Search results

 1. sultanseifu

  Taja Watu Maarufu Humu JamiiForums

  Naomba Unitajie Watu Maarufu Unao Wafahamu Humu Jamiiforum. Kuna Watu Maarufu Sana Wanafahamika Humu JF Kwa Ku,comments% Post Za Watu Hemu Nitajie Mtu Hata Mmoja Unae mjua !!!
 2. sultanseifu

  Msaada; Je, Kuweka 5 Rating Katika Page Kwenye Facebook Ni Lazima Niwe Na Likes Ngapg?

  Nimefungua Page Yangu Kule Facebook Sasa Nilikuwa Naitaji Kuweka 5 Rating, Sasa Sikuweza Kuweka. Sasa Nauliza Hiv Mpaka Niwe Na Like Ngapi Ndio Naweza Kuweka? Mpaka Sasa hivi Nimefikisha Likes 80 NAWASILISHA.
 3. sultanseifu

  Magroup Maarufu mazuri katika Facebook

  LEO NIMEKUJA NA HII LIST YA MAGROUP MAARUFU YA FACEBOOK. NCHI NYINGI ZILIZOENDELEA UKIINGIA GOOGLE UKISEARCH MAGROUP YA FACEBOOK YA NCHI YOYOTE UNAYOITAFUTA UTAKUTANA NA LIST NYINGI SANA LAKINI UKIINGIA GOOGLE UKASEARCH MAGROUP YA TANZANIA HUKUTI HATA MOJA. SASA NAJUA WENGI MTABEZA LAKINI...
 4. sultanseifu

  Kwa mara ya kwanza Tanzania kuwekwa katika M-bet Nimemwekea na dau Tanzania ashinde Nasubiri Mpunga tu

  UKIINGIA M-BET] SASAHIVI UTAKUTANA NA MECHI YA ALGERIA vs TANZANIA sasa ipo hivi! ALGERIA win 1.17 Droo 6.00 TANZANIA win 11.50 Tanzania akishinda napokea 1,000,00 laki moja tz!!
 5. sultanseifu

  Marekani yailaumu Korea kaskazini kwa kusambaza virus cha computer kinacho igharimu dunia

  Utawala nchini Marekani unasema kuwa Korea Kaskazini ilihusika moja kwa moja na kirusi cha wannaCry kilichoadhiri hospitali, biashara na mabenki kote duniani mapema mwaka huu. Kirusi hicho kilidaiwa kuvamia zaidi ya kampuni 300,000 kwenye mataifa 150 na kusababisha hasara ya mabilioni ya dola...
 6. sultanseifu

  Hizi hapa Kauli 10 mbaya za walimu darasani, unakumbuka ipi?

  1:mkimaliza kuongea mniambie niendelee kufundisha 2:baba yako kauza ng'ombe ili alete ng'ombe mwingine shule 3:kama unajua kuliko Mimi njoo ufundishe wewe 4:ulikuja peke yako na utaondoka peke yako 5:hata msipo nisikiliza mshabara wangu upo pale pale 6:baba yako anahangaika kulipa ada wewe...
 7. sultanseifu

  Tufanye nini ili tukuze soko la filam hapa nchini kwetu

  Asalam aleikum ndugu wana JF Leo ningependa uchangie labda hata kwa mawazo nijinsi gani tufanye ili tukuze soko la filam kwa nchi yetu maana soko la filam kwa nchi kama Tanzania limeshuka ningependa utoe hata mawazo yako . Kwangu Mimi ningependa kuwaambia wana tasnia waigizaji wetu wawe Sirius...
 8. sultanseifu

  Hii ndio Historia ya kweli ya north Korea

  Korea ya Kaskazini Korea kaskazini ( jina rasmi : Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea ) ni nchi ya Asia ya Mashariki iliyoko kwenye nusu ya kaskazini ya rasi ya Korea . 조선민주주의인민공화국 朝鮮民主主義人民共和國 Chosŏn Minjujuŭi Inmin Konghwaguk a Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea Bendera Nembo...
 9. sultanseifu

  Hivi north Korea wana jitengezea fedha zao wenyewe?

  Hivi jamani north Korea hawapo kwenye list ya umoja wa mataifa na wana vikwazo sasa hilo taifa fedha zao wanatengeneza wenyewe au inakuwaje hapo wakuu?
 10. sultanseifu

  Hivi north Korea wana jitengezea fedha zao wenyewe?

