Search results

 1. Tajirimsomi

  Namtafutia mamdogo wangu Mume wa kumuoa kisiri bila yeye kujua

  habari ndugu zangu! Poleni kwa msiba wa Taifa Nina mamdogo yangu kipenzi umri unazidi kwenda yuko 39 anatamani sana kuzaa ikiwezekana hata ndo ila hakuna tumaini lolote. Nina uhakika yuko tayari kuwa na mtu yeyote atakayetokea kikubwa apate mtoto. Lengo la kuandika uzi huu ni kumpata kijana...
 2. Tajirimsomi

  Upweke unanitesa sio kawaida jamani

  Jamani mi mpweke sio kawaida sio kawaida sio kawaida namaanisha nateseka sana na upweke. Sielewi kwanini nashindwa kupata mpenzi wa kuniliwaza. Si ajitokeze binti yeyote anipende na mimi jamani. Natajitoa sadaka kwa mwanamke yeyote atakayejitokeza na kunipa moyo wake na hii naweka nadhiri kwa...
 3. Tajirimsomi

  Ahsante ndugu Alex msama kuwasaidia vijana ajira ila Kama nchi bado tuna tatizo kubwa la ajira tuwasaidie vijana.

  Mliopita viwanja vya leaders Leo mtakua mmeona mafuriko ya vijana walioudhuria interview ya bwana Alex Msama kwakweli Kama Taifa tujitathimini ajira ni tatizo Sana Sana Sana . Mliopata neema ya ajira na maisha shikilieni Sana icho mlichonacho hali ngumu
 4. Tajirimsomi

  Tunafunga cctv cameras na local area network kwa bei nafuu

  Sisi ni vijana Tunapambana na khali ya ukosefu wa ajira tumejiajiri kwenye hi industry . Karibuni tuwahudumie ili kuweka ulinzi katika nyumba zenu,shule,hospital ,maduka,bar ,club,restaurant ,hostel etc Namba zetu ni 0762676448 au 0716522965 Tupo dar es salaam tunasafiri pia mikoani
 5. Tajirimsomi

  Mliopata kazi maofisini mlipataje?

  Nimezunguka sana natafuta kazi nimekosa, nilianza na vogezo stahili kulingana na elimu yangu sijaweza fanikiwa mpaka kazi za kibarua nazo nakosa. Nikiangalia maofisini nawakuta vijana wakike na wakiume wa umri wangu wapo maofisini. Ndugu zangu nyinyi uwa mnapataje kazi?
 6. Tajirimsomi

  Mliopata kazi maofisini mlipataje?

  Nimezunguka sana natafuta kazi nimekosa,nilianza na vogezo stahili kulingana na elimu yangu sijaweza fanikiwa mpaka kazi zs kibarua nazo nakosa. Nikiangalia maofisini nawakuta vijana wakike na wakiume wa umri wangu wapo mofisini. Ndugu zangu nyinyi uwa mnapataje kazi?
 7. Tajirimsomi

  Alichokosema Leo padre aliyeendesha misa ya kumuaga msanii maarufu nchini Uganda Mosey Radio

  Padri aliyeendesha misa ya kumuaga marehemu #MowzeyRadioaitwae Katerega Kiibi jana kaendesha misa vizuri. Nilichopenda kutoka kwake aliongea ukweli wote bila kuficha kitu mbele ya kadamnasi. Alisema kuwa wasanii inabidi waache kutumia Vilevi vya aina yoyote, Waache kuishi maisha ya anasa...
 8. Tajirimsomi

  Swali fikirishi

  Ikitokea mahusiano yote yakavunjwa iwe ndoa,uchumba nk wakasema kila mtu achague anayemtaka je wewe utamchagua uliyenaye kwa sasa?
 9. Tajirimsomi

  Ukweli ni upi kuhusu bahari ya Hindi kusafiri?

