Swali la kwanza limekosewa
http://www.math.ubc.ca/~israel/m215/roo/
Jibu lake liko kwenye attachment hiyo hapo chini. Ni jibu na si njia ya kufikia jibu hilo. Aliyefanya swali hili atakuwa alikosea kwenye stage ipi?
NB: Kilichokosewa hapa ni jibu, yaani swali liko sahihi, ila jibu lake ndiyo...
Nimekutana na hii calculus hapa na nikagundua kuwa kwenye maelezo yake kuna matataizo. Je kuna anayeweza kujua kuna tatizo gani?
Calculus yenyewe hii hapa kwenye hii link:
http://www.maths.gla.ac.uk/~cc/2x/2005_2xnotes/2x_intfact.pdf
Tarehe hii inasomeka sawa kutoka kotekote, yaani kutoka kulia kwenda kushoto, na kutoka kushoto kwenda kulia. Huwa ni adimu sana kwa tarehe za namna hii kujitokeza
Site yenyewe hii hapa:
http://watumishiportal.utumishi.go.tz/
Ni website ambayo nilijisajili na hatimaye nikawa nina-print slalary slips zangu kuanzia March 2017
Salary slip ya kwanza niliyopata kutoka kwenye website hii ni ya March 2017
Niliendelea kupata Salary slip hizi hadi December 2018...
Thread nyingi zinazoanzishwa humu JF kawaida huwa zinachukua muundo wa aina hii:
Kuanzia page ya kwanza mpaka ya tano, watu wanakuwa wanajadili mada husika kwa umakini unaotakiwa na wnakuwa wako ndani ya mada muda
Kuanzia page ya sita mpaka ya kumi linaanza kujitokeza kundi dogo la watoto na...
Kwa wale wote wanaohitaji kupanga Hostel karibu au jirani na maeneo ya UDSM, ARU, Chuo cha TAKWIMU mnakaribishwa. Hostel ipo Changanyikeni. Ina fensi, maji pia na umeme. Uwanja una peving na vyumba vyote vina Ceiling Board. Baadhi ya vyumba ni self contained na vina tiles. Vyumba vipo bei...
ALTERNATIVE METHOD FOR SOLVING THIS CALCULUS PROBLEM
Dears calculators (by the way, what do you call the people who calculate?)
The method used in solving this calculus problem is superb but somehow the most difficult one!
Please enjoy your reading with this somehow simpler method of solving...
Matukio ya Asili (Natural Disasters) kawaida huwa hayana pattern
Katika hali ya KAWAIDA, matukio ya asili huwa hayana pattern
Hii haimaanishi kuwa hayatakiwi kuwa na pattern hapana, yanaweza kuwa na pattern ILA NI KATIKA HALI ISIYO YA KAWAIDA TU; the unexpected always occurs
Na ikishakuwa ni...
Kwa wanasaikolojia na wengine wote ambao mnapenda kudadisi mambo. Kwa kawaida ili mtu aweze kufikiria, lazima tumie lugha, na lazima iwe ni lugha anayoijua, kwa sababu kwa maana nyingine, kufikiria ni sawa na kuongea mwenyewe kimyakimya, na mtu hawezi kuongea kwa kutumia lugha ambayo haijui! Kwa...
Here below is a link to the problem I'm concerened about. A best approach to its solution, has been provided by math24 website staff. I really like their approach!
However, I also have tried to use a different approach, to arrive at the same solution. Please see the PDF attachment below (note...
(SEE SWAHILI VERSION BELOW: SOMA CHAPISHO LA KISWAHILI CHINI)
Big earthquakes might make sea level rise worse. Here's how.
The Samoan islands are sinking faster than expected due to warming alone, and a pair of huge quakes is likely to blame.
Source: Big earthquakes might make sea level...
Wanabodi:
Niwaletee mkasa huu wa kipekee unahusiana na pilika pilika za kujikinga na COVID-19 umemtokea jamaa yangu Jumapili ya tarehe 19/04/2020 akiwa Kanisani kwake
Muhimu: Uzi huu unawafaa sana hasa wale ambao tu huwa wana muda na wanapenda kuchambua mambo kwa kina, vinginevyio kama wewe...
7 Mysterious Discoveries That Left Even Archaeologists Baffled
Source: ≡ 7 Mysterious Discoveries That Left Even Archaeologists Baffled ➤ Brain Berries
Archaeologists are not always faced with ordinary discoveries. Sometimes, they stumble upon things that are quite perplexing and baffling...
Benki ya Dunia (WB) hatimaye jana ilifikia muafaka na Serikali kutoa mkopo wa Dola500 milioni (Sh1.2 trilioni) kwa ajili ya kuboresha elimu ya sekondari nchini Tanzania.
Benki ya Dunia ilichelewa kutoa fedha hizo kufuatia maombi ya baadhi ya wanasiasa wa upinzani na asasi za kiraia waliokuwa...
The Voynich Code - The Worlds Most Mysterious Manuscript - The Secrets of Nature
Ni kitendawili cha muda wa taktiban miaka 600
Mnamo 1912, muuzaji wa mashirika ya kale aitwae Wilfrid Voynich aligundua nakala ya kushangaza. Haikuwa imeangaziwa au imeangaziwa vizuri, kama maandishi...