Naomba kujua tofauti za kitaalamu ya hizi course katika Teaching content na kitu ambacho mtu anakua anaandaliwa kuwa(speciality).
Bachelor of Science Education
Bachelor of science with Education
Bachelor of Science in Education
Bachelor of science General
Bachelor of science in Computer and...
Habari wana JF!
Kuna hii Protocol wameanzisha CRDB kukutaka usajili Card yako na VBV/Secured Code,awali mimi nilikua na Master Card ambayo nafikiri nilisajili 2014 na ulikua unajaza Form tu then Card inakua enabled kufanya manunuzi mtandaoni bila hii process ya Verifivied By Visa(VBV)/Master...
Hellow wakuu!
Nimekwama mahala kidogo kuna kitu najaribu kujifunza katika serialPort programming na GSM hacking!
I can arleady communicate na Modem vizuri tu na naweza ku send some AT Commands nakuzi Display output zake kwenye RichtextBox au Listbox au something similar.
Language nayojifunzia...
Nimepewa Line leo na niko naijaribu hapa imekuja na kifurushi cha bure ila sijaelewa kama 5times faster than normal 3G speed ndo hizi au hapa nilipo majanga...Speed zao nazilinganisha na Airtel 3G maana 2MB/sec hata Airtel kipindi wana vifurushi vyao vile sawa na bure nilikua mtumiaji na speed...
Hawa jamaa hamna kitu kabisa ndo maana vifurushi vyao wanauza bei sawa na Bure eti 1GB unapata kwa 3,500/=
Sijapendezwa na speed yao kabisa yaani transfer rate ni 900KB/sec
Sijui maeneo yote Speed yao itakua kimeo hivi au ni kwa hapa Upanga Magharibi ninapofanyia testing?
Duuh hapa hamna...
Hi wadau wa haya mambo ya Webhosting na Domain registration
Nimekua very anxious siku nyingi kujua walau "abc" za web hosting and domain registration sana sana ku host multiple websites mfano 20 websites kwa walau server hata ya 10$/month kwa server moja, namshukuru mdau mkongwe wa hapa JF...
Hi
Naona windows 10 Upgrade iko available leo nimetumiwa Upgrade notice ila ni kama sielewi elewi vizuri nimefata hiyo Upgrade notice nimeambiwa natakiwa nifanye reservation.
Kama unatumia windows 7 au 8 genuine hii notification ipo kwenye taskbar kulia kwako
Niliposoma FAQ katika website ya...
Kwa Hii error ya IDM nahisi wame fix uchakachuzi wa aina yoyote nime download all latest crack files za torrent lakini bila bila
Nimefuta previous keys kwenye Registry lakini bado bila bila,mwenye solution naomba msaada hapa nimekwama
Haya sasa wale wakongwe wa TunnelGuru na wale wanaotaka kujiunga na Internet bila kikomo nawaleteeni hii kitu kipya ambacho nime target zile backsides zote za TunnelGuru na kuziondoa kuhakikisha watu wana enjoy....
Kwa wale wataoikubali hii kitu nichekini Inbox ili niwaunge ni unlimited...
Naomba msaada guruz katika hili jukwaa
Nime root simu ya Samsung Grand prime kupitia Odin 3.07
Sasa Game nikiwasha tu lazima ipitie recovery mode afu nikichagua "Reboot now" ndo inawaka kawaida na kila kitu kiko poa ila tatizo ni hiyo kupitia Recovery mode wakati wa kuwaka
"Android system...
Hi
Nimekomaa kwa kipindi cha miezi miwili lakini laptop yangu imeshindwa kuwa ina detecting Huawei Modems mpaka labda ni Uninstall Dahboard za Huawei afu ni re-install upya lkn niki disconnect bado shida itabaki pale pale PC haito detect Hiyo Modem labda mpaka restart laptop kama mara 5 hivi ndo...
Introduction:
Baada ya kuona Monopoly kubwa ya Vingamuzi vya Kichina nimeamua kwenda moja kwa moja Dubai kuwaletea kitu chenye Quality na ambacho hautojuta kwa hela utakayoitoa.
N:B Soma kwa makini hivi sio vile vingamuzi vya kichina vinavyotumia line
Receiver hii inaitwa HD premium 11000...
Hii Modem imenishinda kuichakachua kwa kutumia switchprojectModem ile alio Post gkiwango
Adress yake iko unique http://192.168.8.1/html/home.html tofauti na zile za Vodacom Hilink
Pia nikiweka Line ambayo siya Airtel naombwa Unlock codes lakini naambiwa attempts ziko 0 wakati ni mpya...
Wale mliokua mnalilia Satellite internet ya madishi naona waarabu wa Dubai wametuletea hii kitu
Kama kuna aliewatumia tunaomba feedback ila vifurushi vyao sijavipenda maana Unlimited zao zimebana speed kuanzia Home users mpaka Business users
Infinity Africa
Wakuu msaada nina kingamuzi kina record .TSV file format ila nimekosa media player ya kuicheza au kui convert kuja format kama .mp4,.flv etc
Nime attach sample naomba msaada
HOW TO GET STARTED
1.First and fore most if your remote is full functional You have to enable "Remote control" in your QSAT from OFF to ON and if by any means yours is deceased or some buttons are no more working then you will have to borrow a fully functional remote to enable this feature...
Kama una receiver ya Dreambox nataka ya kununua ikiwa na accessories zake zile muhimu...
Napendelea Original ila hata clone itakua poa tu
Na ni zile model za HD ndo nataka e.gDM500HD,DM800HD na DM7200HD
Contacts: +255753932250
Habari wana JF,
Kidogo nimekua nyuma kuhusu maswala mazima ya Pay TV na technolojia wanazotumika kufunga channel zao na kumwezesha tu yule aliyelipia kuweza kuzifungua
Huu uzi unaweza usilete maana lakini mwenye jicho la upevu atajua kwa nini napenda tujadili hili swala maana kwa research...
Kama una decoder ya DSTV used ikiwa na Smart card yake naitafuta ya kununua
N:B Uwe umeinunua kabla ya mwaka 2010
Na kama unazo decoder nyingine e.g Ting,Continental,Azam,zuku,startimes ya dish hauitaji tena za PayTV ni PM bei yako
Kipaumbele kipo kwa ile ya DSTV