Search results

 1. Matanga

  Ni usemi upi umekugusa?? Na kwanini??

  NI USEMI UPI UMEKUKAMATA?: 1. "Kuzaliwa masikini siyo kosa lako,ila kufa masikini ni ujinga wako." ~ Bill Gate 2. "Kushindwa kupanga ni kupanga kushindwa." ~ Felix Bundala 3. "Heri kufa na mawazo yanayoishi, kuliko kuishi na Mawazo yaliyokufa." ~ Che Guevara 4. "Vita inamalizwa kwa vita na...
 2. Matanga

  Wazazi ni watu wa ajabu sana

  MZAZI NI MTU WA AJABU SANA! [emoji810]Mzazi siku zote hufurahia mafanikio ya mwanae kuliko mtu yeyote yule [emoji810]Mzazi ni ngumu sana kumlilia shida mwanae kwa sababu anahisi kuwa anaweza kumsumbua au kumuharibia mipango yake. [emoji810]Mzazi ni mtu pekee anayeweza kufurahi kulala njaa ili...
 3. Matanga

  Pitia hii kuna jambo la kujifunza

  Bilionea Femi Otedola alipoulizwa kwenye interview, ya Simu na Mtangazaji wa Radio, "Sir ni kitu gani unachokumbuka kilichokufanya uwe na furaha maishani?" Femi alijibu: "Nimepitia hatua nne za furaha katika maisha yangu na mwishowe nilielewa maana ya furaha ya kweli." Hatua ya Kwanza ilikuwa...
 4. Matanga

  Wanaume wote mikono juu

  Mke Alikagua Simu[emoji336] ya Mume wake Akakuta Majina haya.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] [emoji117] Super Woman [emoji117] My Love [emoji117] Woman of My Dream [emoji117] My Princess [emoji117] Sweetheart Machozi yalimtoka akajua hayupo pekeake. Akaamua kupiga namba ya...
 5. Matanga

  Watawala jifunzeni kitu kutoka kwa Dkt. Bashiru Ally

  Soma Unaweza jifunza Kitu... "Dr. Mpango alienda bungeni kama Waziri wa fedha. Kufumba na kufumbua akawa VP, akaondoka na ving'ora, msafara na ulinzi mkali. Maisha ndivyo yalivyo. Nothing is permanent in life. Kila kitu unachokiona kwenye maisha ni cha kupita tu. Hivyo ishi vizuri na watu...
 6. Matanga

  Zijue athari za kiafya zitokanazo na uvaaji wa chupi

  Bado Unaendelea kuvaa chupi tu? Hivi Unatambua Ukiacha Kabisa Kuvaa Chupi Utaweza Kuepuka Magonjwa Mengi Sana Hasa Sehemu Za Siri.? Usiache Kusoma hii Taarifa Itakubadili Mtazamo Wako Leo! Leo naomba nikukumbushe somo la Afya ya uzazi. Somo hili litafafanua faida na hasara au madhara...
 7. Matanga

  Unajifunza nini kutokana na kisa hiki!?

  Kipindi Hitler alipokuwa madarakani, alifanya jambo moja ambalo liliwashangaza maafisa wake. Siku hiyo alikuja kwenye mkutano akiwa ameshikilia kuku mmoja mkononi. Mara akaanza kuvuta (Kunyonyoa) manyoya yake moja baada ya moja. Kuku alilia kwa maumivu, damu zikitiririka kutoka kwenye zile...
 8. Matanga

  Ifahamu nchi yetu tanzania na watu wake!!

  Pamoja na kwamba nchi yetu ya Tanzania inasifika kwa mambo mengi, ikiwemo vivutio vingi vya utalii, madini, maziwa na bahari n.k Pia kuna jambo ambalo limekuwa la upekee kwa watanzania, yaani mataifa jirani huwa wanapofika Tanzania huwa wanashangazwa sana na Umoja na Mshikamano tulionao sisi...
 9. Matanga

  Amsho la mahaba Kwa mumeo

  *""";;;:::,,,,,,"""""""":::::;;;;,, : [emoji177] Muamshee mumeo kimahabaaa yoteee bibiiii eee hydr lakooo [emoji177]Mkande mabega, miguu, mikono mpaka aamke. Akishaamka anaweza kukwambia uendelee kumkanda. Mpe busu umwambie unampenda lakini anafaa kuanza kujitayarisha. [emoji177]Mpandie kwa...
 10. Matanga

  Ushauri wa bure kwa wanawake walio kwenye Ndoa

  Leo nipo na wanawake, kwanini mwanamke uachike au usalitiwe, zingatia vitu hivi: *USAFI *EPUKA GUBU *TENDO LA NDOWA/DEKEZA Nikianza na Usafi hakuna asiye juwa mwanaume anataka mkewe awe msafi. Gubu: Hii ni hatari sana wanawake wengi hapa mna bugi mdomo, Sikh zote mwanaume hapendi kubishana...
 11. Matanga

