Hiyo rate ya 5.6% uliyoisema hapa kwa ajili ya kuchukualia mkopo, haipo kwenye Benki yoyote ile hapa Tanzania, vinginevyo watu wangekuwa wanafanya biashara ya kuchukua mikopo kwenye mabenki ya kawaida halafu wanaenda kununua hati fungani za BOT ili wapate fada kutokana na mkopo pekee. Kawaida...
Kikwete alitoa hotuba nzuri kwa sababu alikuwa anamaanisha kufanya kile alichokuwa anaongea toka ndani ya roho yake. Hata hivyo, alivyoanza kazi akaja akagundua kuwa anapokuwa anatuambia twende kulia ili tuweze kufanya kile alichotka tukifanye, sisi tunakwenda kushoto, na aanaposema twende...
Aina hii ya wezi huwa wanaitwa "amateur thieves". Hawa wanaweza kuingia ndani nyumbani kwako halafu wakaiba kiatu kimoja cha mguu wa kushoto, wakakuachia kingine kile cha mguu wa kulia. Wao kuiba ni aina ya mchezo fulani wa burudani kama vile mtu kucheza mpira au draft
I guess your list was supposed to include Tokyo (Japan) instead of Osaka, and I do not think it should have included a city like Copenhagen (Denmark). Anyway on just a simple note, I myself have never been to Japan
This time ikitokea tena watu wakaanza kufanya upumbavu wa namna hii, kwa hakika watakuwa wanalipigia Jeshi, na si kwamba watakuwa wanalibip, hapana. Watakuwa wanalipigia Jeshi na safari hii litaipokea simu hiyo. Tuache kuendelea kufanya ujinga kwenye mambo ya msingi yanayohusu nchi
Angalau basi uwe hata Afisa Muambata wa ngazi ya juu kwenye Wizara husika uliye na access ya kufikisha mawazo yako moja kwa moja kwa mdomo, kwa wanasiasa wanaohusika
Angalau nusu ya hao million 40 ni uhakika kuwa 500 haiwezi kuwa na madhara kwao. Hata nusu tu ya watu hawa inatosha kabisa kwa wazo hili la Salary Slip kuwa implemented. Kumbuka pia kuna watu wengine wenye ukwasi wanaoweza wakawa wanachangia mfuko huu kwa hiari, wengine wana uwezo wa kutoa hata...
Salary Slip
Your idea is superb! Yaani kuna watu wengine hata hawana uwezo wa kugharmia matibabu. Ukiangalia kipindi cha Mimi na Tanzania kila wiki J4 kinachoendeshwa na Hoyce Temu ITV, utasikitika sana. If implemented, your ides could save lives of people. Idea hii inabidi iwafikie kwa haraka...
Kuna jamaa yangu wakati tuko chuo aliwahi kunichekesha sana. Wanajeshi wako safarini, wakakuta sehemu barabara ni mbovu haipitiki mvua ilikuwa imenyesha sana. Wakaamua kufanya opersheni pale pale, kulikuwa na mawe umbali kidogo ikabidi waanze kusomba mawe na kuyaweka barabarani kama hatua ya...
Hivi kwa nchi ambayo tayari tumeshafikia uchumi wa kati, tunatengenezaje ajira kwa watu wetu wasiokuwa na ajira? Hiki kitu mimi nakiona ni kama mojawapo sasa ya fursa za ajira zilizojitokeza baada ya mambo yetu kuwa yamekuwa mazuri, pamoja na kwamba kilianza kabla hatujafikia uchumi wa kati...