Search results

 1. MTAtiro grandson

  Mafundi decoder naomba tukutane hapa

  Kwa anaejua jinsi ya kukifanya king'amuzi cha startime kionyeshe channel zote free atupe maujuzi maana huku mtaani kwetu kuna majamaa wanapita nyumba hadi nyumba kufanya iyo kitu kwa buku teni
 2. MTAtiro grandson

  Hatma ya maisha yako unayo mwenyewe

  Twende pamoja na Mimi Je, ulishawahi kujiuliza kuwa kwanini kila mtoto mdogo anayezaliwa anakuwa amekunja ngumi? Hii ni kwasasabu HATIMA yake anayo mwenyewe. Katika kulitambua hili Kuna Mambo ya msingi ya kufahamu: 1. Unaweza kukutana na Mambo magumu sana sana na ya kukatisha tamaa anayeweza...
 3. MTAtiro grandson

  Tigo asanteni sana

  Naona Tigo wamerekebisha vifurushi vyao
 4. MTAtiro grandson

  Jinsi ya kuzuia computer ya mtu isiingie kwenye internet

  Fungua Notepad kisha andika au copy and paste command ifuatayo:- echo off Ipconfig/release Save as Tzhacker.bat unaweza ukasave kwa kutumia jina lolote ila cha muhimu ni .bat, (Something.bat) Kisha mtumie mtu unaetaka kumuharibia internet ya computer yake (your victim), pindi atakapo lifungua...
 5. MTAtiro grandson

  Jinsi ya ku-install window 7 kwenye simu janja (smartphone)

  matumaini yangu ni mzima wa afya.. Leo ntaelekeza ni namna gani unaweza ku-install window 7 kwenye simu yako ya mkononi, najua itakushangaza sana ila nirahisi mno. kinachoitajika ni umakini wako tu katika kufuata hatua zifuatazo: 1. Download app hii Android windows, unaweza ukatumia browser...
 6. MTAtiro grandson

  Fahamu jinsi ya kubadili Imei ya simu bila ku-root simu yako

  Kubadili IMEI ya simu ni huduma unayoweza kuifanya kwenye simu ambazo ni rooted na ambazo hazija fanyiwa rooting. Leo nitawaonyesha jinsi ya kubadili IMEI kwenye simu ambazo hazija fanyiwa root, ila inaweza kuleta madhara pindi utakapo kosea hatua ninazo onyesha hapa,so be careful. Jinsi ya...
 7. MTAtiro grandson

  Niulize chochote kuhusu Wi-Fi

  Husika na mada tajwa hapo juu nataka mwenye swali lolote kuhusu wi-fi niulize tu nikupe majibu chap kwa ambao hamjui chochote
 8. MTAtiro grandson

  Msaada jaman dalili za ukimwi huanza kuonekana baada ya mda gani baada ya kukutana kimwili na mtu mwenye moto

  Husika na mada tajwa hapo juu jaman nahitaj ufafanuz wa dalili za ukimwi
 9. MTAtiro grandson

  Msaada ni App gani nzuri ya Android ya kutengenezea ID card

  Naomba msaada jaman kwa mtu anaejua App ya kutengenezea vitambulisho kwenye simu.
 10. MTAtiro grandson

  Maswali ya kujiuliza kabla hujafungua shauri (case) la madai

  Kheri ya mwaka mpya na mafanikio mema ndugu zangu watanzania, kwa kuanza mwaka huu nimeona niwaletee makala hii ya shauri la MADAI maana mashauri ya MADAI ni moja ya mashauri yanayoongoza kuwa na mlundikano wa case nyingi mahakamani. MADAI ni nini? Shauri la madai ni shauri linalofunguliwa na...
 11. MTAtiro grandson

  Zijue haki za Mpangaji

  Katika jamii yetu ya Tanzania mpaka Sasa inakadiriwa watu wengine waishio mijini wanaishi katika nyumba za kupanga ,Hilo moja lkn kumewa na migogoro mingi Kati ya wamiliki (wapangishaji) na wapangaji lkn imeonekana wapangaji wengi wakidhurumiwa na kunyanyasika na kutokana na dhuruma za wenye...
 12. MTAtiro grandson

