Search results

 1. chineke

  Nauza iPhone 5

  iPhone 5 inauzwa. Capacity 16 GB nyeusi. Ni kama mpya imetumika miezi 6 tu UK. Warranty ya miezi 3 ipo bei ni 800,000/- tsh. Ina pods zake na charger! Nipigie kwa 0717771515 au PM.
 2. chineke

  Transevents Marketing LTD

  Wana jamvi naomba msaada kujua hii kampuni ya Transevents Marketing Ltd Wakoje? Nimeitwa kwenye interview, Wanalipaje? Ni kampuni ya uhakika, au ndo ya hivyo hivyo. Nawakilisha.
 3. chineke

  Blogs za ngono zinakera

  Nilikuwa sijui kwa nini siku hizi kila mtu kawa mwandishi wa habari, na kila mtu ana blog... Kumbe ni kwa kuwa googleAds wanalipa mkwanja.... Tatizo naloona hapa sio kumiliki blog au kulipwa na google; tatizo ni aina ya habari wanazotoa, ni ngono na picha za ngono tu, kibaya zaidi, wote...
 4. chineke

  Limited internet katika modem za basi jekundu

  Wakubwa naombeni msaada. Nimekuwa nikitumia modem ya voda ktk windows 8 ila kila wakati nikiconnect na inaconnect ila inasema limited internet, haionyeshi kuunga net kabisa? Hata nikiweka pesa mchezo ni huo huo? Nifanyeje? Msaada pls
 5. chineke

  Natafuta kazi/tenda za graphics design

  Habari, natafuta kazi au tender za graphics designing toka sehemu yoyote Tanzania na jirani. Nina uzoefua wa miaka 9 katika kazi na nahtaji kuongeza wigo wa soko langu! Nimejiajiri na nina kampuni yangu kihalali. Nina weza kufanya graphics za VISUAL kwa kutumia Adobe After Effects, Final Cut...
 6. chineke

  Natafuta kazi ya graphics and visual part time

  Jamani mie natafuta kazi ya graphics design na visual editing! Nina uzoefu wa kutosha na ujuzi! Nafanya animation na 3D kwa ufasaha! Mwenye kujua anitumie e-mail: martinzabron@yahoo.com
Top Bottom