Search results

 1. TUKUTUKU

  Matatatani kwa kujamiana na maiti, kupata ujauzito

  Mwanamama mmoja nchini Marekani anayefanya kazi mochwari, ameingia matatani baada ya kupata ujauzito kwa kujamiana na mtu aliyekufa. Mtandao wa habari wa dead serious news umesema tukio hilo linadhaniwa kutokea katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Mourning glory,nje ya Lexington,Missouri...
 2. TUKUTUKU

  Tundu Lissu aibuka kidedea!!

  Mahakama kuu kanda ya Dodoma ,jana ilitupilia mbali kesi iliyokuwa ikimkabili Mbunge wa singida mashariki Tundu Lissu (CHADEMA) na kusema kuwa kesi hiyo iliyofunguliwa kimakosa hivyo haiwezi kuendelea kusikilizwa. Jaji Sivangilwa Mwagesi,alisema kuwa kesi hiyo ilikuwa na kasoro nyingi kutokana...
 3. TUKUTUKU

  Sophia Simba aifagilia CHADEMA

  Mwenyekiti wa umoja wa wanawake ((UWT) bi Sophia Simba ameweka hadharani upungufu wa chama cha mapinduzi(CCM) na kukisifia chama cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa mfumo walionao wa kisasa unaovutia kizazi cha sasa na kupata umaarufu wa ghafla. Bi Simba ambaye ni Waziri wa maendeleo ya...
 4. TUKUTUKU

  Housegirl kanichanganya sana!

  Mimi nina uhusiana wa kimapenzi na housegirl wangu.Siku moja tulikuwa faragha, tukifanya mapenzi,baada ya kumaliza kufanya mapenzi nilimsifia sana na kumwambia penzi alilonipa ni tamu sana kuliko hata la mke wangu. Baada ya kusikia hivyo alifurahi sana na kusema asante sana Baba kwa kuniambia...
 5. TUKUTUKU

  Wabunge wafungua kesi kupinga DOWANS!

  Katika hali inayodhihilisha watanzania kukerwa na malipo ya kampuni ya Dowans,mahakama kuu ya Tanzania imepokea na kusajili kesi ya kikatiba kupinga malipo hayo. Kesi hiyo ya kikatiba ilifunguliwa mahakamani hapo jana na watanzania saba wakiwemo wabunge watatu na kupewa namba tano ya mwaka...
 6. TUKUTUKU

  Rutashubanyuma Unatisha!

  Napenda kuchukua fursa hii, kumpongeza mr Rutashubanyuma kwa michango mingi aliyoitoa kwa kipindi kifupi,na mbali ya wingi wa michango hiyo,pia imekuwa michango ya muhimu katika kuelimisha jamii.Maana waswahili wanasema wingi si hoja,kinachohitajika zaidi ni ubora,lakini kwa Mr Rutashubanyuma...
 7. TUKUTUKU

  Waislamu watakiwa kusomesha

  Waislamu watakiwa kuzingatia elimu za aina zote,ili ziweze kuwasaidia kwenye maisha yao.Akizungumza kwenye sherehe ya kukaribisha mfungo sita,muasissi wa kikundi cha Firqata’salaam,Ismail Salim,alisema waislamu wanatakiwa kuamka,wasitegemee elimu ya dini peke yake bali wapeleke watoto wao...
 8. TUKUTUKU

  Wahisani waiumbua serikali

  Kundi la wahisani wanaochangia bajeti kuu ya Tanzania (GBS) limeibua kashfa baada ya kueleza kuwa serikali iliwapelekea bajeti tofauti na ile iliyopitishwa na bunge julai mwaka huu. Taarifa za kashfa hiyo ziliwekwa hadharani jana asubuhi na mwenyekiti wa wahisani hao,Svein Baera wa Sweden katika...
 9. TUKUTUKU

  Tundu, Zitto wasisitiza chadema ni shwari

  Hali ya kisiasa ndani ya CHADEMA imeelezwa kwamba ni shwari na hakuna matafaruku utakaotokea.Mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni,Tindu Lissu,pamoja na Naibu katibu mkuu wa chadema Zitto kabwe walisema hayo kwa nyakati tofauti walipohojiwa kufuatia hatua ya wabunge wa 10,akiwemo naibu...
 10. TUKUTUKU

  Uchaguzi wa Madiwa,Wabunge na Rais Utenganishwe

  Imekuwa ni kawaida ya chaguzi zetu zinapofanyika kuambatana na dosari nyingi sana ambazo zinakatisha tamaa kwa wapenda demokrasia nchini.Kwa mfano uchaguzi mkuu mwaka huu uliyofanyika tarehe 31 octoba 2010,baadhi ya majimbo uchaguzi uliahilishwa kutokana na kasoro mbalimbali zilizojitokeza...
 11. TUKUTUKU