  Je, unafahamu uwezo wa 5G? Sifa zake? Makala hii itakusaidia kuweza kuelewa kwa undani teknolojia ya 5G

  Je, zakunafahamu uwezo wa 5G? Sifae n.k? Makala hii itakusaidia kuweza kuelewa kwa undani teknolojia ya 5G. Hii ni moja ya teknolojia muhimu na kubwa katika sekta ya mawasiliano katika mwaka huu na miaka inayoendelea. 5G ni moja ya teknolojia muhimu kwa maendeleo ya sekta nyingi kwa sasa. Ni...
 13. MTAtiro grandson

  Uzuri wa mwanamke ni kuwa mfupi sehemu hizi

  1 Ulimi Wake 2 Na Mikono Yake 3 Na Miguu Yake 4 Na Macho Yake [emoji257] MAANA YAKE 1 ULIMI WAKE UWE MFUPI Maana Yake Asiwe Muongeaji Sana Na Kubwabwaja Maneno Ovyo Ovyo Kutoongea Sana Ni Sifa Ya Mwanamke Mzuri 2 MIKONO YAKE IWE MIFUPI Yaani Hachukui Kile Ambacho Yuajua Kwamba Mumewe...
 14. MTAtiro grandson

  Ahadi ya kweli

  Wapenzi wawili walipendana sana tangu wakiwa shuleni na waliahidiana siku moja waje kuoana na kujenga familia Baada ya kuhitimu masomo yao kijana alipata nafasi ya kwenda kusoma nje ya nchi. Kabla hajaondoka kijana alisema "sijajaliwa kuwa na maneno mazuri sana ila ninachoweza kusema ni kwamba...
 15. MTAtiro grandson

  Ujumbe wenye mafunzo makubwa. Soma yaweza kuwa mlango wa mafanikio yako

  Kijana mmoja alitaka kumuoa mke wake ila alipingwa vikali na ndg wa familia wakisema kwamba huyo si mke wa kuoa, lakini mwanaume yule alisimamia misimamo wake ule ule na kusema kwamba" Mungu ameniambia kwamba huyu ndo changuo langu, huyu ndo msaada wangu na pia huyu ndo mke wangu, hivyo aliamua...
 16. MTAtiro grandson

  Ndoa na mapenzi

  Kuna tofauti kubwa sana kati ya ndoa na mapenzi, watu wengi wanadhani kwamba kumpenda mtu ama wote wawili kupendana kunatosha kabisa kuingia katika ndoa la hasha. Mapenzi ni hisia za ndani kabisa ya mtu kutokea kwa mtu mwingine wa jinsia tofauti na inaweza tokea ukapatwa na hisia hizo lakini...
 17. MTAtiro grandson

  Achana naye...

  Achana naye.. Unalala, haupati usingizi juu ya mtu ambae huenda amelala na mtu mwingine muda huu kwa amani tele. Achana naye. Unaangalia simu yako sasa hivi ukisubiri text ya mtu ambae unamuona yuko online anachati na mtu mwingine kwa furaha zote.. Achana nae! Unaweka status za huzuni WhatsApp...
 18. MTAtiro grandson

  Ebu tumjadili sarpong

  Mchezo wa leo mmeonaje KIWANGO cha sapong tumuache au tuendelee naee
 19. MTAtiro grandson

  Kiwango cha majukumu uliyonayo kinaamua kiwango cha baraka zinazofuatana na wewe

  KIWANGO CHA MAJUKUMU ULIYONAYO KINAAMUA KIWANGO CHA BARAKA ZINAZOFUATANA NA WEWE Labda nikurahisishie lugha: Huenda una ajira yako na unalalamika kwamba yasingalikuwa majukumu huenda ungekuwa mbali kimaendeleo. Labda unasomesha ndugu zako, labda unauguza kwa muda mrefu, labda wengi...
 20. MTAtiro grandson

  Kuna uhusiano gani kati ya Chato na Mwalimu Nyerere?

  Na Mwananzengo wa Chato. Tarehe 09 Januari, 1967 Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alifanya ziara Chato katika Mkoa wa West Lake. Wakati huo Chato ilikuwa katika Wilaya ya Biharamulo. Mwl. Nyerere alikwenda Chato kuzindua kinu cha...
Top Bottom