Search results

 1. CARIFONIA

  KBC mnashindwa wapi?

  Dah! Hawa ndugu zetu sijui nani kawaloga yahani wanaonyesha live kuapishwa kwa Rais wa Marekani. Hivi VOA walishawai kuonyesha live kuapishwa kwa raisi wa Kenya but anyways i hope hata kuapishwa kwa Rais wa Uganda mtaonyesha live
 2. CARIFONIA

  Nani anaikumbuka hii AC Milan yamoto?

  Kwenu wahenga nani ana kumbukumbu na hawa miamba wa Italy AC Milan, ilikua ya moto kweli kweli.
 3. CARIFONIA

  Umejifunza nini kutoka katika hii picha?

  Ukiangalia katika siasa zetu na mambo mengi hii nchi inayopitia nadhani hii picha inaweza kua na ujumbe ambao kila mtu anaweza kuutafasiri anavyoweza lakini CCM nadhani pia mnaweza jifunza kitu hapa
 4. CARIFONIA

  Utaratibu upi wa kuomba eneo la kufanyia biashara stend mpya mbezi?

  Matumaini yangu sote tu wazima na tuenaendelea na harakati za kufanya maisha kuwa mepesi. Wadau mimi naomba kuulizia kama kuna mtu anajua juu ya Utaratibu wa kuomba eneo la kufanyia biashara stend mpya mbezi kwa upande wa wafanya biashara wadogo yahani wamachinga je? Tunaandika barua kuomba...
 5. CARIFONIA

  Hii ndio mahana halisi ya taifa lenye uchumi wa kati

  Ndugu zetu wakenya nadhani mna kitu cha kujifuza kutoka kwa kaka yenu Tanzania. Ukiachana na mambo ya corona, this is Dar es salam young Africans the giant football club in east and Central Africa, tafasiri halisi ya timu iliyo kwenye nchi ya uchumi wa Kati.
 6. CARIFONIA

  Wazungu hawajawahi kutuacha salama

  Habari zenu jamani, bila kuwachosha sana ngoja niende moja kwa moja kwenye hoja yangu. Kuna msemo mmoja wa kiswahili usemao usimtukane mamba kabla ujavuka mto, kitu ninachokiona kwa sasa ni kama hawa jamaa walienda maabara kui-upgrade hii kitu inaitwa corona. Afrika tulijipiga kifua sana...
 7. CARIFONIA

  We can't eat GDP: The curse of an economy that's rich on paper

  Muda mwingi tumekua tunatumia kuawambia hawa ndugu zetu wakenya kua ukubwa wa uchumi wao upo kwenye makaratasi, lakini wengi wao wanajifanya kichwa ngumu na kuja na hoja zao za kupinga ukweli kua uchumi wa kenya ukija kwenye takwimu jamaa wana uchumi mkubwa lakini ukija kwenye uhalisia uchumi wa...
 8. CARIFONIA

  Tanzania has what it takes to be ‘African economic giant’

  Haya mambo wala hayaitaji haraka, leo hata wahandishi kutoka nchi za mabeberu wameanza kutambua nguvu zetu kama Tanzania. Nadhani kitu kenya wanachokiogopa hapa duniani ni Tanzania, yahani kenya hua anajua alikalia nafasi ambayo si yake na mwenyenayo anaitaka sasa. Nadhani sasa tunahanza...
 9. CARIFONIA

  Kwa wale wenzangu tulio na ndoto ya kua mabilionaire kwa kufanya biashara tukutane hapa kwa ushauri

  Jamani kwanza napenda kuwasalimu wote na matumaini yangu ni kua nyote mu wazima. Bila kuwachosha nataka nijikite kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ni kwamba tangu nikiwa mdogo nimekua na ndoto ya kuja kua bilionea japo maisha yangu nimepitia changamoto nyingi na mpaka...
 10. CARIFONIA

  Kenya yashika namba tatu miongoni mwa nchi zenye madeni makubwa kutoka China kwa nchi za Bara la Africa

  Kenya inashikilia namba ya tatu miongoni mwa nchi zenye madeni makubwa zinazodaiwa na china inakadiliwa kenya inadaiwa kama $7.9 bilion ela ambazo serikali ya kenya ilizikopa ili kusaidia miradi mbalimbali ya kiuchumi nchini kenya, hata hivyo kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi wa...
 11. CARIFONIA

  Raia kutoka nchi za Magharibi wakiri kuwa Tanzania ni mahali salama baada ya kufanikiwa kudhibiti Covid-19

  Watalii waliofika Tanzania kutoka nchi za mabeberu wamekili kua Tanzania ni mahali salama, kwani wamejionea wenyewe kwa macho yao kua Tanzania inshu ya corona ni kama imekwisha kabisa, watlii hao walisema watakwenda kutangaza sifa za Tz na maajabu waliojionea pindi wataporudi kwao. Swali langu...
 12. CARIFONIA

