Habari wanabodi,
Natumai mpo wazima, niende moja kwa moja kwenye Mada, kuna ushauri nimeulizwa na best yangu ambaye tupo single kwamba ana binti wanamahusiano na yupo chuoni kimasomo lkn yeye ni mtumishi. Hivi karibuni tangu mwaka umeanza hajawahi pokea simu wala SMS kutoka Kwa huyo mrembo...
HABARI WANABODI
Natumai mpo wazima humu ndani job seekers na employers kama wapo. Naomba nitumie jukwaa hili kuweza kuleta malalamiko yangu kwa wahusika najua watanisikia na watanzania wengine pia walijue hili.
Habari yenyewe ni kwamba hivi karibuni hawa jamaa wameniita kuhudhuria kwenye...
HABARI wanabodi,
Ndugu XXXXXXX, MSD inakukaribisha kwenye usahili kwa nafasi uliyoomba ya Administrative Officer itakayofanyika siku ya Jumatano tarehe 14/6/17 saa 3:00 asubuhi shule ya Sekondari Chang'ombe ndani ya DUCE, Dar es Salaam. Tafadhali fika na kitambulisho chako. Gharama za usafiri...
Habari wanabodi,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naomba kufahamu kama kuna utaratibu wa uhamisho kutoka shule binafsi kwenda shule za serikali, na kama upo taratibu hizo zafanyika wapi,
Thanks in advance
Chuo Cha Ufundi Arusha kinatarajia kuendesha usaili na hatimaye kuwaajiri waombaji watakaofaulu usaili kama ilivyoonyeshwa hapa chini. Wasailiwa lazima wazingatie yafuatayo:
1. Kuja na vyeti Halisi (original certificates) vya kuanzia kidato cha nne na kuendelea kutegemeana na sifa za...