Search results

 1. Invisible

  JF Expected Downtime: October 23, 2019

  Wakuu, Tunatarajia kati ya saa 7 kamili usiku hadi saa 8 usiku wa leo (1:00am - 2:00am) kwa muda wa Afrika Mashariki kutakuwa na downtime (kutopatikana) kwa Mtandao wa JamiiForums ambayo imepangwa kwa ajili ya kuimarisha zaidi miundombinu yetu na kuboresha mambo kadhaa katika miundombinu...
 2. Invisible

  Dawa za Kulevya zinazoingia nchini zikitokea India na Pakistani. Nani wanahusika?

  > Nani wapo nyuma ya uingizwaji huu wa Heroin nchini? > Malipo yanafanyikaje? Nani mlipaji mkuu? > Taarifa nilizo nazo zinaonyesha zinatumika boti toka Iran na Pakistani katika kuingiza ‘mzigo’ na zaidi mazao ya kilimo yanatumika kama cover ili kuwapoteza wenye mamlaka > Huko Afrika Kusini...
 3. Invisible

  Southern Africa is losing US$30 billion annually as a result of financial outflows

  > New research by Action for Southern Africa (ACTSA) finds that the Southern African Development Community (SADC) region loses US$8.8 billion in trade-related illicit outflows and US$21.1 billion in external government debt payments per year > Resources for economic and social rights in...
 4. Invisible

  JF Exclusive: Mauritius Leaks name Tanzania companies in tax avoidance

  By JF Reporter FORGET about Panama and Paradise Papers, now it is Mauritius Leaks, which have emerged to contain four - at least for now, Tanzania’s companies that have done businesses or operating huge transactions in the tiny Indian Ocean Island in Africa. Three months investigations have...
 5. Invisible

  Hanspope atua katika ‘Mikono salama’; Mahakama ya Kisutu yamwachia kwa dhamana...

  Usiku ulikuwa mrefu, hatimaye kumekucha. Katua, kanaswa! Wanaye... Tutarajie nini kitafuata? ======== UPDATE: Oktoba 16, 2018 (13:30hrs) ======== Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe ameachiwa kwa dhamana baada ya kufikishwa Mahakama ya Kisutu kujibu mashtaka 10...
 6. Invisible

  Tanzania: Idadi ya watu yavuka 58,000,000. Ni zaidi ya makisio ya awali ya NBS!

  Ripoti ya UN inaonyesha idadi ya watu nchini Tanzania imefikia zaidi ya milioni 58. Takwimu za NBS kwa mwaka 2012 zilikisia kuwa miaka mitano baadae Tanzania ingekuwa na watu takribani milioni 52 mwaka 2017. Kinachoshtua ni kuwa ongezeko hili ni zaidi ya asilimia 12 kiwango ambacho ni kikubwa...
 7. Invisible

  RIPOTI: Usiri unapelekea Tanzania kuendelea kuibiwa. Nchi inashika kasi katika viwango vya usiri wa fedha

  Tanzania imeingia katika orodha ya nchi zenye usiri mkubwa kuhusu fedha za viongozi wa serikali na siasa, wafanyakazi na wafanyabiashara wanaoficha fedha nje ya nchi. Fedha zinazohusika hapa ni zile zinazopatikana kwa njia za rushwa, uporaji wa mali na rasilimali za taifa na kukwepa kodi...
 8. Invisible

  Tanzania: The Whistleblower and Witness Protection Act, 2015; watoa taarifa watalindwa kweli?

  Kwanza, nakumbuka mwaka 2011 Hoseah alituahidi kuja na Sheria ya Kulinda watoa Taarifa; lakini katika chungulia yangu nikashangaa kidogo (kwakuwa si mtaalamu wa masuala ya sheria) kuwa Tafsiri ya Kiswahili haijaakisi kilicho kwenye sheria ya Kiingereza. Tunaitunga sheria hii kwa maslahi ya...
 9. Invisible

  Picha: Kikwete na Rugemalira wa VIP Engineering hawajakutana barabarani

  Ruge (mwenye suti nyeusi) akiwa kamshika mkono enzi hizo! Ama kweli, hawakukutana barabarani
 10. Invisible

  Oh, weekend imeshawaendea vibaya!

