Search results

 1. MAGALLAH R

  Kumbe yule jamaa iliyetembea uchi Morogoro na familia yake ni mwana MMU mwenzetu!

  Habari za uhakika kwa 100% zimeonesha yule jamaa aliyeonekana akitembea uchi na familia yake akiwa na mkwe wake Morogoro ni member mwenzetu wa MMU. Chanzo cha taarifa hii ni yeye mwenyewe alipokuwa anahojiwa na chombo kimoja cha habari na kudai kwamba anajisikia vibaya sana kwani rafiki zake wa...
 2. MAGALLAH R

  Humphrey Polepole njoo umalize huu mchezo wa kitoto (Hoja za CAG, Zitto na Mbowe)

  Humphrey Polepole mimi nakuambia ukweli kabisa kwamba unahitajika uwanjani kuja kumalizana na hoja za CAG, Zitto Kabwe na Freeman Mbowe. Mbona mchezo huu kwako ni wakitoto tu na kwako unahitaji press conference moja tu ya dakika 45 kumzima CAG, Zitto na Mbowe. Mbona kupindi cha Magufuli...
 3. MAGALLAH R

  Wanahabari fanyeni haya haraka sana

  Kutokana na ripoti ya CAG inayoonesha upigaji wa hali ya juu katika serikali ya awamu ya tano chini ya Mwendazake basi haraka sana fanyeni yafuatayo: i/ Acheni kuandaa makala na vipindi vinavyosifu mambo aliyofanya Mwendazake. Umeshaambiwa ATCL imeingiza hasara ya 153bilioni kwa miaka mitano...
 4. MAGALLAH R

  Huu ndiyo ushauri wangu kwa Mkurugenzi Mstaafu wa TPDC ndugu Thobias Mwesiga Richard

  Ndugu Mkurugenzi Mstaafu wa TPDC ndugu Thobias Mwesiga nikupe hongera na pongezi za kustaafu cheo chako ukiwa na umri mdogo sana wa miaka 34 hivi. Ila ningependa kukupa ushauri kidogo ya kwamba kwa kipindi hiki cha ustaafu wako kaa mbali na mitandao ya kijamii kwani itakuchanganya sana. Wabongo...
 5. MAGALLAH R

  Uwepo wa wakati uliopita na wakati ujao katika ndoto zetu

  Kitendo cha kuwa nimelala usiku mmoja na nikawa naota ndoto na ndani ya ndoto hiyo nikawa nazungumzia matendo niliyofanya miaka mingi iliyopita huko huko ndotoni wakati matendo hayo sijawahi kuyafanya duniani. Kitendo hiki huwa kinanifikilisha sana. Na baada ya kushituka kutoka ndotoni huwa...
 6. MAGALLAH R

  Kwanini Mungu aliamua kutumia njia ya vitisho ili kujenga imani ya uwepo wake?

  Kwa 100% binadamu wote wanaoamini kuwa Mungu yupo ni wale ambao nafsi zao zimejaa hofu na uwoga kutokana na vitisho mbalimbali ambavyo Mungu ameviweka juu yao. Hata wewe unayesoma uzi huu muda huu unaamini Mungu yupo baada ya kuwa umetishwa sana na ukaingia hofu moyoni mwako na umeamua kuwa...
 7. MAGALLAH R

  Hizi ndizo faida kuntu za kuwepo shetani na ibilisi duniani

  Shetani au ibilisi kama kweli yupo duniani na sio dhana tu ya wajanja wa dunia ili wapige hela basi atakuwa amebeba faida kuntu kuliko hasara zake. Moja ya faida kuntu za kuwepo shetani duniani ni kama ifuatavyo:- (i) KUSHUSHWA NA KUANDIKWA VITABU VITAKATIFU Mungu aliamua kushusha Quran na...
 8. MAGALLAH R

  Huku ndiko kukaripia Polisi anakomaanisha IGP Sirro au kuna lingine?

  Tundu Lissu huwa anawaambia polisi namna hii:- i/ "Nyie polisi nyie najua mnamiaka mitano sasa hamjaongezewa mishahara hivyo mna maisha magumu sana. Mimi nikiapishwa kuwa Rais wote nitawaongezea mishahara" ii/ "nyie polisi nyie tuoneeni tu ila kesho mkistaafu na mkanyimwa pensheni yenu ndiyo...
 9. MAGALLAH R

  Nguvu na uzito huu wa damu unasababishwa na nini?

  Hodi wakuu wataalam wa mambo. Leo ninahitaji mnisaidie jambo moja kuhusu nguvu iliyopo ndani ya damu inasababishwa na nini? Damu kimekuwa ni kitu ambacho kinaaminika kubeba maajabu na nguvu za ajabu sana za kutenda mambo. Mifano yake ni kwamba:- i/ Damu ya Yesu. Kuna watu wengi sana...
 10. MAGALLAH R

  Lissu usirudi kwanza mpaka msiba uishe na ni busara pia mkutano mkuu wa CHADEMA uhailishwe

  CHADEMA walipanga kufanya matukio makubwa sana ndani ya mwezi huu wa saba. i/ Ujio wa Tundu Lissu siku ya Jumatatu(27/07/2020) kama sijakosea siku. ii/ Mkutano mkuu wa CHADEMA wa tarehe 29/07/2020 kama sijakosea siku ili kumchagua mgombea wa urais atakaye chuana na Magufuli. Sasa hili matukio...
 11. MAGALLAH R

