Kiukweli chui yupo hata kwa boss wake japo boss anabebwa na jina ila dogo yupo juu sana baadhi ya nyimbo zake Soweto au mitaa ya maloboti pale chini natare zinapigwa kinoma sana
Hapana usitumie nafasi yako kwenye office ya mtu atafanya negative soon ugeukapo na mzee tunaweza mpoteza wewe jaribu kumwita huyo muhudumu mwambie akipona mzee nitakupa kiwanja changu cha mbezi atafanya kwa upendo na akipona mzee mwite huyu mwana Mama mwambie hata Mimi mtumishi wa Bibi na beans...