Search results

 1. fdizzle

  Hii tahadahri ya uwepo wa mamba baharini imekaaje wakuu?

  Nimekutana na tangazo kutoka serikali ya mtaa Vijibwenibikitahadharisha wakazi wa vijibweni wanaopenda kwenda baharini pamoja na wavuvi wanaoenda kuvua samaki kuwa na tahadhari kwani kuna mamba huko. Sasa nijuavyo mimi mamba anaishi kwenye maji baridi na sio ya chumvi kama ya bahari. Uwepo wake...
 2. fdizzle

  Kwa alichokifanya huyu Traffic Police, anastahili Pongezi

  Jana nilikuwa natokea kwenye mihangaiko yangu ya kutafuta ugali, ilikuwa ni nyakati za jioni hivyo nikasogea kituo cha daladala na kusubiri Usafiri( Najua mtanishangaa member wa JF kupanda daladala maana humu wengi wenu mnamiliki Ford Ranger na wachache wanamiliki Prado) Sasa ikaja daladala...
 3. fdizzle

  CHADEMA Jifunzeni kwa CCM

  Kuna baadhi ya mambo mnafanya hayaendani kabisa na mantiki ya taasisi imara amabyo imeundwa kwa misingi inayoeleweka. Hii kila wiki kamati kuu imekutana na kutoa tamko haileti maana zaidi inaonekana ni kama vile mawazo ya mtu mmoja sasa akitaka kuyahalisha ndio inaitwa kamati kuu zinapogwa blah...
 4. fdizzle

  CHADEMA unganeni na ACT Wazalendo

  Mpaka sasa kuna idadi kubwa ya Wabunge walioondoka CHADEMA kwa sababu mbalimbali. Lakini ni ukweli ulio wazi kabisa mpaka sasa chama kinadhoofu (Ikumbukwe kuondoka kwa hao wabunge haimaanishi kuwa wanaondoka na wanachama ila inasababisha sintofahamu kwa wanachama). Unganiko lenu na ACT...
 5. fdizzle

  Hii picha inaongea mengi

  Kama inavyoonekana hapa chini.
 6. fdizzle

  Hakuna hela inayoniuma kama ile Tshs 300 ninayolipa pale Ubungo Bus Terminal

  Wakuu habari, Kiukweli ikitokea nina safari na inanipasa nikakatie tiketi ndani ya Kituo cha Mabasi Ubungo, basi hakuna hela inayoniuma kama ile Tshs 300/= ninayolipia pale mlangoni. Juzi nilienda kumpokea mgeni wangu anaetoka mkoani na kwakuwa ilikuwa ni mara yake ya kwanza kuja Dar...
 7. fdizzle

  Bank teller alivyotapeliwa

  Iko hivi.. Jamaa mmoja alikuwa na Dola za kimarekani elfu kumi (kama milioni 20 za kitanzania). Akafika bank na kwenda dirishani moja kwa moja. Baada ya kufika dirishani akampa pesa hizo dola ili abadilishe na kuwa pesa za kitanzania. Yule teller akapokea na kuzihesabu pamoja na kuhakiki kama...
 8. fdizzle

  Haitokuja kutokea Kampuni safi ya usafirishaji abiria Tanzania kama Scandinavian Express

  Huu ni ukweli ulio wazi kwa Tanzania hakuna kampuni ya usafirishaji abiria itakayoweza kuzidi ubora wa huduma zilizokuwa zikitolewa na Scandinavian Express. Kuanzia safety,reliability,comfort na coverage hawa jamaa walijipanga vizuri sana 1.Huwezi kukuta basi zao zimetaga njiani (kuharibika)...
 9. fdizzle

  Madereva wa zamani Abood Bus Service

  Wakuu tuachane na mambo ya siasa kidogo maana zinaumiza kichwa tu Miaka ya 2000 mwanzoni Abood Bus Service Dar mpaka Moro alitoa toleo jipya la mabasi aina ya Scania yenye bodi za Marcopolo Andare Class. Kabla ya hapo alikuwa na yale mabasi ya kizamani kuna zile mbili zilikuwa injini nyuma...
 10. fdizzle