  Tangu niko mdogo nimekuwa nikisikia kwamba maji ya bahari ya Hindi huwa yanasafiri kiasi kwamba mtu unaweza kuingia baharini kuchukua baadhi ya vito pasipo maji kuwepo. Kwa bahati mbaya sijawahi kuona kwa macho yangu hicho kitu. Naombeni wataalumu mnisaidie kujibu haya maswali; 1.Hili tukio...
 10. Tajirimsomi

  Huu ujumbe kanitumia mshana Jr kwa namba ngeni nimjibuje?

  Mjukuu Wangu chaula hujajambo ni mimi babu yako nimeludi kutoka kongo sasa yale mambo yetu yatakwenda vizuli naile ndagu niliyokupa inaonekana imekufa vizuli maana kilakunapokucha unaongeza magali ila munachoniuzi wewe nawenzako wakina mwendamwaseke munaniletea watu nawasaidia bule wanaenda...
 11. Tajirimsomi

  "Anga la washenzi Joana anaona kitu usiku"

  Ni miongoni mwa nyuzi zinatrendi sana ila sijabahatika kuufungua. Wajuzi nambieni kuna nini umo ndani?
 12. Tajirimsomi

  Nahitaji lyrics za wimbo wa shule wa tabora boys na school motto;

  Refer the heading above kuna project nafanya nahitaji hivyo vitu apo wale mliopitia hizo shule nisaidieni
 13. Tajirimsomi

  I miss you jovitha my birthday mate wa jf:

  Uyu mdada kapotea sana siku nyingi sijamwona jukwaani sijui uko alipo yupo katika khali gani we used to communicate out of jf but we didn't succeed to see each other live and direct. Popote ulipo nakumis sana jovitha.
 14. Tajirimsomi

  Mpenzi wangu anapenda sana kubet na lugha za kihuni kama mwanaume

  Nina mpenzi wangu tumedumu katika uhusiano kwa miezi kama miwili ila anachonishangaza ni addict wa kubet hadi nachanganyikiwa 24/7 yeye ni kubet kwenye simu yake amejaza app kama 7 za kubet bado anaenda uko nje kwenye ile mikeka ya premier. Hayuko romantic pamoja na kubarikiwa umbo na sura...
 15. Tajirimsomi

  Hivi ni kweli kuna ushirikina au laana katika mambo ya mapenz?

  Hivi ni kweli mtu unaweza kulogwa usipate mpenzi pamoja na uzuri au uwezo wa kifedha ulionao? Au kurogwa sehemu za uzazi kwa me/ke zisifanye kazi kiasi cha kuwapoteza wapenzi wako? Nimekutana na hivi visa ila siamini wenye uelewa kidogo tusaidieni. cc mshana jr
 16. Tajirimsomi

  Aya wataakamu wa magari njooni museme kitu hapa

  Iyo alama c ni ya kazi gani Source:fb Note:sio kwamba sijui ila nawachallenge
 17. Tajirimsomi

  Vyuuuuuuuuuuuuu...........a!!

 18. Tajirimsomi

  2017 has passed like a shadow

  Mwaka huu umepita kama kivuli aseee mwaka umekuwa mfupi Sana matukio kibao dah ahsante mungu nimeupita salama naamin mwaka kesho nitafanya mengi makubwa mungu atakayonibariki. Tar kama ya Leo mwakani nitaleta mlejesho.
 19. Tajirimsomi

  Msaada:Natokwa na usaha sehemu niliyofanyiwa operation ya appendix

  Salamu wana jukwaa mwaka 2013 nilifanyiwaga operation ya appendix sikuwai pata tatizo lolote kama navyosikiaga kwa wengine ila Leo nijeamka nina kama naisi maumivu nimejiangalia nikakuta kama uvimbe pembeni kubinya kidogo ukaanza kutoka usaha mdogo mdogo kama chunusi .Haiwezi kuwa na shida...
Top Bottom