  Hivi jamani north Korea hawapo kwenye list ya umoja wa mataifa na wana vikwazo sasa hilo taifa fedha zao wanatengeneza wenyewe au inakuwaje hapo wakuu?
 11. sultanseifu

  Samsung kuja na internet ya 5G

  Samsung yafanya majaribio ya teknolojia ya 5G Katika intaneti yenye kasi hivi sasa katika nchi zetu za Afrika ni teknolojia ya 4G na hiki ndio kizazi kinachoonekana kuwa chenye kasi ya intaneti lakini hali ni tofauti kwa Samsung ambao wanafikiria kuhusu kizazi cha 5 cha intaneti. Tangu mwaka...
 12. sultanseifu

  Palestina imekataa mazungumzo na marekani.

  Marekani imeionya Palestina dhidi ya maamuzi yake kutotaka kukutana na makamu wa rais Marekani ,Mike Pence katika kikao ambacho kilipangwa kufanyika mapema mwezi huu ili kujadili uamuzi wa rais Trump wa kuhamishia Yerusaleam kuwa mji mkuu wa Israel. Ikulu ya Marekani imesema, uamuzi huo...
 13. sultanseifu

  Tetesi: Marekani yafanya mazoezi Korea kusini hali ya wasiwasi imetanda

  Jeshi la Marekani limerusha ndege yake aina ya B-1B bomber. katika anga ya Korea Kusini kama sehemu ya mazoezi ya pamoja ya angani katika hatua inayoonekana kama onyo kwa Korea Kaskazini. Mazoezi hayo ya kijeshi yanafanyika wiki moja baada ya Korea Kaskazini kurusha kombora ililodai kuwa ni la...
 14. sultanseifu

  Marekani yakumbwa na moto mkubwa

  Karibu watu 27,000 walilazimishwa kukimbia manyumba yao usiku wa manane wakati moto mkubwa ulisamba kwa haraka kusini kwa jimbo la Carlifonia. Watu wamehamishwa kwa lazima kutoka makwao katika miji ya Ventura na Santa Paula karibu kilomita 115 Kaskazini mwa Los Angeles. Wazima moto walionya kuwa...
 15. sultanseifu

  Najua kuongea kikorea cha kaskazini njoo uniulize swari lolote kwa kikorea cha kaskazini

  Habari za majukumu wakuu nimesomea korea kaskazini miaka mitatu lugha yao mimi ndio nikawa genus wa korea kaskazini sasa nimerudi tanzania kuja kuchukua kozi ya kiswahili tena maana nimeanza kukisahau nikirudi korea kaskazini nawaahidi hwangsong 14 tutaanza kuziripua zile nuclear test maana mimi...
 16. sultanseifu

  Tujifunze kutengeneza game

  Habari za majukumu wakuu mimi nataka tu share mawazo juu ya jutengeneza game development kwa hapa bongo najua wenye uwezo juu ya hayo mambo kuhusu game wapo wengi tu tatizo hawataki kushare mawazo . mimi ndio nimeanza kujifunza kutengeneza video game kupitia unreal engine sasa naomba mwenye...
 17. sultanseifu

  Nazileta kwenu facebook codes

  Habari za majukumu wakuu leo nimeamua kuwaletea facebook code ambayo utatumia kupendezesha maneno unayo post au kukoment . twende pamoja :- nenda moja kwa moja katika facebook yako alafu coment au post code moja kati ya hizi NB:ingia katika facebook coment sehemu yoyote ya kutolea maoni...
 18. sultanseifu

  Msaada naitaji kwenda South Korea

  Habari wakuu, Nomba msaada naitaji kwenda South Korea sasa kwa mtu yoyote mwenye uelewa au alishawahi kwenda huko naomba msaada kama anafahamu nauli ya kutoka hapa mpaka huko.
 19. sultanseifu

  Korea kaskazini imesama marekani imeanzisha vita hii inakuaje kwa upande wako

  Wakuu mitazamo yenu maana mimi naona inaenda tokea vita kuu ya dunia au wote wana ogopana?? Maana korea imeahidi inatungua ndege meli za kivita zozote zitazopita karibu au hata nje ya korea kaskazini .
 20. sultanseifu

  Watundu wa kucheat gta kwenye playstation nipeni jibu

  Nataka ku cheat kifaru sasa muongozo wakuu.
Top Bottom