WEST PALM BEACH, Fla. — A Publix Super Market manager called police last week because Vladimir Putin refused to leave the store, according to authorities in West Palm Beach, Florida.
The 48-year-old was screaming at employees at the Publix at Rosemary Avenue and Fern Street, the manager told...
Naomba kujua kama kuna sheria inayoruhusu debt collection ya deni la nje ya nchi kufuatia hukumu ya mahakama ya nje kutibitisha deni na kama ikiwa mdaiwa ni raia wa Tanzania na ana mali Tanzania.
Naomba ku-connect na wote waliosoma Shaaban Robert 1984 to 1987 enzi za Miss Koleth, Ramji, Ndomondo, Assenga, Joghia, Bichwa Korosho, na wengineo wengi kwenye kumbukumbu.
Nadhani mtakuwa mmo humu ndani. Big up wote tuliosoma sekondari in the '80's, which was a very unique and defining period...
Anaitwa "Glenn Roseberry" na anadai ni Mmisionari kutoka Tennessee Marekani na kwa sasa anaishi na kufundisha Arusha, pamoja na kufanya kazi zake nyingine Kenya.
Aliona tangazo langu la pikipiki kwenye internet akawasiliana ili ainunue. Leo kafika nyumbani anadai kutoka Arusha, akasema...
Nimewahi kutuma magari mengi kutoka Japan pamoja na makontena kutoka Marekani, lakini experiences zangu zinatofautiana sana kuhusiana na uwezo, uaminifu na gharama za kutoa mzigo wako kutoka bandarini baada ya kumwachia kazi Clearing & Forwarding Company and/or Agent.
Kwa maada hii, ningependa...
Binafsi nina Time Warner Cable (sikumbuki exact subcription package), lakini kwa msimu huu na ule uliyopita, naweza kusema favorite TV shows zangu kwa sasa hivi (but not necessarily in order of preference) ni kama ifuatavyo:
1. First 48 hours (ingawa wanaboa sana na tabia ya kurudia past...
Kuna yeyote mwenye experience ya kutoa mzigo bandarini ndani ya siku 21 bila ya kuanza kulipa gharama za ziada za daily storage fees kwa makampuni binafsi kama Azam?
Experience yangu inaonyesha clearing & forwarding agents hawawezi kutoa mzigo chini ya siku 21, hata uwe umewakilisha documents...
Mimi bamekaa na kufukiria kwa sana, na bila mutatizo mukubwa na kutumia muda muwingi nalikuja kusha kufahamu kuwa Bantu ba Tanzania ni waoga kweli. Bantu ba Tanzania banapenda kulonga kwa mudomo sana lakini mutendo ni hakuna. Hivi ni kwa nini? Kelele muwingi lakini hakumna kitu hata moya...