Search results

  1. Jahnson

    Kiwanda/viwanda vya uchapaji (printing solutions)

    Wakuu naomba kufahamishwa kwa wote wanaofahamu viwanda/kiwanda Cha uchapaji HASA vile vya offset printing Kama vile Jamana printers kwa Dar es salaam katika MIKOA ya Morogoro na mwanza kwa yeyote anayehamu uwepo wa viwanda ivyo naomba anifahamishe tafadhali
  2. Jahnson

    Naomba kuunganishwa kwa yeyote mwenye connection ya kazi katika kiwanda cha uchapaji/printing solution

    Wakuu heshima kwenu wote mimi ni kijana niliyehitimu katika chuo cha ufundi VETA katika fani ya offset machine printing kama operator nilikuwa naomba kuunganishwa/ kufamishwa mahali napoweza kupata kazi kwa fani tajwa hapo juu. Binafsi bado sijafanikiwa mahali nilipo peleka maombi ila kupitia...
Top Bottom