Search results

 1. racka98

  Jinsi ya kujua kama charger ni fake au original

  Kama mnavyojua sikuhizi kupata charger original ya uhakika ni shida sana. Charger nyingi madukani humu zinaandikwa fast charger ila ukienda kuitumia ni matatzo tupu. Leo nitaelezea njia rahisi ya kujua kama charger ni fake or original. Kwanza charger fake ni ile isiyofikia kiwango chake...
 2. racka98

  LG wanafunga biashara yao ya simu

  Baada ya LG kutangaza mwanzo wa mwaka huu kuwa wanauza mobile division yao imefatia kufunga biashara hyo ya simu mwezi huu ujao baada ya kukosa wa kuwauzia. Hvyo wanafunga kabisa biashara hyo ya simu na kufuta ratiba yao ya mwaka huu ilikuwa imeshapangwa. Pia wana cancel simu yao yenye rollable...
 3. racka98

  Kuna shida gani na mtandao hapa karibuni?

  Hapa karibuni kma siku 3 hivi zilizopita Internet speed zimekua mbovu sana. Natumia Voda na TTCL. Yaani speed imeshuka sana. Kwenye spend nilikua napata hadi 20mbps download lakini sasa napata 1 to 2mbps Voda. Yaani Voda ina buffer video ya 360p Youtube. Nyie wenzangu nao mmeona speed imeshuka...
 4. racka98

  Android 12 (S) Developer Preview is here

  Kuna baadhi ya mabadiliko ya APIs na kuna baadhi ya feature pia. Hii ni developer preview kwa maana kuwa ipo basic sana na features nyingi bado hazijafika. Lengo lake hii ni kuwapa developers nafasi ya kutest API zao More info: Wenye simu ya Google Pixel or Android studio wanaweza install...
 5. racka98

  Jinsi ya kutumia feature mpya ya Nearby Share kwenye Android phones

  Mnamo tarehe 4 August 2020, Google walizindua feature yao ya kushare mafile kati ya Android phones iitwayo Nearby Share ambayo ni kama Xender app na Airdrop ya iPhones. Nearby Share inafanana ufanyaji kazi wake kama airdrop ya kwenye iPhones kwamba unapata menu ya kushare kutumia njia directly...
 6. racka98

  Jinsi ya kutumia Google Lens kutambua vitu

  Google Lens ni teknolojia ya kutambua vitu mbali mbali katika picha. Hii inahusisha maneno, tafsiri, wanyama, aina za matunda, aina za miti, picha zilizopo mtandaoni zinazofanana na picha yako, nk. Hii teknolojia ipo kwenye simu nyingi za Android kupitia Camera application, Google Photos app na...
 7. racka98

  Kuna mtandao hapa bongo unao support eSIM?

  Kama mnavyojua kua kuna baadhi ya simu mpya kuanzia iPhone XS and above, Google Pixels na baadhi ya Samsung kua zinasupport dual SIM lakini moja ni physical sim card na nyingine ni eSIM ambayo carrier wanakuwekea. Je kuna mtandao wowote hapa bongo wana offer eSIM? Sent from my Pixel 3a using...
 8. racka98

  macOS kwenye Thinkpad T450

  Nime install Apple macOS kwenye Thinkpad t450. Kwa wale wanaotaka kudevelop iOS/macOS apps, video editing on Final Cut Pro X, Music production on Logic Pro X na hauna MacBook, basi Hackintosh ndio njia. A Hackintosh is a computer that runs an Apple Macintosh operating system ("macOS" or "OS X")...
 9. racka98

  Kuna mobile devices wanaotumia Flutter humu

  Wadau wa mobile development (Android & iOS) kuna anaye tumia Flutter humu kutengeneza app zake? Flutter inaonekana kama strong competitor to React Native na Xamarin kwa sasa
 10. racka98

  Msaada wa jinsi ya kuhusu kuchukua mzigo posta

  Wakuu nina swali kidogo. Niliagiza display ya laptop kutoka eBay trh 23 mwezi wa 6 na imeonesha kua tarehe 6 (Jumatatu) mzigo umeshapita customs na status imeandika Hold item at Point of delivery. Reason: no home delivery. Go to pick up Sasa sijatumiwa message wala kupigiwa simu, je natakiwa...
Top Bottom