  Kuna ukweli kwenye hili

  MAHUSIANO YA KIZUNGU Siku ya 1[emoji1314] unatongoza [emoji7] Siku ya 2[emoji1314] mahusiano [emoji131] Siku ya 3[emoji1314] unamkumbatia [emoji127] Siku ya 4[emoji1314] unambusu [emoji8] Siku ya 5[emoji1314] unakula denda [emoji182] Siku ya 6[emoji1314] unalala nae (sex)...
 12. Matanga

  Mazungumzo Kati ya mama na mtoto wake jifunze kitu

  MAMA NA MWANA Gozbert: Mama wamenifukuza shule. Mama: Hivi ndo nimetoka kijiji cha Mkomanzila kwa rafiki yangu kuchukua pipa nikoroge pombe, nikiuza nitakutumia mwanangu, kazana kusoma. Gozbert: Sawa mama naomba na pesa ya Matumizi, nitashukuru. Mama: Sawa Mwanangu. *Gozbert: Mama shikamoo...
 13. Matanga

  Hizi hapa ni sababu za kwanini Sosha hawezi kuipa ubingwa Manchester United

  Katika tathmini ya makocha nimejaribu kuftizama kwa mapana ni wap makocha huwa wanakosea.nimegundua ni rahisi kocha kuipeleka timu kileleni lakini na vigumu kocha kuchukua ubingwa.vitu ambavyo kocha anatakiwa awe navyo ili abebe ubingwa ni kwanza kocha lazima awe na hesabu nyingi sana kwenye...
 14. Matanga

  Kula chochote unachokipenda kwasababu bado utakufa tu

  [emoji1621]Kula chochote unachopenda kwa sababu bado utakufa, usiruhusu spika za kuhamasisha zikudanganye. 1. Mbunifu wa mashine ya kukanyaga alikufa akiwa na umri wa miaka 54 2. Mvumbuzi wa mazoezi ya viungo alikufa akiwa na umri wa miaka 57 3. Bingwa wa ujenzi wa mwili duniani alikufa akiwa...
 15. Matanga

  Mambo gani mwanaume unapaswa kufanya kabla ya sex

  Habari leo naomba nishee na Ninyi kitu kidogo cha Muhimu sana kwetu wanaume, Kabla ya kushiriki tendo la ndoa Na Mwenzi wako hakikisha unakunywa maji ya kutosha ili baada ya Tendo la ndoa Uende kukojoa hii hutusaidia kusafisha Mfumo wa Uzazi na kuondoa mabaki ya Semens na mbegu zinazobaki kwenye...
 16. Matanga

  Busara za Masau Bwire

  Tusipoangalia na kuchukua hatua, mpira wetu wa miguu, badala ya malengo hasa yaliyokusudiwa na huyo/hao, mwanzilishi/waanzilishi wa mchezo huu, utageuka kuwa uwanja wa uwasama, chuki na vita, kwa sababu hizo, katika mchezo huu wa mpira wa miguu, tukashuhudia watu wakiuana! Malumbano, vijembe...
 17. Matanga

  Principal(s) of teaching

  1. Proceed from simple to complex 2. Proceed from known to unknown 3. Proceed from part to whole 4. Proceed from particular to general 5. Motivate learners to learn 6. Do not teach in isolation 7. Teach to learners' individual difference METHODS OF TEACHING 1. Problem solving method 2. Play way...
 18. Matanga

  Zifahamu sababu za kujamba ukeni

  [emoji1314] KUTOJUA KUJISAFISHA UKE kwa wale wanawake wote wasiojua kujisafisha vizuri uke tatizo hili lazima likupate kwahali hiyo basi UKE inatakiwa kuusafisha vizuri na kwa makini na inavyotakiwa pia hakikisha baada ya kuusafisha futa na kitaulo maalum kwaajili ya kufutia sio kanga...
 19. Matanga

  Uzoefu nilioupata katika mapambano ya kupigania uhai dhidi ya maamubikizi ya maradhi ya virusi vya corona Covid-19/ SARS COV2 variant

  Habari zenu ndugu zangu, Nami nichukue fursa hii kushare japo kwa uchache uzoefu nilioupata katika mapambano ya kupigania uhai dhidi ya maamubikizi ya maradhi ya virusi vya corona Covid-19/ SARS COV2 variant. Hali yangu kiafya ilianza kuwa dhoofu mnano tarehe 23 January 2021 ambapo nilitoka...
 20. Matanga

  Story: Shemeji Monika

  James alikuwa ndio kwanza amemaliza elimu yake ya kidato cha sita, akiwa anangojea matokeo akaamua kutoka kwao kijijini na kutembelea mjini ili angalau aone dunia invyokwenda, pia aliamini mjini kuna fursa nyingi ambazo hazitamuacha akae bure kama ambavyo amekaa kijijini. Mjini alipokelewa...
Top Bottom