Search results

 1. Simple F

  Msaada kujua gharama za earphones ambaye hasikii aweze kusikia

  Mada tajwa Baba yangu ana tatizo la kutosikia lililomtokea ghafla mwaka 1996 nakupata matibabu hadi kuishia Bugando kutokana na kipato chake kidogo hakufanikiwa kupona na Madaktari walimruhusu arudi nyumbani ingawa ana uwezo wa kukutazama mdomoni kuelewa nini unasema kwa shida sana hivyo...
 2. Simple F

  Natafuta magari ya kukodi kuanzia 30tons

  Tenda ni kubeba Makaa ya Mawe Kutoka Songea Tz kwenda Kampala Ug. Gari zinahitajika za kutosha na ofa yetu ni nzuri pia mzigo ni wa muda mrefu kwa maelezo zaidi #0657385506
 3. Simple F

  Tenda ya kubeba makaa ya mawe

  Kwa yeyote mwenye gari la kubeba mizigo kuanzia 30tons au Kampuni ya usafirishaji tuwasiliane kuna mzigo wa Makaa ya mawe kutoka Songea kwenda Kampala Uganda. Magari yanahitajika ya kutosha na mzigo ni wa muda mrefu.
 4. Simple F

  Natafuta kazi ya Afisa Maendeleo

  Natafuta kazi ya Afisa Maendeleo hasa mikoa ya Ruvuma na Dodoma. Elimu ya bachelor nimemaliza chuo cha SUA. Nitashukuru sana nikipata na sichagui kazi yeyote nipo tayari kufanya
Top Bottom