  James Mbatia: UKAWA ilituachia mzigo wa kulipa deni la Tsh. milioni 91 huku wakijua tuna mbunge mmoja tu

  Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia akizungumza katika kipindi cha CLOUDS 360 cha Clouds TV amesema kuwa UKAWA waliwafanyia uhuni sana NCCR-MAGEUZI kwa kuwalipisha deni la milioni 91 huku wakijua kabisa NCCR-Mageuzi wana mbunge mmoja tu. Pia James Mbatia amekana kuwa chama chake sio CCM B...
 12. MAGALLAH R

  Dkt. Hassan Abbas: Matukio mawili tu yaliyotokea Dodoma mnatangaza Dodoma sio salama? Hivi mmefika New york na London kweli nyinyi?

  Akizungumza kwa njia ya simu kupitia Global TV msemaji wa serikali,Dr. Abbas amewashangaa wote wanàodai kuwa Dodoma sio salama kisa eti kumetokea vitukio viwili Tena vya kawaida tu. Amesema watu hawa wanaosema Dodoma sio sehemu salama hawajawahi kufika London na New York na kujionea matukio...
 13. MAGALLAH R

  Paul Makonda: Wananchi walioikimbia Dar warudi, Mauti hauikimbii. Siku ya Jumapili, kila mtu afanye fujo awezavyo na kupiga kelele na vigeregere!

  Akiwa katika ujenzi wa daraja la Tanzanite, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewataka wakazi wake kufanya fujo za hali ya juu ikiwepo kupiga kelele kwa nguvu zote na watu kwenda beach kama ishara ya kumpongeza Rais kwa kuishinda COVID 19. Pia Makonda amewataka watu wote waliokimbià...
 14. MAGALLAH R

  David Silinde: Mimi sifukuzwi uanachama kihuni lazima nipewe barua rasmi ya kufukuzwa CHADEMA

  Akizungumza kwa njia ya simu leo katika Global online TV, David Silinde amesema mpaka sasa bado hajapokea barua ya kufukuzwa uanachama kutoka CHADEMA hivyo yeye bado ni mbunge kisheria. Pia Silinde amesema akishapewa barua hiyo ya kufukuzwa uanachama ameahidi kuitembeza na kuiweka wazi barua...
 15. MAGALLAH R

  Mwita Waitara: Wabunge wote wa CHADEMA wanajua kuwa Mbowe ni muhuni ndiyo maana wamegoma kuchanga laki saba kila mmoja

  Akiongea live kupitia Millard Ayo online TV leo jioni, Naibu waziri wa TAMISEMI, Mwita Waitara amesema kuwa Mbowe ni muhuni anaendesha chama kihuni sana. Mwita amesema kuwa tukio la Mbowe kuwaambia wabunge wa CHADEMA wasiingie bungeni alilifanya kihuni bila ya kuitisha kikao chochote na...
 16. MAGALLAH R

  Asikuambie mtu imeniuma sana.

  Siwezi hata kuzungumza mengi. Ni kwamba leo katika harakati za kugegedana na mpenzi wangu mara hamadi nikakuta maandishi katikati ya mapaja yake meupe na manene. Hayo maandishi yanasomeka hivi:- "Mshana mtu mbaya" Mbele ya maandishi hayo kuna mchoro wa kopa na ua jekundu. Daah nimeishiwa...
 17. MAGALLAH R

  Kipindi hiki cha janga la COVID19 waandishi wa habari Tanzania mmeonesha udhaifu mkubwa sana

  Katika kipindi cha janga hili la COVID19 waandishi wa habari wa Tanzania wanaonesha udhaifu mkubwa sana juu ya kupapambana na hili janga la COVID19. Waandishi wa habari wa Kibongo wamekuwa ni watu wa kukurupuka sana kipindi hiki cha COVID19. Udhaifu wao unajionesha kwenye mambo mbalimbali...
 18. MAGALLAH R

  Ummy Mwalimu hivi unajua kuwa ile namba mliyotoa ya 199 kuhusu elimu juu ya COVID19 haipokelewi?

  Ile namba ya 199 iliyotolewa na wizara ya Afya juu ya COVID19 haipokelewi hata upige kutwa nzima. Jamaa wanaicheki tu. Sasa kama simu haipokelewi namba ilitolewa ya nini?
 19. MAGALLAH R

  Wakuu hali ni mbaya sana nisaidieni tafadhali.

  Mke wangu anaitwa Yusrat Abdulkarim Hussein ni mzaliwa wa Singida ana miaka 30 kwa hapa Dar tulikuwa tunaishi Tabata. Siku ya tarehe 04-03-2020 alinitumia sms fupi kuwa amelazimishwa kwenda Karantini hivyo hatorudi nyumbani. Toka siku hiyo kwenye simu hapatikani na hakuna ndugu yoyote anayejua...
 20. MAGALLAH R

  Tabia za kiboya za wasanii wa bongo.

  Bongo hapa tunawasanii wengi sana wanaofanya vizuri nje na ndani ya Bongo. Pamoja na mazuri yao wasanii hao wengi wao huwa na Gambia za ajabu ajabu sana. Mfano kila msanii na yake. 1. NIKKI WAPILI. Huyu hujionaga yeye ndiye msanii msomi pekee dunia nzima hakuna. Kwenye kila media akienda...
Top Bottom