  Elections 2010 Wanafunzi Vyuo Vikuu epukeni aibu hii

  Serikali ya shirikisho la wanafunzi wa chuo kikuu Dodoma (UDOSO) imekanusha taarifa iliyotolewa na msemaji wa wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani Dodoma na waziri wa sheria na katiba wa chuo kikuu cha Dodoma kwa tamko la kukitaka chama cha democrasia na maendeleo (CHADEMA) kiombe radhi kwa kitendo...
 12. TUKUTUKU

  Tsvangirai Amburuza Mugabe Mahakamani

  Waziri mkuu wa Zimbabwe Morgan Tsvangirai ameanza kuchukua hatua za kisheria dhidi ya Rais Robert Mugabe kufuatia msimamo wake wa kuwateua magavana wa majimbo. Tsvangirai amelalamikaia msimamo wake wa huo akisema kuwa mugabe alipaswa kumshirikisha juu ya uteuzi huo kwa mujibu wa mkataba wa...
 13. TUKUTUKU

  Malaria sugu akishangilia ushindi wa JK!

  Katika pitapita yangu mtaani, nilifanikiwa kukutana na malaria sugu, akishangilia ushindi wa JK uliokuwa umetangazwa punde na tume feki ya uchaguzi!alionekana mchangamfu,mwenye haiba na furaha ya hali ya juu kama anavyoonekana!
 14. TUKUTUKU

  Kafiri mbaya,kiatu chake dawa!

  Suala la kuanzisha Mahakama ya kadhi limekuwa gumzo kubwa nchini kwetu katika miaka ya hivi karibu.Waislamu wanataka chombo hichi kitambuliwe na serikali. Vilevile, gharama za uendeshaji wake zibebwe na serikali.Kuhusu suala la gharama la uendeshaji wa chombo hichi kugharamiwa na serikali. mimi...
 15. TUKUTUKU

  Elections 2010 Kulikoni Said Arfi-Mpanda kati

  Jamani wana JF imekuwa muda mrefu sana sijasikia matokeo ya mpanda kati,ambapo makamu mnyekiti wa Chadema alikuwa anatetea kiti chake.Mwenye taarifa atujuze,ili tujue hali ya mpiganaji wetu!!!
 16. TUKUTUKU

  Vituko vya tume ya uchaguzi

  Nimepatwa na mshangao na utendaji wa tume ya uchaguzi,nilikwenda kuhakiki jina langu kwenye kituo ambacho nilijiandikisha,lakini kwa bahati mbaya sikuliona jina langu katika orodha ya wapiga kura halali.Baada ya kuona hivyo nilijalibu kupiga simu namba “+255222199780” ambayo ilitolewa na tume...
 17. TUKUTUKU

  Nyarandu kutumia helikopta kwenye kampeni zake

  Mgombea ubunge jimbo la singida magharibi kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM),bwana Lazaru Nyarandu amepanga kutumia helikopta katika kampeni zake,katika siku mbili za mwisho.Nyarandu amesema amechukua uamuzi wa kukodi helikopta ili aweze kuwafikia na kuwakumbusha wapiga kura waliopo kwenye kata...
 18. TUKUTUKU

  Wagombea ving’ang’anizi waonywa

  Viongozi mbalimbali wa kanisa la Agape Assembles of God la jijini Dar es salaam, wamewashukia baadhi ya viongozi wa siasa wanaong’ang’ania madaraka huku wakijua kuwa hakuna mchango wowote waliotoa kwa jamii.Vilevile viongozi hao,wamewasisitizia wananchi kuhakikisha wanachagua kiongozi ambaye...
 19. TUKUTUKU

  Kumbukeni kuhakiki majina yenu kwenye vituo vya kupiga kura

  Ikiwa zimebaki siku chache kabla kupiga kura wanaJF nawakumbusha kuhakiki majina yenu kwenye vituo vya kupiga kura,ili kama kuna dosari ishugulikiwa mara moja.Ili tuweze kufikia malengo yetu ya kuchagua kiongozi bora mwaka huu!!!!!!!! Uchaguzi wa mwaka huu, hatudanganyiki kwa kofia na...
 20. TUKUTUKU

  Mbatia azozana na Mdee, TAMWA

  Mgombea ubunge wa jimbo la kawe kwa tiketi ya chama cha NCCR MAGEUZI,bwana james mbatia,ametishia kwenda mahakamani ili kukabiliana na kile alichokiita kudhalilishwa na mgombea ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya CHADEMA,Halima mdee.Mbatia analalamika kuitwa mamluki wa CCM,na aliyepandikizwa...
Top Bottom