadhi ya jamii NSSF na PSSSF nitaifyekelea mbali Michango ya wafanyakazi itaenda kwenye...
 8. konda msafi

  Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

  Mwaka 2008 niliingia Durban baada ya kuitwa na jamaa zangu waliokuwa huko. Hawa jamaa zangu tuna undugu pia. Kaka yao kaoa shangazi yetu, na pia kaka yetu kaoa dada yao, ni kama tumeoleana, wao wameoa kwetu na sisi tumeoa kwao. Pia hawa jamaa tumesoma shule moja ya msingi japo madarasa tofauti...
 9. konda msafi

  TRA, mfumo wenu wa e-filing haufanyi kazi

  TRA acheni ubabaishaji. Kama hamkuwa tayari kuingia kwenye mfumo wa kidigitali mlitakiwa msubiri mpaka pale mtakapokuwa tayari. Sio kulazimisha kuonekana mpo advanced wakati ni ubabaishaji mtupu. Toka tarehe 1 February mtandao wenu unasumbua kufanya e-filing. Na due date ikipita mnaimpose...
 10. konda msafi

  Nafikiri kupanda kwa gharama za mawasiliano kwa Mitandao ya Simu kuna baraka zote za Serikali

  Haiingii akilini kama Serikali na mamlaka zinazosimamia hii mitandao ya simu hazijui hizi gharama za kinyonyaji za hii mitandao. Walianza Tigo kupandisha gharama zaidi ya 100%. Sasa hivi Voda nao wamepandisha. Serikali imebariki huu wizi ili ipate kodi kubwa kwa ajili ya hii miradi yake.
 11. konda msafi

  Nimemsikia Rais Magufuli akiwaambia walinzi wake "Msiwazuie watu wake, watu wake waacheni waje"

  Wajuzi wa mambo naomba mnieleweshe hapa. Nimemsikia rais akiwaambia walinzi wake kuwa wasiwazuie watu wa rais wa Ethiopia kuingia ndani. Wakati tu wameingia Ikulu ndogo ya Chato, zikawa zinatokea zile pilikapilika za kupiga picha, rais Magufuli akasikika akiwaamrisha walinzi wake wasiwazuie watu...
 12. konda msafi

  Dar miaka ya nyuma ilikuwa tamu sana

  Nakumbuka miaka ya 2001 kuja mpaka 2014 hivi Dar ilikuwa tamu mno. Maeneo ya Sinza na Mwenge ilikuwa maeneo matamu sana kuishi. Dah! Jamani Sinza ilikuwa tamu balaa, watoto wa Sinza walikuwa wakali balaa, hata sehemu zingine za uswazi nako watoto walikuwa wazuri balaa ila Sinza ndio ilikuwa...
 13. konda msafi

  Kipi bora kuwa kiongozi wa kisiasa kama Waziri au Rais au kuwa mfanyabiashara mkubwa kama Mengi au Mo?

  Hivi hapa duniani kipi ni kitu cha fahari zaidi kati ya kuwa mwanasiasa na kufikia mafanikio ya kuwa waziri au rais kabisa, na kuwa mfanyabiashara bilionea kama alivyokuwa Mengi au Mohamed Dewji (Mo)? Kuwa kiongozi wa kiasa kuna raha yake, kusafishiwa njia na ving'ora kwa pembeni ukiwa...
 14. konda msafi

  Biashara ya ng'ombe kuleta mnadani Pugu

  Habari wana janvi? Naomba kupata ABC za kuuza ng'ombe pale mnadani Pugu. Naomba kujua mtaji wake, upatikanaji wake, usafirishaji wake, vibali, jinsi ya kuuza, changamoto zake na faida. Natanguliza shukrani zangu.
 15. konda msafi

  Tanzania kuna sheria kandamizi sana

  Kuna clip moja inasambaa instagram ikimwonyesha kijana mmoja mwanafunzi wa CBE akisindikizwa na askari kanzu kupanda kizimbani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa kosa la kuwa na blog bila leseni kutoka TCRA. Hizi sheria za kijinga zinapatikana Tanzania tu. Hivi CCM mbona inatulazimisha tuishi...
 16. konda msafi

  Msaada kuhusu cheque kutoka nje ya nchi na kuidepost hapa nchini

  Habari zenu wakuu. Kwa wale wenye uelewa wa hili naomba mnifahamishe kama inawezekana. Kuna hela kutoka Canada natakiwa nitumiwe. Mtumaji amejaribu kunitumia kupitia bank account yangu hapa nchini. Hela kaituma toka tarehe 10, siku ya Jumanne lakini hela haikuweza kufika kwenye account yangu...
 17. konda msafi

  Ukioa kwenye familia maskini na wewe ni maskini inabidi upambane sana kutoboa

  Kuna mrembo flani wa kichina alinizimia kama miaka minne hivi imepita. Ni wale maingineers waliokuwa wanajenga uwanja wa Taifa. Alinieleza baada ya kumaliza shughuli zilizomleta Tanzania alirudi kwao Beijing ila aliamua kurudi tena Tanzania kwa mambo yake binafsi. Nilikutana naye mwaka 2013...
 18. konda msafi

  Licha ya CCM kutufikisha hapa tulipo, Magufuli analeta tumaini jipya

  Kwa kweli nimejikuta nampenda Magufuli ghafla. CCM ndio imetufikisha hapa tulipo lakini kwa jinsi alivyowachana hawa mafisadi wa hela za wafanyakazi amenifanya nipate imani juu ya utendaji wake. Kama ningekuwa na uwezo wa kumuomba Mwenyezi Mungu na akatekeleza maombi yangu, ningemuomba...
 19. konda msafi

  Interview kwenye kampuni inayodeal na mafuta

  Heshima kwenu wakuu. Kuna mwanafunzi wangu amenipigia simu akiniomba dondoo za kujiandaa na interview ya kampuni inayodeal na fuel. Aliomba kazi ya uhasibu kwenye hiyo kampuni, na amebarikiwa kupata nafasi ya kuitwa kwenye interview. Ameniomba kama naweza kujua uwezekano wa maswali yanayoweza...
 20. konda msafi

  Rais wetu ni calibre ya Thomas Sankara?

  Nasikia kabla ya Thomas Sankara kuingia madarakani, Burkina Faso ilikuwa ni taifa maskini, lenye hali mbaya kiuchumi, miundo mbinu mibovu na huduma duni za kijamii, lakini baada ya Thomas Sankara kuingia madarakani alifanya mageuzi makubwa ya kiuchumi kwa muda mfupi alioweza kudumu madarakani...
Top Bottom