  Nahitaji PC ya kukodi

  Kama kichwa cha habari kinavyohusika nahitaji PC ya kukodi yenye sifa zifuatazo Model iwe HP Iwe na uwezo wa kukaa na chaji at least two hours Offer kwa mwezi Tshs 15000/ Nipo Dar Kwa alie tayari aje PM
 11. fdizzle

  Msaada PC inachanika

  Wakuu naombeni ushauri nifanye nini kuzuia ili tatizo la PC kuchanika kwani kadri muda unavyoenda ndivyo inavyozidi kuchanika Nashindwa kupeleka kwa hawa mafundi wetu Wa kibongo nahofia kuongeza tatizo lingine zaidi
 12. fdizzle

  Friji inauzwa 150000/=

  Friji ya mlango mmoja inauzwa Ina sehem ya kugandishia Compressor haijaguswa Inapatikana kigamboni Dar Es Salaam Bei laki moja na nusu Mawasiliano 062ATTACH=full]1218864[/ATTACH]
 13. fdizzle

  HP laptop inauzwa

  Hdd 120gb Ram 2gb Processor 2ghz Battery inatunza moto kwa masaa mawili Bei 150000/= Location Dar es salaam Contact Karibu
 14. fdizzle

  HP Laptop inauzwa Tshs 150000/=

  Specifications Hdd 120 gb Ram 2gb Processor 2ghz Battery inatunza moto kwa masaa mawili Bei 150000/= Location Dar Contact
 15. fdizzle

  Natafuta partner kwa kazi ya business plan

  Wakuu habari? Natafuta partner ambae tutashirikiana kuandaa kazi za business plan kwa kufungua ofisi kwa hapa Dar Essay Salaam. Kwa atakaekuwa tayari aje pm tuyajenge
 16. fdizzle

  Anayefahamu hospitali nzuri ya macho kwa hapa Dar na gharama zake

  Wakuu nawasalim Nna tatizo kidogo la macho kuna wakati nilienda hospital tofaut na upimaji wao wa macho ni ile ya kuveshwa lens na kuanza kusomeshwa herufi Kiukweli haijanisaidia lolote pamoja na kupewa miwani ila tatizo bado lipo tena inakuwa ni bora bila ya miwani kuliko kutumia miwani...
 17. fdizzle

  Nahitaji water pump ya mkopo

  Wakuu habari zenu? Nimeanza kilimo cha mboga mboga na Nashukuru Mungu mpaka sasa naendelea vizuri na kilimo. Changamoto kuu niliyo nayo ni Water pump. Nilikuwa naomba Kama kuna mdau anaweza kunikopesha water pump anisaidie kwa hilo nitakuja kumlipa pesa yake yote. Kilimo kina changamoto sana...
 18. fdizzle

  Kweli tochi hatari

  Muda huu saa kumi na mbili na dakika 50 nipo kongowe lakini hakuna basi la mkoani hata moja lillilotupita. Wakati miaka ya nyuma muda kama huu mabasi yapo vigwaza huko au chalinze kabisa. Kweli tochi ni hatari.
 19. fdizzle

  Kwa anaejua mbegu nzuri ya pilipili hoho

  Wakuu Kama kuna anaejua mbegu nzuri ya pilipili hoho na sehem gani ntapata kwa hapa Dar Nipo Dar ntashukuru kwa msaada
 20. fdizzle

  Sitasahau siku niliyonusurika kutolewa sadaka

  Nakumbuka ilikuwa ni siku ya ijumaa nikitafakari namna ya kupata pesa ya matumizi pale shuleni nilipokuwa nasoma maana "pocket money"ilikuwa ishakata. Ilikuwa ni shule ya boarding maarufu na inafanya vizuri katika matokeo ya mitihani ya taifa. Ilipofika saa kumi na mbili jioni kengele ya msosi...
Top Bottom