  Tanzania yazindua meli kubwa ya abiria katika ukanda huu wa Afrika

  Hatimaye Tanzania imefanya uzinduzi wa meli kubwa ya abiria Mv Mwanza hapa kazi tu, uzinduzi huu unarejesha safari za meli kati ya Mwanza na Bukoba baada ya miaka kadhaa kupita kufuatia ajali ya MV Bukoba kutokea, meli hii inasemekana ndio meli kubwa ya abiria Kusini mwa Jangwa la Sahara
 13. CARIFONIA

  Tanzania inaweza kuwa ndiyo nchi inayoongoza kwa kuboresha miundobinu ya masoko na vituo vya mabasi ya abiria kwa nchi za East Africa

  Kwa juhudi zilizochukuliwa na serikali ya TZ katika uboreshaji wa miundombinu ya masoko na vituo vya mabasi ya abiria na thubutu kusema kwa sasa TZ ndio inaongoza kwa kua na miundombinu bora katika nyanja za masoko na vituo vya mabasi ya abiria kwa nchi za East Africa. Ukizingatia project hizi...
 14. CARIFONIA

  Jinsi Wakenya walivyoiuza nchi yao kwa mabeberu

  Inasikitisha sana kuona taifa kama Kenya limekua mstari wa mbele kuwatukuza mabeberu, kiasi kwamba wameamua kuikabidhi nchi yao kwa mabeberu yanayoshirikiana na wakenya wachache kuila na kuitafuna nchi, huku majorty ya Wakenya wakihishi kama wapo jehanamu ndani ya nchi yao wenyewe. Sasa sahau...
 15. CARIFONIA

  Mataifa yanayoongoza kwa kuchukiana zaidi

  Leo naomba tuangalie mataifa yanayohongoza kwa kuchukiana zaidi yahani kila taifa linajiona bora na babe zaidi ya mwenzake Nitahanza na listi yangu kisha wewe mdau utakuja na yako pia 1. South korea vs North Korea Hawa jamaa licha ya kua ni ndugu lakini wanachukiana kinoma, na chanzo kikubwa...
 16. CARIFONIA

  Nchi za Kiafrika zaiona Tanzania kama mtetezi wao dhidi ya mabeberu

  Baada kifo cha aliyekuwa kiongozi wa Libya, Rais Gadafi na badae kuondolewa madarakani kwa aliyekua Rais wa Zimbabwe hayati Robert Mugabe ambaye sasa hivi hayupo tena duniani, ni wazi kuwa Africa ilipata pigo kubwa sana. Rais Robert Mugabe na mwenzake Gadafi ndio viongozi waliokua wamebakia...
 17. CARIFONIA

  Jinsi Kenya walivyojipanga kuichafua Tanzania

  Kwa muda mrefu Wakenya wamekuwa wakitumia mwanya wa upole na ukarimu wa Tanzania kuwazunguka katika mambo mengi sana, ukizingatia Tanzania walikua wanaichukulia kenya kama taifa jirani na ndugu lakini kumbe wenzao walitumia mwanya huo kuwazunguka katika mambo mengi hasa ya kiuchumi. Kama...
 18. CARIFONIA

  Things you don't know about Dodoma, the capital city of Tanzania

  Dodoma ndio mji mkuu wenye chuo kikubwa kuliko vyuo vyote vilivyopo kusini mwa jangwa la sahara, UDOM au ukipenda kiite Chuo Kikuu cha Dodoma. Dodoma ndio mji mkuu wenye bunge nzuri na kubwa kuliko mabunge yote ya nchi za East Africa. Dodoma ndio mji mkuu wenye ikulu yenye eneo kubwa, na...
 19. CARIFONIA

  Kweli kama unajua hauitaji kiki binafsi namkubali sana 2ngaraza

  Kweli bongo land tumejaliwa kua na vipaji vingi sana, na watu wanajua kweli, ndio sababu hata mkuu wa nchi leo wakati anavunja bunge amewapongeza sana wasanii wetu kwa kupeperusha bendera vyema ya nchi hii. Nikija kwenye mada yangu, yahani kuna huyu mwamba anajiita 2ngaraza binafsi namkubali...
 20. CARIFONIA

  Natafuta mfanyakazi wa ndani

  Habari zenu jamani, binafsi natafuta msaidizi wa kufanya kazi za ndani, vigezo, awe mwaminifu na mwenyekujituma, nipo Goba DSM kituo rastanza, mshahara ni makubaliano. Mwnye kuitaji au kama unafahamu mtu anaitaji kufanya kazi piga simu 0715621701
Top Bottom