Search results

 1. Ben Saanane

  Kutoka Makao Makuu CHADEMA: M/kiti Mbowe aahirisha maandamano ya UKUTA ya Oktoba Mosi

  Nitawaletea Dondoo za Hotuba hii.Nakala ya Hotuba Nzima watapewa waandishi wa Habari baada ya Hotuba kwa faida ya sanaa ya Habari ili Vyombo vya Habari viripoti kwa Weledi na ufasaha -Tayari Waandishi wa Habari wameketi -Viongozi wakuu Wakiongozwa na Mhe.Freeman Mbowe wanaingia Ukumbini Hotuba...
 2. Ben Saanane

  Kadiri muda ulivyosogea ndivyo wakosoaji walivyozidi kuongezeka

  Hongereni Wapambanaji: Sasa Rais Magufuli anahitaji maombi ya kumjenga kiroho aelewe kuwa Malaika wa Mungu hatendi kwa Tamaa za Mtu. Leo sitoi Onyo wala Angalizo. Sitoi Tahadhari.Natoa pongezi kwenu wapambanaji mliopambana kupitia mitandao ya kijamii kuukosoa utawala huu bila kuonesha hofu mbele...
 3. Ben Saanane

  Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

  Safari inaendelea. Vitisho. Haya ndiyo maisha yetu ya Kila siku. Mengine tumetoa Ripoti Polisi huko Kuna watu hawa miongoni mwa wengi. Yeye anaandika "Ben Saanane unachokitafuta ndani ya Serikali hii utakipata. Kwa elimu na uwezo wako hatukutarajia ungefikia hatua ya ajabu kwa namna uliyofikia...
 4. Ben Saanane

  Polisi Kagera wamzuia James Mbatia kutembelea maeneo yaliyoathirika na kugawa misaada

  Angalizo: Post hii imeandikwa kwa Upole kabisa. Jana Jioni Tukaondoka Bukoba kwenda Dodoma tukamuacha Mhe.Mbatia akiendelea kushirikiana na viongozi wengine eneo la Maafa Polisi wakaanza kumtafuta na mwisho wa Siku wakamzuia kuendelea kutembelea maeneo hayo na kugawa misaada mbalimbali Tuna...
 5. Ben Saanane

  Usahihi wa Taarifa ya Freeman Mbowe Kusafiri nje ya Nchi kabla ya Septemba Mosi

  USAHIHI KUHUSU SAFARI YA MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA MHE.FREEMAN MBOWE: Usiku wa Leo Tarehe 22/08/2016 imesesambazwa Taarifa kuwa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe.Freeman Mbowe amepanga kusafiri nje ya nchi tarehe 28.08.2016 yaani siku 3 kabla ya Maandamano na Mikutano ya Kisiasa iliyopangwa...
 6. Ben Saanane

  Hotuba ya Freeman Mbowe. Amuonya Vikali Rais Magufuli

  Hotuba ya Freeman Mbowe:Naweletea Live Updates sehemu ya kwaza ya Hotuba hii.Sehemu ya kwanza pia wanahabari wamealikwa na Sehemu ya pili ni kikao cha ndani. Updates: -Nachukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia Afya ya kukusanyika hapa tena -Kwa niaba ya chama napenda...
 7. Ben Saanane

  Alipokuwa akihutubia wakuu wapya wa Wilaya alisema haamini katika watu kujilundikia vyeo viwili

  Let me now declare Unequivocally,Unambiguously,without prevacation or Circumlocution that John Magufuli is such unprincipled,Inconsitent,Inept,Incompetent and Selfish Leader. Alipokua akihutubia wakuu wapya wa Wilaya alisema haamini katika watu kujilundikia vyeo viwili Yeye Amekubalije kuwa...
 8. Ben Saanane

  Nawatakia kila la kheri CUF, ila Prof. Lipumba rejea "Long Walk To Freedom" By Nelson Mandela

  Nimekua nikijizuia sana kutoa maoni kuhusu Kitendo Cha Prof.Lipumba kuondoka ndani ya CUF kwa sababu alizozitoa na yote aliyoendelea kusema na kutenda hadi kufikia siku za jana .Hii ni kwa sababu ya kanuni niliyojiwekea ya kuheshimu Mchango wake katika mageuzi,kujitoa kwake sadaka na pia...
 9. Ben Saanane

  Serikali ya Tanzania ijibu tuhuma nzito za serikali ya Kenya, rais Magufuli asaidiwe kidiplomasia

  Serikali ya Tanzania sasa itoke hadharani kujibu Tuhuma za Serikali ya Kenya na viongozi wa Muungano wa JUBILEE kuwa Rais Magufuli anamdhamini kifedha Kiongozi wa Upinzani Raila Amolo Odinga kusababisha Maandamano, ghasia na hatimaye kuipindua serikali ya Rais Uhuru Kenyatta. Siku Chache...
 10. Ben Saanane

  Mahojiano ya Polisi dhidi ya Zitto, CHADEMA kushambuliwa ni uthibitisho wa Udikteta. Tusikubali