  Hata hawakutarajia ingekuwa hivi! Wengine hata najua wazi hawana taarifa na kinachoendelea juu yao. Lakini kaamua, liwalo na liwe. Mmefanya vema mliofanikisha juhudi za kumpa majina ya ziada; atakuwa aliudhika kukuta aliowaamini nao ni nyoka. Kafanya jambo jema; lakini kama atafanya hivi bado...
 11. Invisible

  JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

  Hii ndiyo Ripoti ya CAG ambayo hata State House imeridhia iwekwe wazi kwa Umma wa Watanzania. Ipakue HAPA na ujisomee bure Mdau mwingine ana nyongeza hii muhimu:
 12. Invisible

  Madai ya Serikali kufilisika na yanayoendelea ndani ya Wizara ya Fedha!

  Wakuu, Wakati Serikali ikidaiwa kushindwa kuwalipa watumishi wake mshahara wa mwezi Januari 2014 mpaka sasa, kuna tetesi kuwa Waziri wa Fedha aliyeteuliwa na Mhe. Rais hivi karibuni Mhe. Saada Mkuya amewaandalia wajumbe wote wa Kamati ya Bajeti ya Bunge pamoja na maofisa waandamizi kutoka...
 13. Invisible

  Anaswa na Madawa ya Kulevya Uwanja wa Ndege Dar

  MWANAMKE Mtanzania, Salama Omari Mzale, amekamatwa jana- katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam akisafirisha dawa za kulevya kwenda nchini China. Hadi leo saa nane mchana amekwishatoa kete 27 kwa njia ya haja kubwa. Mwanamke huyo mkazi wa Mbagala Kongowe...
 14. Invisible

  Basi la Taqwa toka Zimbabwe lapata ajali mbaya sana Mikumi

  Kuna ajali mbaya sana hapa kona ya Mikumi ikilihusisha basi la Taqwa. Basi lililosaidia kubeba Majeruhi kupelekwa Mikumi hospital ni Princess Muro. Basi lilikuwa ikijaribu ku overtake Lorry. Ukiangalia vizuri utaona Mbao zimeingia kwenye basi hapo mbele. Bado majeruhi wengi wanahitaji msaada...
 15. Invisible

  Wachina wakamatwa na Shehena ya Meno ya Tembo Bandarini Dar

  Wakuu, Japo naiweka kama tetesi ila napenda ifahamike kuwa ukweli wake utajidhihiri muda si mrefu. Tetesi yenyewe ni kuwa Kuna Wachina wamekamatwa na Shehena Kubwa ya Meno ya tembo Bandarini Dar na sasa wamechukuliwa kisiri na "watu flani" ambao hawataki habari hii ijulikane. Napenda...
 16. Invisible

  TANESCO kuachana na Symbion na Aggreko?

  Inadaiwa Bodi ya wakurugenzi ya TANESCO imepania kuachana na Mikataba ambayo inaonekana kuwa mzigo kwa shirika kati yake na Makampuni ya Symbion Power na Aggreko mwezi Oktoba 2014, kutokana gharama kubwa zisizoshikika toka kwa Makampuni haya. Nini hatma ya TANESCO? Tunao mbadala wa makampuni...
 17. Invisible

  On Mtwara: Kikwete, Muhongo na Bunge - Mnayakumbuka haya?

  Wakuu, Nimeona ni vema tukajaribu kuakisi haya kabla hatujaanza kusaka mchawi. Kumbukumbu zipo, nyaraka zipo na tuna vitu vingi vya kuanzia wakati tukisaka suluhu ya kinachojiri Mtwara. Tuanze na hii: Kisha, soma: Naam, malizia na hii: The VIDEO: Meanwhile, ni vema wale ambao mtaenda...
 18. Invisible

  Ripoti hii ilifichwa: Chanzo cha kuporomoka Elimu Tanzania!

  Baada ya kumwona Tundu Lissu akiigusia Ripoti hii, nimeonelea ni vema niwashirikishe ripoti yenyewe kwakuwa haikuwahi kuwa kwenye public domain. Ni Ripoti ya utafiti iliyokuwa commissioned na ofisi ya Waziri Mkuu kuchunguza matokeo mabaya ya Kidato cha Nne mwaka 2010 ambayo ilitoka mwaka...
 19. Invisible

  TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

  Wakuu, Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena: Mnapoamua kufanya biashara yoyote nje au ndani ya JF bila kutushirikisha msiilaumu JF. Tunafahamu kuna ambao...
 20. Invisible

  TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

  Wakuu, Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena: Mnapoamua kufanya biashara yoyote nje au ndani ya JF bila kutushirikisha msiilaumu JF. Tunafahamu kuna ambao...
Top Bottom