  Zitto Kabwe kaitwa Polisi na Kuhojiwa Leo kuhusiana maudhui ya Hotuba yake kwenye Mkutano wa Hadhara Mbagala.Maudhui ya hotuba hiyo ameyaandika Gazeti la Raia Mwema La Leo Uk.23 Zitto amehojiwa kama vile ameshindwa kuchagua maneno ya kumkosoa Rais na akahojiwa eti amemchonganisha Rais na...
 11. Ben Saanane

  Ole Sendeka kama Wapambe wa Kim Jong-Un,Ne Win,Idd Amin na Enver Hoxa

  Alipoteuliwa Ole Sendeka kuwa msemaji wa CCM Niliwahi kusema hatua ambayo CCM imefikia inahitaji mtu wa aina yake.Haihitaji mtu mweledi kwa kuwa ataona aibu ya kujidhalilisha.Inahitaji mtu asiye na aibu mwenye uwezo wa kusema au kufanya lolote kwa kujitoa ufahamu hata kama anao kidogo...
 12. Ben Saanane

  Mama Janeth Magufuli kama Abigaili leo, Mungu amuepushe na Akili za Mwendokasi

  Honestly,Nampongeza Mama Janneth Magufuli kwa maneno mazito aliyoongea katika hotuba yake kwenye Ziara ya huko Ruangwa alipowahutubia wazee.Mwenyezi Mungu amuepushe na busara hewa na akili za Mwendokasi. Ametoa hotuba ya kinyenyekevu na ya busara kuhusu umuhimu na mchango wa wazee kwa Taifa...
 13. Ben Saanane

  Kuelekea AU Summit,Tanzania Iongoze Afrika kutaka Mageuzi ICC na Sio Kujitoa

  Mageuzi yanahitajika Mahakama ya Kimataifa Na Ben Saanane Toleo la 454 RAIS wa Kenya ametangaza rasmi kuwa nchi yake haitashirikiana na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) baada ya Makamu wake, William Ruto, kunusurika, na mahakama hiyo kudai kuwa mashahahidi walitishwa. Waltet...
 14. Ben Saanane

  Je,Agizo la Makamu Wa Rais la Saa 24 kwa niaba ya Amiri Jeshi Mkuu limepuuziliwa mbali?

  Kwanza natoa pole sana kwa familia iliyoguswa na msiba wa ndugu zetu waliouawa kwa kukatwa mapanga Nalaani mauaji haya ya kinyama ambayo hayaakisi Utanzania wetu bali yanaakisi Roho za Kishetani na Himaya yao.Haikubaliki hata kidogo Jana Makamu wa Rais kwa niaba ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa...
 15. Ben Saanane

  Makala: Upatu wa DECI, Babu wa Loliondo na Mkumbo wa Rais Magufuli

  Upatu wa DECI, Babu wa Loliondo na mkumbo wa Rais Magufuli Na: Ben Saanane RaiaMwema Toleo la 456 4 May 2016 UTAFITI uliofanywa na wasomi wa Chuo Kikuu cha Nottingham nchini Uingereza ulibaini kuwa Watanzania ndio watu wanafiki zaidi duniani. Nilisikitika na kujihisi fedheha niliposoma...
 16. Ben Saanane

  Korea ya Kaskazini yaonyesha Kiburi kwa UNSC

  Duru Za Kimataifa: Pyongyang-Korea ya Kaskazini Masaa machache yaliyopita Taifa la Korea ya Kaskazini limefanya majaribio mapya ya Makombora ya Masafa mafupi(Short Range Missiles) . Jana nchi wanachama wa UN Security Council walipiga kura ya pamoja na kupitisha azimio la vikwazo vikali baada...
 17. Ben Saanane

  Tutapuuzwa Kwa Upuuzi Wetu Kitaifa.. (Makala)

  Tutapuuzwa kwa upuuzi wetu kitaifa Na BEN SAANANE: Toleo la 436 16 Dec 2015 WIKI iliyopita niliandika makala yenye kichwa cha habari "Rais Magufuli na Slack...
 18. Ben Saanane

  Rais Magufuli na Slack Management Style, Utekelezaji mbaya wa Ilani ya UKAWA

  Mwandishi wa makala hii Ben-Rabiu Wa Saanane ni Mkuu wa Idara ya Sera na Utafiti Chadema. Anapatikana kwa namba 0768078523 Raia Mwema - Rais Magufuli na slack management style
 19. Ben Saanane

  Makala: Buriani Komredi Mawazo, Mpe Hongera Zangu Ken Saro-Wiwa

  Salamu pia kwa Patrick Balisidya – kweli wema hawana maisha "Dhamira yangu ni thabiti mno, utayari wangu kutimiza azma ya mioyo ya Watanzania na ile ya chama changu haipimiki. Hakuna gharama itakayokuwa ngumu kwangu kuilipa kwa ajili ya ukombozi wa taifa langu, ninamaanisha...
 20. Ben Saanane

  Sina taarifa ya kutoa hadharani, Kauli za Viongozi wakuu na Wagombea zatosha

  Naandika kukanusha uvumi,uzushi na ungo uliosambazwa kwamba mimi Ben Saanane na Afisa Habari wa Chama Chetu tutawatangazia mwelekeo wa msimamo wa chama kuhusiana na matokeo ya uchaguzi mkuu. Mimi binafsi(Sitamzungumzia mwingine),Napenda kuweka kumbukumbu sawa . Sina mamlaka ya kutoa msimamo...
Top Bottom